Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,114
Pokea simu anza kulia shida, umejuaje nna njaa mwana ukancheki ebu fanya mpango hata wa dala hapo chap nipo juu ya mawe
Pokea simu anza kulia shida, umejuaje nna njaa mwana ukancheki ebu fanya mpango hata wa dala hapo chap nipo juu ya mawe


Au sioToa bila kukumbuka...
vijana wa hauna buku apo wengi wanapenda kubet sanaNoma sana!
kwa msisitizoSina
Hii ukikuta mchanga karata mzuri wa vizinga huchomoki mkuu




mtaaluma mtaalamu mwenyewemwaka tumesha ugawa huu vipi umefanikiwa kuvipangu baadhi ndugumtaaluma mtaalamu mwenyewe
Tutaishi kwa jasho letu mtazaa kwa uchungu sasa pumbuz haliepukikiSiku zote mwanamke ameumbwa kula pesa ya mwanaume. Ila kutoa utamu ni hiari yangu...aidha nikukimbie au nikuhurumie.
NI mtihani ila uzoefu umenisaidia sana, sema kuna wale wakutanguliza hadi pro forma invoice za birthdays, kodi za nyumba, na kodi nishalipia ila nakupa jukumu la jokofu, jiko, na zulia tu kwani kochi tayari na mapazia na kitanda nimeweka kipya....hao pia dawa yao iko ishachemka.mwaka tumesha ugawa huu vipi umefanikiwa kuvipangu baadhi ndugu
😂NI mtihani ila uzoefu umenisaidia sana, sema kuna wale wakutanguliza hadi pro forma invoice za birthdays, kodi za nyumba, na kodi nishalipia ila nakupa jukumu la jokofu, jiko, na zulia tu kwani kochi tayari na mapazia na kitanda nimeweka kipya....hao pia dawa yao iko ishachemka.
Naye akinyimwa tamu asije kulialia 😜Mambo yasiwe mengi anza kutupiaView attachment 2870320
😂 😂 😂 😂 😂😂Mambo yasiwe mengi anza kutupiaView attachment 2870320