Hata mimi huwa najiuliza kama wahusika wanaridhia picha zao kuwekwa humu......sina hakika kama una ridhaa ya wenye picha kuwabandika humu.
Hata mimi huwa najiuliza kama wahusika wanaridhia picha zao kuwekwa humu......
Hawa wote wana sura za wachaga.huyo wa pili mbona karembua sana mambo...mhhhh