Wapenda wabeba maboksi

Kimba ni mavi linalotoka refu....linakuwa kama soseji soseji hivi. Au wewe unakunyaga mavi yaa ya mbuzi...yale ya vigoroli goroli?

hahahaha! Raisi unabishana na husninyo kuhusu makimba!
 
nyani ngabu
hope umeweka mwisho wa siku za kubeba mabox hiyo ni muhimu sana wasije sahau majumban mwao na vijisent vya kubadilisha chupi bana walete bongohao tupambane
 
nyani ngabu
hope umeweka mwisho wa siku za kubeba mabox hiyo ni muhimu sana wasije sahau majumban mwao na vijisent vya kubadilisha chupi bana walete bongohao tupambane

Nyani Ngabu ameshakwambia tunapata 401K (IRA/Roth).
Tutaendelea kupiga box na tukizeeka kurudi bongo tuna 401k zetu zinatulinda. On top of that nitakuwa nakamata Social Security check kila mwezi kuanzia nitakapostaafu hadi nikifa. In addition, Kwa waliopitia US army wanakula veterans benefits.
At least nitakuwa na uhakika wa check ya $ 3500 kila mwezi hadi nikiingia kaburini. Nimesha-set direct deposit na CRDB (Forex).
$ 3500 kila mwezi kwa maisha ya bongo sio haba. Nikijisikia medical check up na matibabu badala ya kwenda India nitakuwa narudi US at least once a year. Ukizingatia as a senior nitaqualify for Medicare!! God Bless America!!
Boksi halimtupi mtu banaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…