Wanyamwezi nani kawaroga?

Wanyamwezi nani kawaroga?

Status
Not open for further replies.
Sehemu yoyote iliyokaliwa na watu wageni wengi hasa waarabu, huwa hakuna maendeleo hata kidogo. kazi ni kuwaajili wazawa kwenye garage zao basi na kuwalipa viposho vidogovidogo kila siku na kuwaacha wa-ji-nga vile. wewe fikiria nimeenda pale Tabora school mwaka 2001, hata daladala hakuna, ni baiskeli tu.
Wana hali mbaya sana.
Dar-Es-Salaam walikaa waarabu na wakawaRithisha jina la kiarabu mbona kuna maendeleo na hata chuoo na mashule waliwajengea?!! NA majina yao bado mnayavaa !! Achaa uzembee Waarabu walikufundisha kuvaa nguo wewe na kujistiri maishani mwako na hiyo lugha unayozungumza na kuandika waarabu wamekufadhili ..hashakum ningeendelea lakini naheshima wanaJf hapa !!
Utani wako peleka huko usihusishe Mwarabu kwa failures zako ... Lala salama na kila la heri.
 
tabora kigoma ni mapacha wawili wasiojua wazazi wao , mmoja anamjua mama mngine anamjua baba , siku wakijuana watashinda famila zote zilizokuwa zinajivunia wazazi , my point fursa ya tabora itatoka kigoma na fursa ya kigoma tabora hawa wabunge waliiangalie hilo siyo bla bla tu , hata akichaguliwa nani kama hawataliona hilo tunatwanga maji katika kinu , siku mikoa hii ikifunguka vizuri wakulima , wafanyabiashara , wavuvi, watanufaika sana lakini nionavyo mimi watu wa kigoma ndiyo wanaolilia zaidi barabara kuliko wenzetu wao na simba utafikiri simba ni maendeleo ya miji . FUTA DELETE KABISA RAGE +SERUKAMBA
Mkuu Kigoma sasa imeipita Tabora kimaendeleo.
 
Hapo ni Utani tu kati ya Mgogo na Mnyamwezi wala si kingine
Mkuu huu si utani, tumezidi, angalia Wanyamwezi walivorundikana Kigamboni na Unguja na wanavoleta maendeleo huko lakini kwao hakuna.
 
Imetosha jamani hivi mnataka mpaka iweje?????Mwishowe mtatuvua na nguo maana mnazidi tu kuchokonoa mwishowe mtachokonoa na mengine.TUACHENI TUPUMUE!!!!!!
Mkuu huu si utani, tumezidi, angalia Wanyamwezi walivorundikana Kigamboni na Unguja na wanavoleta maendeleo huko lakini kwao hakuna.
 
Imetosha jamani hivi mnataka mpaka iweje?????Mwishowe mtatuvua na nguo maana mnazidi tu kuchokonoa mwishowe mtachokonoa na mengine.TUACHENI TUPUMUE!!!!!!

tabora inarudishwa nyuma na viongozi wake ambao wmekaria kuigawa tu wapate madaraka, juzi wamegawa wilaya ya kaliua, saiz wako busy kupata wilaya nyingine ya bulyang'ulu ili waugawe mkoa na kupata mkoa wa urambo atokapo Six na Kapuya.......wenyeji pia WaPo busy kutafuta viongoz wa kitemi wenye pesa wapate kula
 
haha..hao mashujaa wao si walikuwa mashujaa wa kuuza watumwa..Sasa kwanini leo wasifanya hivyo ili kuienzi historia na ushujaa wanaousoma kyk histroria ya Pwani(ya CCM).Niliwahi sema hapa Historia ya MKwawa, Kinjekilitile, Mirambo, Abushir...ni kituko na ushujaa wao hauna kitu zaidi ya laana kwa nchi..Ila janja ya wapwani ni kuwageuza mashujaaa ..ili baadae wapewe heshima ya dini kuwa walipigania haki...huku waliuza wenzao waliokuwa si dini yao, na wlaipigana na wamissionary na si wakoloni wa kizungu.
 
haha..hao mashujaa wao si walikuwa mashujaa wa kuuza watumwa..Sasa kwanini leo wasifanya hivyo ili kuienzi historia na ushujaa wanaousoma kyk histroria ya Pwani(ya CCM).Niliwahi sema hapa Historia ya MKwawa, Kinjekilitile, Mirambo, Abushir...ni kituko na ushujaa wao hauna kitu zaidi ya laana kwa nchi..Ila janja ya wapwani ni kuwageuza mashujaaa ..ili baadae wapewe heshima ya dini kuwa walipigania haki...huku waliuza wenzao waliokuwa si dini yao, na wlaipigana na wamissionary na si wakoloni wa kizungu.

karibuni kanda ya kaskazini.... Maisha manzuri,barabara nzuri,viwanja vya ndege ,utarii maisha yetu ni upendo na kasi ya maendeleo ah makabila yetu ni wachaga,wapale,wamasai.waarusha,wameru,wasonjo na wamang'ati..
 
Nani kawaroga wanyamwezi?


Blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.

Grave mistake ya kwanza

Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.

Grave mistake ya pili.

Ni eti kumtambikia Lowassa kwenye kaburi la Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi,Lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama Yule kwa lipi alilofanya? ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.

Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.

Inasikitisha sana Mtani, ingawa umeongea kama utani lakini kwakweli dongo lako limeniuma kweli kweli.

Speaking of Umasikini wa mkoa wetu mimi lawama zote nazipeleka kwa serikali, mpaka leo hii mwaka 2013 hakuna barabara ya lami mkoa wa Tabora inayounganisha na mkoa/wilaya nyingine kutoka Tabora mjini (Mind you,Tabora ndiyo mkoa unaoongoza kwa kuzalisha zao la Tumbaku ambalo ni moja ya zao kubwa kabisa la biashara linaloongoza kwa kuiingizia serikali kipato). Hivi kwa kutokuwa na miundombinu ya uhakika shughuli gani utafanya ikuingizie kipato cha kueleweka? Kuna magofu tu yamebaki ya viwanda kule kiloleni/Tambukaleli na Mwanza Road hakuna jitihada zozote za serikali kuvifufufa na waliovifilisi viwanda hivyo wapo tu wanazidi kukuza matumbo yao na familia zao zinaishi Dar.
Kwa kweli Wanyamwezi tunahitaji mtu mwenye maamuzi magumu na mwenye uchungu wa kweli na mkoa wetu ili tupate maendeleo. Serikali ya CCM tangu enzi za Nyerere imekuwa ikituadhibu bila sababu za msingi wanyamwezi kama kutupora kiwanda cha Tumbaku na kukipeleka Morogoro.

Ifikie kipindi sasa vijana wa Tabora turudi nyumbani kuukomboa mkoa wetu, tutaendelea kuwa wakimbizi kwenye mikoa ya watu mpaka lini? Sasa hivi ukipita Kariakoo vijana wote niliocheza nao utotoni wapo hapo wanauza mitumba. Shuruba tunaipata sisi wenyewe hebu tubadirike na kusema sasa basi turudi kuwekeza mkoani kwetu serikali itaona haya.
 
wewe mwenyewe labda umekimbia kwenu huko unasema tu
 
wewe mwenyewe labda umekimbia kwenu huko unasema tu


Mkuu unamaanisha mimi?

Ni kweli kuwa kwa muda mrefu sipo Tabora kimakazi kutokana na kupangiwa kazi na serikali nje ya mkoa wangu lakini still my homeland is the best place to live for me among all Regions of Tanganyika. Lakini nimeshaanza kuwekeza kwetu taratibu kwani plan yangu nistaafie mkoani kwangu.

Kama na wewe ni wa-kukaya naomba uniunge mkono na hii kampeni ya kuwarudisha vijana mkoani kwetu, kwasasa kuna fursa nyingi tu zinazoweza kukupa kipato cha kukuwezesha kukidhi haja zako kwa kiwango kikubwa sana tu. Maendeleo ya Tabora yataletwa na vijana wa Tabora, kuendelea kuwalaumu wakina RAGE wakati sisi tunakaa Dar tunawaacha wazee wetu tu Tabora matokeo yake wananunuliwa na ccm kwa sabuni na sukari kamwe hatutaendelea.
 
Na Wanyakyusa na Wasafwa nani kawaroga? Maana wamemchagua Sugu ambae ni kichaa kabisa!!

Naogopa ban ningekupa maneno yako maana humu ukikosoa CDM ni dhambi kubwa tena sana. Yaani watu wanashinikiza ban ati mods mpe ban Shelui! Haya tunapambana hadi mwisho.
 
sasa kama mtu alishawai kufungwa kwa wizi ikumbukwe hakutoka kwa kukata rufaa au mahakama kumkuta hana hatia hapana alikutwa ni mwizi ndio mana akawa kifungoni ni huruma tu ya rais akamwachia sasa nyie mnakuja kumchagua kua mbunge akili kweli iyo!! jimbon kwetu huyu kitendo cha kwenda kuchukua form tu kingefuatia na makofi juu achilia mbali kua hana asili ya TZ
 
[h=2]M/kiti CCM Tabora unalijua hili? Nafasi nyingine kwa Chadema[/h]
Vyama vya MSINGI. KILUNGU,MILUMBA,ISIMU KAGERA,IBIRI,KIVUKO MWAKASHINDYE. Tokea wameuza mazao yao ya biashara ya TUMBAKU mpaka hivi sasa hakuna ambaye amelipwa. NA M/KITI wa ushirika WETICU MKOA ndie mwenyekiti CCM MKOA BWANA MWAKASUBI.Pia 90% ya wakulima wa tumbaku tabora ni wanachama wa CCM hivyo moja kwa moja bwana mwakasubi unahusika kuhakikisha wakulima wanapata haki yao.
Mpaka jana jioni ameingia mitini hajuliani halipo kazi kamwachia MKUU WA MKOA MAMA FATM MWASA na yeye mpaka anaondoka mkutanoni hakuja majibu ya maana aliyowaachia wanachama.
Sasa ni nafasi nyingine kwa CHADEMA NA BWANA ZITO aliyekabidhiwa kanda ya MAGHARIBI kisiasa kwenda kuchota wanachama na mpaka sasa kijiji cha milumba hakuna serikali ya kijiji kwani wote wanafanya mawasiliano na uongozi wa chadema wilaya ili wapate kadi za uanachama,​

REPOA-Reseach on Poverty Alleviation au Taasisi ya utafiti kuhusu kuondoa umaskini

Matokeo ya tafiti za hivi karibuni

1. Utendaji kazi wa Raisi Jakaya kikwete umeshuka toka 90% mpaka 74%
2. 90% ya wanaoipenda CCM wale ambao ni wazee na waliosoma mpaka darasa la saba na ni maskini sana.
3.Mkoa wa Tabora waliichagua CCM tena kwa kura nyingi sana ni miongoni ya mikoa iliyonyuma sana kimaendeleo kwani mpaka miaka 50 ya uhuru hamna hata barabara moja ya lami.

Kwa hiyo basi Tabora inastahili kuwa ilivyo na Tambaku yao hiyo wakakaangie mboga, mboga ukiunga kwa tumbaku inakuwa ni tamu sana
 
lenilo bhabha lyavile itongo lya bhagaiwa masala.

maccm,
wamegeuza kuwa ni shamba la bibi kama ilivyo kwa watani zetu wagogo.

we do not take much time to cogitate as our fore-grandpa ând ma did since time immemorial.

we have taken things with an ease and that's why the nyamwez are getting carried away from politics.

consequently, even the région remains underrated in all aspects of economic développement.

we got to go long way back on the ways our ascendants did for us. it sounds like à curse that has happened to our clans and we are also obliged to go on the shrine for the release of all fate that a number of people might have been subjected to.

that's to say,we need to enlighten our people starting from one household to another where need be to snuff out all odds.
 
safi sana wanatabora fanyeni maamuzi magumu


Hakuna aliyetuloga wanyamwezi,ila NJAA za wanyamwezi wachache waliowapa kura akina Sitta ndiyo wameifikisha Tabora hapo ilipo.

kinachoniuma mimi ni kuona Tabora kuwa shamba la bibi,watu wachache wanakuja wanavuna wanaondoka.

lakini naamini mwisho wa ujinga umekaribia,Tuombe uzima 2015,tufike salama

"mwidale akagahilagwa wa kusunta"

ufuku mwaka,NIZILE URAMBO KUVADIMA CCM...................MUKAVONA 2015
 
mkuu unamaanisha mimi?

Ni kweli kuwa kwa muda mrefu sipo tabora kimakazi kutokana na kupangiwa kazi na serikali nje ya mkoa wangu lakini still my homeland is the best place to live for me among all regions of tanganyika. Lakini nimeshaanza kuwekeza kwetu taratibu kwani plan yangu nistaafie mkoani kwangu.

Kama na wewe ni wa-kukaya naomba uniunge mkono na hii kampeni ya kuwarudisha vijana mkoani kwetu, kwasasa kuna fursa nyingi tu zinazoweza kukupa kipato cha kukuwezesha kukidhi haja zako kwa kiwango kikubwa sana tu. Maendeleo ya tabora yataletwa na vijana wa tabora, kuendelea kuwalaumu wakina rage wakati sisi tunakaa dar tunawaacha wazee wetu tu tabora matokeo yake wananunuliwa na ccm kwa sabuni na sukari kamwe hatutaendelea.


"vayomba gwa nhana"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom