Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,889
- 44,258
wht I knw makabila yote zamani na baadhi mpaka ss yana practice hii kitu.
ss kuelewa km ni kibaya au kizuri ni elim nyingine. na imani ya kikristo hairuhusu.
ni kweli agano la kale wanyama walikuwa wakichinjwa na kutolewa sadaka na pia mtu alipokuwa amemkosea Mungu kuna adhabu ilikuwa ni kumwaga damu ya wanyama ili kufuta makosa,lakini hawa wenzetu hawakuwa na maana ya matambiko km sisi tufanyavyo,
lkn basi baada ya agano jipya damu ya Yesu ilimaliza kila kitu, ndo ilikuwa mbadala wa yote hayo yaliyofanywa huko zamani.
bt Kiukwel hakuna kabila ambalo halina hiv vitu ila walielewa wameachana navyo.