Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Kuna mtu kizinga anafatilia tokea Mwezi Januari, nimempiga spana tuu,,,,Jana 14/2/2021 text ya kwanza ilikuwa yake.Ile kureply ASANTE kosa kubwa akakumbushia na mpaka tunavyoongea sijafanya lolote mie. Na status anaview kama kawa yaaani,, kula buyu tuu na hizi nyakati kweli siyo za kupigana vizinga walahi
 
Yanini kutafuta "DHAMBI KWA MUNGU" zisizo na ulazima (Sijui sina, Ooh Sikusikii vizuri, Haki ya mungu nipo vibaya n.k), msema kweli ni mpenzi wa mungu.

Unampa "KITASA KIMOJA CHA KIDEVU", kesho harudii tena kupiga mzinga.

4b068df8d370498692dccf4589e17158_1590391370246.jpg
 
Back
Top Bottom