Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,793
- 6,566
KUTAMBIKA ni mkataba wa hatari kati ya binadamu na kuzimu ...............
Bora umekuja, ebu tupe somo juu ya chili usikomee hapo tu!
KUTAMBIKA ni mkataba wa hatari kati ya binadamu na kuzimu ...............
KUTAMBIKA ni mkataba wa hatari kati ya binadamu na kuzimu ...............
KUTAMBIKA ni mkataba wa hatari kati ya binadamu na kuzimu ...............
Safi sana mkuu...
"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"
Najua wengi watanielewa tofauti lakini wengi wataelewa mwishoni! Ieleweke kuwa kila jamii duniani ina mila na utamaduni wake kuanzia Afrika ulaya Amerika hadi Asia. Moja ya mila hizo ni kufanya mitambiko na hawa ndugu zetu waneweza kutupiga chenga la macho kwa kutuletea dini inayokataza mitambiko ilihali wao na wafuasi wakubwa wa mabo hayo!
Hivyo basi mali nyingi na fedha wanazopata na moja ya mafanikio yatokanayo na mitambiko na Simaanishi kuwa hawafanyi kazi la hasha bali mitambiko ni moja mambo yanayawafanikishia biashara zao!
Wazungu wamefanikisha kuficha siri hii isijulikane kwa walimwengu wengine lakini uhalisia ni kuwa wanafanya "mfano kwenye construction yoyote mzungu lazima achinje mbuzi au kondoo kama mtambiko kunyoosha mambo yake huwa ni siri sana Fuatilia Strabag ! Kwa upande wa Wahindi na waarabu wao hawafichi sana ila wanafanya kifamilia! Wakati naanza fild yangu 2009 TRH(Tanzania Raod Haullage) walinunua mbuzi 35 kwa ajili ya mitambiko !
NOTE; linapokuja suala la kutafuta na kumiliki mali na fedha nyingi hapa sizungumzii 2M nazungumzia millions to Billions lazima kuna kitu kinafanyika kubali kataa lakini ukweli ndo huo(dunia ina siri nyingi) na wanaosema wamepata utajiri mkubwa kwa mlago wa dini(awe mkristo au muislam) kuna walakini kwa sababu hela utajiri mkubwa ina mambo yake na moja wapi ni mitambiko ! Pia ieleweke kuwa mitambiko sio Ushirikina bali ni tamaduni na misha ya jamii fulani.
Cha kustaajabisha zaidi makanisa mengi hasa Roman na Lutheran kabla ya kujenga makanisa yao lazima mitambiko ifanyike eneo la ujenzi ndipo ujenzi ufanyike lakini mambo haya hufanywa siri sana! Hivyo basi ni vizuri turudi kwenye mila na desturi zetu kwa mafanikio zaidi!
Najua wengi watanielewa tofauti lakini wengi wataelewa mwishoni! Ieleweke kuwa kila jamii duniani ina mila na utamaduni wake kuanzia Afrika ulaya Amerika hadi Asia. Moja ya mila hizo ni kufanya mitambiko na hawa ndugu zetu waneweza kutupiga chenga la macho kwa kutuletea dini inayokataza mitambiko ilihali wao na wafuasi wakubwa wa mabo hayo!
Hivyo basi mali nyingi na fedha wanazopata na moja ya mafanikio yatokanayo na mitambiko na Simaanishi kuwa hawafanyi kazi la hasha bali mitambiko ni moja mambo yanayawafanikishia biashara zao!
Wazungu wamefanikisha kuficha siri hii isijulikane kwa walimwengu wengine lakini uhalisia ni kuwa wanafanya mfano kwenye construction yoyote mzungu lazima achinje mbuzi au kondoo kama mtambiko kunyoosha mambo yake huwa ni siri sana Fuatilia Strabag ! Kwa upande wa Wahindi na waarabu wao hawafichi sana ila wanafanya kifamilia! Wakati naanza fild yangu 2009 TRH(Tanzania Raod Haullage) walinunua mbuzi 35 kwa ajili ya mitambiko !

Wewee usituleteee mistari yako hapa tambiko ndo mpango mzima kwani hao mababu zetu walikua wanajua hiyo mistari!,kwanza siku zote wafia dini iwe uislam pia ukristo ndo masikini wakubwa...#tambiko[h=1]1 Wakorintho 10 : 20[/h]10.20 Hata kidogo! Ninachosema ni kwamba tambiko wanazotoa watu wasiomjua Mungu wanawatolea pepo, sio Mungu. Sipendi kamwe ninyi muwe naushirika na pepo.
[h=1]1 Wakorintho 10 : 21[/h]10.21 Hamwezi kunywa kikombe cha Bwana na kikombe cha pepo; hamwezi kushiriki katika meza ya Bwana na katika meza ya pepo.
Wewee usituleteee mistari yako hapa tambiko ndo mpango mzima kwani hao mababu zetu walikua wanajua hiyo mistari!,kwanza siku zote wafia dini iwe uislam pia ukristo ndo masikini wakubwa...#tambiko
Nimekusoma mkuu; The fear of God is wisdom, departing from evil is understanding. These can make a man wealthy.Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaakuchagua ufahamu kuliko fedha.
Mithali 16 : 16
Kumbukumbu la Torati 8 : 18
8.18 Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri;
Najua wengi watanielewa tofauti lakini wengi wataelewa mwishoni! Ieleweke kuwa kila jamii duniani ina mila na utamaduni wake kuanzia Afrika ulaya Amerika hadi Asia. Moja ya mila hizo ni kufanya mitambiko na hawa ndugu zetu waneweza kutupiga chenga la macho kwa kutuletea dini inayokataza mitambiko ilihali wao na wafuasi wakubwa wa mabo hayo!
Hivyo basi mali nyingi na fedha wanazopata na moja ya mafanikio yatokanayo na mitambiko na Simaanishi kuwa hawafanyi kazi la hasha bali mitambiko ni moja mambo yanayawafanikishia biashara zao!
Wazungu wamefanikisha kuficha siri hii isijulikane kwa walimwengu wengine lakini uhalisia ni kuwa wanafanya mfano kwenye construction yoyote mzungu lazima achinje mbuzi au kondoo kama mtambiko kunyoosha mambo yake huwa ni siri sana Fuatilia Strabag ! Kwa upande wa Wahindi na waarabu wao hawafichi sana ila wanafanya kifamilia! Wakati naanza fild yangu 2009 TRH(Tanzania Raod Haullage) walinunua mbuzi 35 kwa ajili ya mitambiko !
NOTE; linapokuja suala la kutafuta na kumiliki mali na fedha nyingi hapa sizungumzii 2M nazungumzia millions to Billions lazima kuna kitu kinafanyika kubali kataa lakini ukweli ndo huo(dunia ina siri nyingi) na wanaosema wamepata utajiri mkubwa kwa mlago wa dini(awe mkristo au muislam) kuna walakini kwa sababu hela utajiri mkubwa ina mambo yake na moja wapi ni mitambiko ! Pia ieleweke kuwa mitambiko sio Ushirikina bali ni tamaduni na misha ya jamii fulani.
Cha kustaajabisha zaidi makanisa mengi hasa Roman na Lutheran kabla ya kujenga makanisa yao lazima mitambiko ifanyike eneo la ujenzi ndipo ujenzi ufanyike lakini mambo haya hufanywa siri sana! Hivyo basi ni vizuri turudi kwenye mila na desturi zetu kwa mafanikio zaidi!
Kweli,
hivi kwa mila zetu nikitaka kuwa tajiri natakiwa nifanye tambiko lipi?
"MCHEZA KWAO HUTUZWA."