Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Mimi ni mbeba box mstaafu, sasa ni mjasiliamali tu hapa mjini, i think huyo mchuchu yuko interested na mbeba box, si unajuwa tena mambo ya Viza na kwenda mamtoni! lazima avuwe chupi.Si kajitambulisha hapo juu?
Au unafanya kuuliza tu.Yule atakaejichekesha chekesha badala ya kujibu swali NDIE.
..........Kama MM Mwanakijiji.Aisee, "Mbeba maboksi" ndiyo mtu gani?
Watapeli. . . wengi wataingia mkenge.Mimi ni mbeba box mstaafu, sasa ni mjasiliamali tu hapa mjini, i think huyo mchuchu yuko interested na mbeba box, si unajuwa tena mambo ya Viza na kwenda mamtoni! lazima avuwe chupi.
Aisee, "Mbeba maboksi" ndiyo mtu gani?
Le Baharia Le Mutus!!kama@ new york city!!
kama@ new york city!!
Hii JF hii.......!!!
Ngoja nimtafutie green card mjukuu wangu ajiunge na mheshimiwa Rais!!
Hope ma deal ya Cameron hayaruhusiwi????
Babu DC!!
Usisahau dili la valee paking pale Capitol/the mall/ white house siku ya mwaka mpya, lazima tutengeneze buku siku hiyo.Wiki ijayo tutakuwa tuko bize sana. Si mnajua tena mambo ya Noeli na mwaka mpya. Mambo ya vi-packages, ma gifts, ma presents...watu tutakuwa tunapiga schedule (wabeba maboksi tunatamka skejo) kama hatuna akili nzuri. Ma double double tu lol.
Wazee wa UPS, FEDEX, DHL, USPS, Royal Mail, Walmart, Sam's Club,Target, Ross, Sainsbury's, Tesco na kwingineko, tukipotea mjue tunazitafuta.
Kuna ambaye ananyanyua chuma ??
Usisahau dili la valee paking pale Capitol/the mall/ white house siku ya mwaka mpya, lazima tutengeneze buku siku hiyo.
NN, nitaftie mwenye umri miaka 80+ manake natafuta eda mie. Hivi unena boksi hauna pensheni?
hahahah asante NN bila shaka wale walio single and looking na wanapenda vijana wa uloyo uloyo watakuPM
Na wewe uko kwenye hiyo List broda?
Kuna ambaye ananyanyua chuma ??
Vipi FL1 na wewe unasaka mbeba maboksi?