Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,731
Umechoka kula vumbi?
tulishayajadili hayo, update database hiyo prezaida, hata mwanakijiji anakushinda!
Umechoka kula vumbi?
toka mwaka juzi nilikuwa namwambia prezaida aniandalie makao ya kubeba maboksi akadhani namtania
halafu NN anaweza kabisa kuwa mchonganishi....
toka mwaka juzi nilikuwa namwambia prezaida aniandalie makao ya kubeba maboksi akadhani namtania
We si umehamisha maskani bana...mi nilikuja Samaki Samaki hukuwepo.
wewe update hiyo database hasa kwenye eneo la new england kama data huna mwombe mwanakijiji
Panua wigo kidogo...midwest hupapendi?
Panua wigo kidogo...midwest hupapendi?
Kuna wakenya zaidi ya 500K marekani peke yake.Huyu ndio raisi wa wabeba box....mhh..
wenzeni Kenya wamecontribute $3 billion kwa the past 5 years.....kijana unajua uchumi kweli? kujenga maghorofa mbezi beach ndio mnaona ni bonge la contribution kwenye kukuza kanchi haka kadogo? ama kweli raisi....
Hii ofa bado ipo? Nataka kutuma maombi namie
Ipo. Sema unataka wa aina gani....
Nataka msukuma jitu la miraba minne....
Basi usiwe na shaka. Umempata.
chifu umekuwa pimp?
Chifu yuko jela,nimeshaanza kummis. Kazi niliyompa sijui kama itaenda tena....mweeh
kumbe na wewe kilaza kiasi hicho?
Nahitaji sifa zifuatazo kwa mbeba boxi huyo;
Mweusi,Mfupi,baunsa,mikono shupavu...anaenukia jasho la kazi..awe na afro ili nipate kuhesabu nywele zake akiwa anataka kupata usingizi...