Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Kuna mtu kizinga anafatilia tokea Mwezi Januari, nimempiga spana tuu,,,,Jana 14/2/2021 text ya kwanza ilikuwa yake.Ile kureply ASANTE kosa kubwa akakumbushia na mpaka tunavyoongea sijafanya lolote mie. Na status anaview kama kawa yaaani,, kula buyu tuu na hizi nyakati kweli siyo za kupigana vizinga walahi
 
kama jana nilikua airplane mode Hadi usiku mwingi mkuu
Sasa Kuna vijana niliwambia kwenye uzi wa wabet wasijiunge kupatiwa sijui odds waka bisha wakala vitasa Leo hamadi naona uzi wa forex na mzingira ya vitasa yananza nashukuru JF makini wakaufuta

RAHI YANGU WATANZANIA MSIKUBALI KUFANYA MIMALA KIZEMBE MTACHAKAA

pamoja kiongozi
 
Mbinu kiboko kuliko zote ni kumuwahi mpiga kizinga kabla hajakupiga. Yaani ile unapokea simu yake tu unamuuliza kulikoni mbona ulikuwa hupatikani? Akianza kujitetea unamkatiza kwa kumwambia nilikuwa nakutafuta nikukope. Au unaanza kumlilia shida kabla hajasema zake hadi anaishiwa pozi.
defensive mechanism
 
Jicho la kisheria linatulinda na vizinga
JamiiForums-667332746.jpg
 
Vizinga kwa msimu huu wapasaka kidogo vimepungua kutokana na changamoto ya kifurushi kuwa juuh

Tuzidi kujikinga wakuu ni hayo tuh
 
Unajibu tu sina hela, basi. Ukijibu hivyo atajua una hela ila hutaki kumpa kwa hiyo kwa ethics za taaluma yao atajiongeza.

Hapo kwa watoto wa bweni/vyuoni kama unazungumzia hawa wa kuwazaa, mzinga haukwepeki. Mzazi ukiwa mkoloni mtoto anakupiga kwenye michango hewa.
Michango hewa
 
Back
Top Bottom