Waooh Gwajima!!Waooh Baba Askofu.

Waooh Gwajima!!Waooh Baba Askofu.

Mbona umeandika kimbea sana hii mada yako, wala hueleweki una zungumzia nini.
Alfu kama wewe ni muumini mbona una andika misemo ya kimbea sana eti mambo ni moto mambo ni fireee.

sent using samsung galaxy s8

Heading yenyewe tu umeiona mkuu??
 
Wabongo watakufurahia ukiwa maskini
Ukianza kupata tu.....
Utajuta

 
Nikweli
Huwezi kunielewa
Lkn soon utanielewa...

Tehee!! Unaniona kama punguani vile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi na wewe umeanza kutokewa na mizimu ya mababu zako.
Tusubiri hadi utabiri wako utakapotimia? Ama umeshatimia?

Kwa harakaharaka unazani Bashite pekee ndio unaweza angusha utawala?
Wewe sio mtu mfikiliaji kabisa.
 
Back
Top Bottom