Mandown JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 1,665 Reaction score 507 Jun 5, 2012 #61 .... da mshikaji upo fiti,
D Dumisha Member Joined Feb 1, 2012 Posts 29 Reaction score 7 Jun 5, 2012 #62 Baadhi ya wapambe nawapata vizuri sidhani kama una idhini ya kubandika picha humu au unafahamiana nao wote??
Baadhi ya wapambe nawapata vizuri sidhani kama una idhini ya kubandika picha humu au unafahamiana nao wote??
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Jun 5, 2012 #63 hao wenye njano wanapendeza sana ila wengine colour zimezidi bluuuuuuuuuuuu all the way naaa naaaa
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Jun 5, 2012 #64 Dumisha said: Baadhi ya wapambe nawapata vizuri sidhani kama una idhini ya kubandika picha humu au unafahamiana nao wote?? Click to expand... mbona picha hazina ubaya jamani muweka post anatuonyesha na sisi tunaweza kuchagua sare kupitia hapo Thanks Allien Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dumisha said: Baadhi ya wapambe nawapata vizuri sidhani kama una idhini ya kubandika picha humu au unafahamiana nao wote?? Click to expand... mbona picha hazina ubaya jamani muweka post anatuonyesha na sisi tunaweza kuchagua sare kupitia hapo Thanks Allien