Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,303
Madomo zege salamu club ina wanachama wengi
Hahaha bora ulivyowasaidia kumbe!
Madomo zege salamu club ina wanachama wengi
Kina dada,
Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua kuhusu mbeba maboksi wako unayetamani kuwa naye.
Jipatie mbeba maboksi wako...usilaze damu. Tuma PM.
nn, nitaftie mwenye umri miaka 80+ manake natafuta eda mie. Hivi unena boksi hauna pensheni?
Kina dada,
Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua kuhusu mbeba maboksi wako unayetamani kuwa naye.
Jipatie mbeba maboksi wako...usilaze damu. Tuma PM.
Niwaulize wabeba box.....
Mnatuma kiasi gani cha $$ bongo? msizungumzie raba mtoni na jinzi mnazovaa milegezo
Kina dada,
Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua kuhusu mbeba maboksi wako unayetamani kuwa naye.
Jipatie mbeba maboksi wako...usilaze damu. Tuma PM.
Huyu ndio raisi wa wabeba box....mhh..Watu tumejenga maghorofa Mbezi beacj wewe unazungumzia kutuma hela kupitia MoneyGram na Western Union....unachekesha.
Alafu waelezee walengwa faida ya kisayansi na kisomi ya kuwapata wabeba box.....Kina dada,
Kwa wale wote mnaopenda kujipatia wabeba maboksi wenu nitumieni PM. Mimi kama raisi wao hapa JF nime compile bonge moja la profile database na lina karibu kila kitu upendacho kujua kuhusu mbeba maboksi wako unayetamani kuwa naye.
Jipatie mbeba maboksi wako...usilaze damu. Tuma PM.
Huyu ndio raisi wa wabeba box....mhh..
wenzeni Kenya wamecontribute $3 billion kwa the past 5 years.....kijana unajua uchumi kweli? kujenga maghorofa mbezi beach ndio mnaona ni bonge la contribution kwenye kukuza kanchi haka kadogo? ama kweli raisi....
Jina lako halijaorodheshwa au? 😀
Teh teh teh....
Hahaha nimekwambia wewe shabiki, kisha naonekana mie tu!!
Umemkacha Asha? Au yeye ndo kanywea?
I love chick fights....
Kwani kulikuwa na fight? 😀
Hmmm hakukuwepo
Jina lako halijaorodheshwa au? 😀
toka mwaka juzi nilikuwa namwambia prezaida aniandalie makao ya kubeba maboksi akadhani namtania
Kwani kulikuwa na fight? 😀