Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Yanini kutafuta "DHAMBI KWA MUNGU" zisizo na ulazima (Sijui sina, Ooh Sikusikii vizuri, Haki ya mungu nipo vibaya n.k), msema kweli ni mpenzi wa mungu.

Unampa "KITASA KIMOJA CHA KIDEVU", kesho harudii tena kupiga mzinga.

View attachment 1819781
Muddy
Katuonyesha njia kumbe inawezekana
 
Muddy
Katuonyesha njia kumbe inawezekana
Mudi kama mudi ni "Profesa Wakupangua Vizinga".
20210615_222331.jpg
 
ila wanadai kama hakupendi ndo anakupiga vizinga ili ukimbie mwenyewe
 
Toa bila kukumbuka...
Kuna demu kaniliza juzi elf 30 alikua ana shida analia hana hela ya kula chuo UDSM. Leo nikawa na safari ya kwendea vyeti vyangu hapo, sasa jana usiku mida ya saa 4 nikampigia kumjulisha tu kwamba naenda kufatilia magamba yangu pale, mara paap anapokea sim namsikia na kidume pembeni anamhemea pumzi kishenzi.

Sina mahusiano nae huyo demu, ila nlisahau hata nlichotaka kumwambia nikawa najiuliza inamaana mimi ndio kanipiga kizinga ili akakanyagwe huko.

Siku nzima ya leo nimejiona fala hamna mfano wake aise.
 
Back
Top Bottom