Waooh Gwajima!!Waooh Baba Askofu.

Frank King

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
1,310
886
Baba Askofu GWAJIMA nambariki Mungu kwaajili yako Baba, Ni kweli ufalme ukifitinika hakika hauta simama...

Bishop nakumbuka kipindi kile Bashite anakutishia maisha kwamba yeye ni mtoto wa baba asiyeshindwa kamwe, akijua kwamba wewe huna baba, Kumbe wako ni Mkuu kuliko Jiwe.nakumbuka kuna siku

uliachilia nguvu ya mamlaka na kuyaelekeza mapepo directly kwa Bashite lkn hawakukuelewa zaidi ya kukudhihaki wakashindwa kutambua NENO la MUNGU lina nguvu tena halijawahi kurudi tupu..
Hakika Babeli anaanguka/Ameanguka anguko kuu..
Mambo ni motoooo!! Ni fireeee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaeleweka fafanua

Hii inahusu nn mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichaa tayari!
Mwenzio Mwenye Enzi Mungu kampa baraka ya mtoto!
Uwiii walahi shida za umaskini ni mbaya sana!
Kula uwembe!
That’s all
 
Mbona umeandika kimbea sana hii mada yako, wala hueleweki una zungumzia nini.
Alfu kama wewe ni muumini mbona una andika misemo ya kimbea sana eti mambo ni moto mambo ni fireee.

sent using samsung galaxy s8
 
Baba Askofu GWAJIMA nambariki Mungu kwaajili yako Baba, Ni kweli ufalme ukifitinika hakika hauta simama...

Bishop nakumbuka kipindi kile Bashite anakutishia maisha kwamba yeye ni mtoto wa baba asiyeshindwa kamwe, akijua kwamba wewe huna baba, Kumbe wako ni Mkuu kuliko Jiwe.nakumbuka kuna siku

uliachilia nguvu ya mamlaka na kuyaelekeza mapepo directly kwa Bashite lkn hawakukuelewa zaidi ya kukudhihaki wakashindwa kutambua NENO la MUNGU lina nguvu tena halijawahi kurudi tupu..
Hakika Babeli anaanguka/Ameanguka anguko kuu..
Mambo ni motoooo!! Ni fireeee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushabiki ukiuendekeza unaweza jikuta umeliwa kicbuei na mtu sio sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom