Mbona hata kwenye Biblia ipo hivyo?
tofauti pekee ni kwamba kimila unamtolea usiye mjua (things are hidden to few elders) wakati kwa Mungu sadaka inatolewa kwa yeye aliye juu. siku hizi kutokana na mabadiliko, kutoa sio lazima ngombe au Mbuzi wa kuteketezwa au kuchinjwa. Hata fedha inayofana na Mbuzi, kuku au ng'ombe inakubalika. Ukisoma Biblia vizuri, kila wakati mungu alipotoa baraka, ilitanguliwa na matoleo, check kuanzia cain na Abel, ibrahim, Nuhu, Musa. At all times offering trggered God to declare Blessings to humanity.
Sisi kwa asili tuliabudu mavitu ya ajabu mara mizimu mara miti mikubwa mara mapango na vitu kama hivyo. tulikuwa na idea ya imani lakini tuliielekeza gizani. Ndio maana hata kama wazee wetu walifanikiwa katika hilo, kizazi kilichofuata kililaanika. Kumbuka unachokiona sasa ni mazao ya mbegu walizopanda wazee wetu.
Mtu yeyote atoaye sadaka kwa Mungu juu ya jambo lake, ni lazima jambo lile litimie kama Mungu aishivyo. Imekuwa rahis watu kuamini uchawi kuliko Mungu, kwa sababu ya ujinga, asilimia kubwa ya watu hawalifahamu jambo hili, either kwa vile dini hazilifanyi kuwa kipaumbele katika maisha ya waumini au vitu kama hvyo. Mungu ni yeye yule hata milele. So hilo la mila ni temporary solution. But permanebt solution is with Elohim (God of Israel i.e. Ibrahim, Isaac and Jacob and the father of the Lord Jesus).