Waooh Gwajima!!Waooh Baba Askofu.

Waooh Gwajima!!Waooh Baba Askofu.

Kama huelewi unatufuta nini huku Jf sasa..
Kila kitu utafuniwe..
Kumbuka hauko salama kiviile kama zamani...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hutaki kutafuna kila kitu kwanini unaleta hio mada yako. Hili sio darasa kusema mwanafunzi asipewe kila kitu.

sent using samsung galaxy s8
 
Misukule ya gwajima imeanza kujitokeza sasa

Sasa gwajima anahusiana na nini wakati huu
 
mapata ya jiji la dsm yanapitwa na jiji jipya la dodoma sa nyingine unaweza kutamani kufanyiza mabadiliko lakini haya.....nafikiri sasa wakati wa wokovu ndo sasa na Mungu amemkataa sauli
 
Back
Top Bottom