Nimeshakuja Mkuu!
Lkn matambiko AU KAFARA asili Yake AU yalianzia Wapi Mkuu?
Labda mleta HOJA ANGEWEZA KUTUELEWESHA HILI KWANZA ILI TUPATE PA KUANZIA!
Mleta hoja - Kidadari tunakuomba ujibu hilo swali ili nduguyangu Ntuzu aweze kuendelea.
Nimeshakuja Mkuu!
Lkn matambiko AU KAFARA asili Yake AU yalianzia Wapi Mkuu?
Labda mleta HOJA ANGEWEZA KUTUELEWESHA HILI KWANZA ILI TUPATE PA KUANZIA!
Nimeshakuja Mkuu!
Lkn matambiko AU KAFARA asili Yake AU yalianzia Wapi Mkuu?
Labda mleta HOJA ANGEWEZA KUTUELEWESHA HILI KWANZA ILI TUPATE PA KUANZIA!
You are not from the Lord!
Tambiko zimeaza toka kuumbwa kwa ulimwengu limefanyika sana agano la kale na Yesu hakuja kulibatilisha bali kulitimiliza! Hofu ndo inayosababisha muogope tambiko!
Karibu.Haya bwana nimeshindwa
Haya mwashinjijee mlalaa!Nimpare wa ndungu huko huko kwa mama Anah .,mwmbie kwanza mcheza kwao hutunzwa mtu gn hajivunii kwao hela nihakundie kaya kangi ahuje .
naunga mkono hojaMoshi ndio kwetu. Tunatambika...mbuzi na mbege kwa sana tu ndio maana wenzio tuna win life daily. Wenzio tunaotesha maghorofa mjini kila siku cz tunajua umuhimu wa matambiko.
Kwanza kwa taarifa yako matambiko hata kwenye bible yapo na mitume na manabii wengi walikua wakitambika. e.g moses, cain and abel, yakobo etc. Wote hao agano la kale walikua wanatoa sadaka za kuteketeza. Rejea agano la kale. Ndio maana sisi wachaga kwa mwaka tunafanya atleast twice. Hivi vitu vipo, vina exist na vina effect zake, nime vi prove mara kibao. Mimi ni mkristo damu lakini issue za matambiko nazijua zilivyo na zina mchango gani kwenye familia na ukoo wetu.
Your ignorance is the cause of your failure. Mimi nilikua nafanya biashara miaka nenda rudi nikawa sioni faida zaidi ya hasara na mabalaa kila kukicha mpaka nlipoenda kwetu Moshi nikaongea na wazee wa ukoo na kuwaambia matatizo yangu wakanipa detail zote na vitu vya kufanya...since then kila kitu kina run smoothly.
Hizi issue sio uchawi ni traditional beliefs & rituals ambazo zina govern maisha yetu ya kila siku sema wengi hawajui tu. Kwenye bible zimeelezwa pia. Tunachofanya ni kuomba na kutoa sadaka in a traditional way...mambo ya kukeketa watoto wa kike na makafara ya watu hatufanyi sisi cz huo ndio ushirikina wenyewe. Kanisani naenda kila jumapili ila mila zina nafasi yake pia. Sikushikii fimbo uamini, take it or leave it !!
Sijaelewa. Kanisa ndio linafanya tambiko au waumini wake?Nani kakuambia wachungaji hawafanyi matambiko! Kanisa la Roman Catholic hawazungumzii wala kukataza matambiko na wanafanya kwa siri!
Acha umbea na uongo, roho ilikuuma naona kama vile ulitamani iwe wewe ndio unalipiwa hayo mahariKuoa au kuolewa na makabila haya lazima uwe mvumilivu sana. Pengine watu hujitumbukiza katika uhusiano bila kufanya utafiti wa kina. Nilimsindikiza rafiki yangu kutoa mahali kwa Wapare na niliona mambo ya ajabu sana! Tukaambiwa twende akatabulishwe kwa mizimu ya Kipareni.
Nilishangaa wakati nashuhudia wanavyotambika. Tuliingizwa kwenye kinyumba kibovu sana! Kimejaa tunguli tupu! Wazee wakaongea maneno yao kwa Kipare ya kuomba dua! Wakachukua pombe na kuweka kwenye Kibuyu kikubwa, eti ni ya mizimu! Walisema baada ya dakika mbili mizimu itakuwa imekunywa pombe hiyo ikiashiria kwamba dua lao limekubalika. Wakafanya hivyo hivyo na nyama ya mbuzi na matabiko haya yanafanyika katika eneo wanaloita milima ya Wapare! Huko ndiko Wapare wanaendeleza FGM. Baadhi ya wanawake wengi wa kipare wamekatwa nani zao eti wasitamani wanaume na kuzuia wasitoke nje ya ndoa zao. Aibu kubwa Wapare nyie msioelimika!
Kwangu, naona kama Ndugu yangu amepotea kidogo kuoa kutoka kabila hili maana usiku huo hakulala kabisa. Aliogopa sana na kusikitika kwamba angejua&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];... Eti kila Mwaka wanatambika na lazima ahudhurie. Nadhani akiwa kama mwanamme, hayo matambiko hayamhusu kwa vile anatoka ukoo tofauti na kabila sio la Wapare. Nimemshauri asishiriki matambiko ya aina yeyote!
Ni bora wachaga na wa Pare wawe wanaoana wenyewe kwa vile wao ndo wenye matambiko haswaa kwa karne hii ya 21! December imekaribia utaona wanavyohangaika kwenda kutambika!
Badilikeni nyie!