Wapare, Wachaga: Matambiko yamepitwa na wakati

Tambiko zipo kwa kila tamaduni sema zinatofatioana kabila na kabila............rudi kwenye kabila lenu wapo wazee wanaojua wewe tuu hujauliza au kuwa na nianya kujua
 
nahitaji tambiko la nguvu toka kabila lolote la watu weusi, kama unajua moja.

Wakati wa vita ya majimaji makabila kadhaa walifanya tambiko moja na liliwafaa.
 
Nimekupenda bure... umeongea ukweli tupu alafu walivyotuona mazuzu wanaanza tena kutuchonganisha kupitia hizo hizo dini... na tulivyo atupo makini nakujua tunafanya nini tumekuwa bendera fuata upepo
 
Ni kweli dada haya mabo yapo sana duniani na ifike muda tuache unafiki na tuongee ukweli utajiri wa dunia una siri yake kama ni dini mashekhe na wachungaji wengi wanafanya biashara na mafanikio yao ni ya kawaida sana! Tuamke
 
Wazungu ndiyo washenzi sana katika matambiko!!

Kuna sehemu palikuwa na mauza uza na palikuwa na madini sana, sisi tunaenda na usomi wetu tulishindwa kuweza kuanza kuyachimba na hakuna aliyekuwa tayari kufanya matambiko kwa madai kuwa imani potofu!!

Walikuja wazungu wakafanya yao, wanayachimba kiulaini mpaka kesho! Nasikia wanataka kujenga kiwanda kabisa!

Mwingine kuna meneja mmoja mambo yake yalikuwa hovyo hovyo, kipato hakieleweki na maisha magumu sana!

Alienda kwao akafanya tambiko, jamaa sasa hivi ana hela ya hatari! Anakwambia nyumbani ni nyumbani teh teh!! Hela iache iitwe hela mana nasikia Wachaga nao wanatambika kila mwisho wa mwaka
 
Nakumbuka kuna Mjeruman aliwaambia wezee wa kijijini kwetu wabadali dini na kuingia Ukristo ila wasiache mila na tamaduni. Nadhan alikuwa na maana nzito!
 
Ni kweli dada haya mabo yapo sana duniani na ifike muda tuache unafiki na tuongee ukweli utajiri wa dunia una siri yake kama ni dini mashekhe na wachungaji wengi wanafanya biashara na mafanikio yao ni ya kawaida sana! Tuamke

Sawa mkuu lazima tuwe macho sana
 
Kuna watu kibao nawafahamu hawajawahi kuacha kutambikia ila ni maskini wa kutupwa..

Wenyewe wanasema sio unatambika bila sababu! Lazima kuwe na sababu ya kutambika mfano wazungu wanatambika kazi zao kama construction ziende kama wanavyopanga! Wanatambikia kazi zao na sio kutambika na kukaa tuu
 
KUTAMBIKA ni mkataba wa hatari kati ya binadamu na kuzimu ...............
 
Back
Top Bottom