Wanyamwezi nani kawaroga?

Wanyamwezi nani kawaroga?

Status
Not open for further replies.
Wee vipi bana? Msukuma wa Kaskazini ndiyo nani? Unajua maana ya Sukuma, Dakama, Mweli na Kiya?

Ila pamoja sana. Ngoja nimshukie huyu Mgogo 🙂
Nyie ndio madada nuksi :doh: ............Wewe si unaona hambohambo anaanza kuelewa somo.
Mwache huyo mtoto ale "mzigo" wa Msukuma wa Kaskazini!
 
Ukabila ni kitu kibaya sana,nime nena mara nyingi kuwa anaezungumzia makabila ujue ni mkabila huyo,kadhalika na udini

Sasa ukizungimzia wanyamwezi vipi kuhusu wazaramo? Daresalam na vitongoji nyake wanasiasa wote ni wakabila ya bara..vipi kuhusu hii hujaiona mkuu,Tanzania ni kwa watanzania haijali makabila

muwe makini kumuelewa mleta mada kabla ya kuchangia.amesisita yeye co mbaguzi ila Rage ni msomali asiye na vigezo na hajui shida za wananzengo kitu ambacho hata Rage anakiunga mkono
 
Wagogo bana,

Wakishakula ugali wao wa Mhumba kwa Mlenda (Ugali wa Pumba, damn) basi wanajiona na wao wamekuwa matajiri.

Tatizo lenu Mmezaliana sana wenyewe kwa wenyewe hadi GENS zenu mmeziharibu na ndiyo maana wengi wenu mnakuwa vipofu na Omba omba. Na hii mliifanya sana hadi kwenye Jando mkaanza kuimbishwa wimbo:

"Myujiyuji, Mti wa lulenga si wa kukata Zengo" ikiwa na maana kuwa Myujiyuji ni Mti mzuri sana kwa kujengea ila HAUFAI kujengea kabisa. Dada zenu hawafai kuwazamia. Ndugu wa karibu, pitisha mbali.

Hebu waone tu Mtani wangu na Schoolmate George Simbachawane wa Mazengo Sec, Ndungay (Mzee wa SMS) na Lusinde aka Mzee wa kuporomosha matusi.......
 
Mwenyezi Mungu atuepushe na WACHAGA, marehemu Baba wa Taifa aliishasema hawa jamaa hawafai ata kidogo, alipowekwa Mzee mbowe kuwa mkurugenzi wa Tra, alijaza wachaga Tra hadi Nyerere akamwamuru astaafu au afukuzwe. si watu hawa jamaa

Acha dhambi ya ubaguzi kijana.Kwa kuwa mtu kazaliwa mchagga basi tayari ana dhambi inayomfanya asistahili kuwa kiongozi?Pia kwa taarifa yako TRA imeundwa mwaka 1996 na wakati huo Hayati Mwl.J.K Nyerere hakuwa madarakani.Poor you,kajipanhe tena.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
nani kawaroga wanyamwezi?

blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.

grave mistake ya kwanza

haiyamkiniki kabisa kumchagua aden rage kuwa eti mbunge wa tabora mjini centre ya wanyamwezi, aden rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.

grave mistake ya pili.

ni eti kumtambikia lowassa kwenye kaburi la mtemi shujaa issike mwanakiyungi,lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama yule kwa lipi alilofanya? Ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.

Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.

ni kweli japo nami mnyamwezi sijapata mantiki ya kufanya tambiko hilo.mf.nzega pale wabunge wanaopita ni wa hovyo kabisa.matokeo yake jimbo lipo nyuma kimaendeleo.
 
Wagogo bana,

Wakishakula ugali wao wa Mhumba kwa Mlenda (Ugali wa Pumba, damn) basi wanajiona na wao wamekuwa matajiri.

Tatizo lenu Mmezaliana sana wenyewe kwa wenyewe hadi GENS zenu mmeziharibu na ndiyo maana wengi wenu mnakuwa vipofu na Omba omba. Na hii mliifanya sana hadi kwenye Jando mkaanza kuimbishwa wimbo:

"Myujiyuji, Mti wa lulenga si wa kukata Zengo" ikiwa na maana kuwa Myujiyuji ni Mti mzuri sana kwa kujengea ila HAUFAI kujengea kabisa. Dada zenu hawafai kuwazamia. Ndugu wa karibu, pitisha mbali.

Hebu waone tu Mtani wangu na Schoolmate George Simbachawane wa Mazengo Sec, Ndungay (Mzee wa SMS) na Lusinde aka Mzee wa kuporomosha matusi.......

Hivi nyie kitu cha hatari mnafanya utani,hivi hamwoni kama mnafanya kitu cha hatari,halafu ukabila kitu kibaya hapa kuna ukabila gani? kama mtu ana qualification apewe, mtu wenu hana vigezo hata kidogo.
 
Ivi Mzee Yunge Mwanansali hakuacha watoto wala wajukuu? habu tafuteni mmoja kati ya hao mmpe kazi., huyo uzalendo wake hautiliwi shaka yoyote atajituma kama alivyokuwa anajituma yule Mzee nakumbuka wakati wake akiendesha treni za kichwa cha locomotivie makaa yaliisha sehemu za Kitaraka yule mzee aliingia mbugani akakata kuni akachochea treni likaanza kuondoka takaendelea na safari hadi Dodoma ndipo makaa yalipatikana, Huyo Rage anaweza jituma hivo?
 
muwe makini kumuelewa mleta mada kabla ya kuchangia.amesisita yeye co mbaguzi ila Rage ni msomali asiye na vigezo na hajui shida za wananzengo kitu ambacho hata Rage anakiunga mkono

Tanzania ni nchi yenye makabila zaidi ya 120,Vile vile kuna wahamiaji waliohamia zaidi ya miaka mia 500 iliyopita wahindi,warabu,wasomali wayemeni nk.wahamiaji hao wamezaana na vizazi vyao vimezaana.....
Rostam Aziz si muhundi bali ni Mtanzania,Rage si msomali bali ni Mtanzania,mada kama hizi ni mada mgando zinanaturejesha nyuma watanzania ......wanayamwezi ni haki yao kumchagua wanaemtaka
 
Nani kawaroga wanyamwezi?

Blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.

Grave mistake ya kwanza

Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.

Grave mistake ya pili.

Ni eti kumtambikia Lowassa kwenye kaburi la Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi,Lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama Yule kwa lipi alilofanya? ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.

Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.

Hii post ni ya kibaguzi kama ana asili ya Somalia ndo Hana qualification? Ragge ni mmoja wa wafanya biashara kuleta dala dala Tabora na ikaleta changamoto watu wafanya biashara wengine kuwekeza kwenye daladala. Na wote tunajua umuhimu wa transportation kwenye maendeleo. Pili wa kwanza kuanzisha local regional radio station in Tabora... Hiyo ni brief ya mchango wake kwa mkoa wetu wa tabora ZINGINE ZIFATE KWA WAPIGA KURA WAKE (80 % ya wapiga kura)...Ila post hii imenisikitisha sana ni yaki baguzi na nahisi imefika mda jamii forums wawe wana sensor baazi ya post ambazo ni nje ya maadili yetu watanzia.

MTANZANIA YEYOTE ANA HAKI YA KUGOMBEA JIMBO LOLOTE BILA KUJALI KABILA YA WENYEJI . HATA MZANAKI ANAWEZA KWENDA KUGOMBEA TANGA!!
 
mimi sio Mnyamezi ila tbr inanihusu sana, nilizaliwa kitete hospital, primary nilisoma Gongoni na Kitete p/s..., huwa nahuzunika sana nikienda kutembelea maeneo yangu, tabora haibadiliki kabisa yaani mtu aliyeondoka 1990's ukifika leo kila kitu ni almost the same, labda tofauti niliyoiona siku hizi Fm radio zinashika tofauti na enzi zangu tulikua tunasikiliza RTD kwenye short wave!
Ni kweli mkuu sijui kuna nini tu Tabora , hata mimi nilishangaa sana kuona mji hauna maendeleo . Nadhani hawa wabunge wanaochaguliwa hawatimizi wajibu wao ipasavyo.
 
Ivi Mzee Yunge Mwanansali hakuacha watoto wala wajukuu? habu tafuteni mmoja kati ya hao mmpe kazi., huyo uzalendo wake hautiliwi shaka yoyote atajituma kama alivyokuwa anajituma yule Mzee nakumbuka wakati wake akiendesha treni za kichwa cha locomotivie makaa yaliisha sehemu za Kitaraka yule mzee aliingia mbugani akakata kuni akachochea treni likaanza kuondoka takaendelea na safari hadi Dodoma ndipo makaa yalipatikana, Huyo Rage anaweza jituma hivo?
Tatizo uchapaji kazi haurithiwi mkuu.
 
Wamerogwa na umwinyi.
Wao mda mwingi huwaza mapenzi
Kazi hawataki kufanya
 
Grave mistake ya kwanza

Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.
....
Mkuu katika hii point ya kwanza umevuka mipaka.
Inawezekana kutokana na UPOFU uletwao na siasa wengine wasiione hii kasoro. Ktk hili umeshawishi Watu wachague kiongozi wao kwa misingi ya ukabila ambapo ni kinyume na Katiba na sheria za nchi.

Ungelimgrade Rage kwa udhaifu ama mapungufu yake kiutendaji, hulka ama usafi ingelikuwa vyema sana, lakini kumhukumu kwa kigezo cha UKABILA ni kasoro kubwa sana.

Mimi sina Imani na Rage hata kidogo kutokana na kutokuwa mwadilifu na hata uwakilishi wake bungeni ni kujaza nafasi tu na si vinginevyo. Kosa lililofanywa na CCM ambalo vyama vingine vinalirithi ni kutafuta watu MAARUFU kugombea nafasi za uongozi ili kunusuru chama, Ni budi ukaigwa mfano wa CHADEMA ambapo watu makini ndio wanaopewa chapuo la kugombea na si maarufu.

Kuhusu Grave mistake ya pili nakuunga mkono.
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Inasemekana hata hapa mjini Dsm ukiona mtu analia kwamba kauziwa mche wa sabuni badala ya nokia ya camera , basi wala hata usiumize kichwa bila shaka atakuwa mnyamwezi !
 
Hii post kama umeielewa vizuri ni Utani kati ya MGOGO na MNYAMWEZI usifike mbali sana ni watu wawili wanachararuliana ila ki-ukweli MGOGO ametupa kombora lakini sijaona Mnyamwezi amejibu MAPIGO.

Back
Top Bottom