Wanyamwezi nani kawaroga?

Wanyamwezi nani kawaroga?

Status
Not open for further replies.
Pia kuna usemi tumeukuta sisi wa kizazi hiki unasema "Mzigo mzito Mtwishe Mnyamwezi" huu msemo hauwezi kuwa umechangia kuwakandamiza?
 
Nani kawaroga wanyamwezi?


Blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.

Grave mistake ya kwanza

Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.

Grave mistake ya pili.

Ni eti kumtambikia Lowassa kwenye kaburi la Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi,Lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama Yule kwa lipi alilofanya? ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.

Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.

Ukabila ni kitu kibaya sana,nime nena mara nyingi kuwa anaezungumzia makabila ujue ni mkabila huyo,kadhalika na udini

Sasa ukizungimzia wanyamwezi vipi kuhusu wazaramo? Daresalam na vitongoji nyake wanasiasa wote ni wakabila ya bara..vipi kuhusu hii hujaiona mkuu,Tanzania ni kwa watanzania haijali makabila
 
now l get it, mizigo ya kaka zangu si ya kitoto; pole na hongera with time utazoea. Nikuletee maembe mabichi?????
sio magrumet hayo .....magrumet ya moyoni....moyo upo into pieces !
 
Tangu lini DOdoma mkawa na chakula cha kutosha bhana, wacha majigambo mkuu!! Kama ni mistake wameshafanya ila acha kuwaambia wana njaa...waje Dodoma muwalishe Ubuyu Jangwani huko? We kama upo Mjini wanywa mvinyo sawa, nenda Mpwapwa huko uone maisha ya wenzako yalivyo magumu...kule kuna watu maisha yao yanategemea mapito ya treni,ili wauze ubuyu...gogo likizingua tu...majibu unayo!! Jiheshimu bhana!!
teh teh teh! Saa nyingine JF kuna great thinkers...hahahahaaa 'ubuyu' watani wetu hawa bhana
 
kama Lema anavyoinajisi Arusha na maandamano yake, ayapeleke kwao moshi , hatumtaki arusha..
 
sio magrumet hayo .....magrumet ya moyoni....moyo upo into pieces !

pole mpenzi, is there anything l can do?
Naweza hata kusikiliza tu (PM) kama it may help
 
Mtani leo umetuamkia vibaya,, ila kwa kweli kuna points nyingi katika uzi wako,, tatizo letu kubwa wanyamwezi ni njaa kama ulivyosema, kwanza huu utaratibu wa kuwasimika utemi watu wasio wanyamwezi umeanza lini?? kama si njaa tu,, tabora imepoteza heshima yake,, wale mashujaa wetu waliheshimika na dunia njima na taifa letu leo tumewageuza, wengine watakuponda subiri uone,,,,, maana wanyamwezi wana msemo KUYANGULA MSABHI ALAKUWILA SABHA NANHO!!
kwa faida ya wengine, mkuu ana maana "Kumshauri mfugaji atakwambia kafuge na wewe"

Hata hivyo njaa haitokani na uvivu wa wanyamwezi - ni ukame mfululizo, ardhi isiyo na rutuba ndiyo vitanzi vya mkoa huu wa kihistoria.
 
Kweli Isike anachafuliwa kwa kuwakilishwa na kina rage.
 
Kweli Isike anachafuliwa kwa kuwakilishwa na kina rage.
Mkuu umenena, hili jambo lazima lifanyiwe kazi haraka sana. Lazima Tabara ienzi ushujaa wa hawa wazee wetu waliopiga dhana nzima ya kutawaliwa / kuombaomba.
 
Huo ndio mwisho wakufikiri kwako?
Acha wivu, ulitaka Lema ajeaongoze Tabora?
Mwisho,ndugu achana na fitina za kikabila!
 
We ushaona wapi mkoa unategemea uwe kibaka na kuvundika maembe ili demu wako apake carolight kama sio Tabora? mnisamehe!
 
Mtani leo umetuamkia vibaya,, ila kwa kweli kuna points nyingi katika uzi wako,, tatizo letu kubwa wanyamwezi ni njaa kama ulivyosema, kwanza huu utaratibu wa kuwasimika utemi watu wasio wanyamwezi umeanza lini?? kama si njaa tu,, tabora imepoteza heshima yake,, wale mashujaa wetu waliheshimika na dunia njima na taifa letu leo tumewageuza, wengine watakuponda subiri uone,,,,, maana wanyamwezi wana msemo KUYANGULA MSABHI ALAKUWILA SABHA NANHO!!
Bado mtampa na Juma Nkamia u chifu kwa njaa njaa zenu,vipi msimu wa maembe haujafika?
 
kama hiyo ya Rage na Lowassa ni laana nadhani tutalaaniwa zaidi nchi tukiwapa WACHAGA. HAWA NI LAANA NA BALAA KULIKO HAO ULIOWATAJA. MUNGU IBARIKI TZ TUEPESHE NA CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (CHADEMA)

he hii nayo mpya, kumbe ndo kirefu chake?
 
hahahahaha ww unawaza hayo tu mengine aaaaagh muone alivyo.....

Funguka mrembo, Dunia ni yako chaguo ni lako......Chagua Msukuma.....The only male species women hunt!!!
Shauri yako!!
 
kama hiyo ya Rage na Lowassa ni laana nadhani tutalaaniwa zaidi nchi tukiwapa WACHAGA. HAWA NI LAANA NA BALAA KULIKO HAO ULIOWATAJA. MUNGU IBARIKI TZ TUEPESHE NA CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (CHADEMA)
Mbona unamumunya maneno? Hao si wachaga,ni Wakikuyu 120% hivi huna elimu dunia wewe? Ndo maana uko unyamwezini. Mnisamehe
 
Tabora yetu ina hali mbaya kwa kweli,ila mwaka 2015 tutafanya mapinduzi makubwa.Dodoma na yenyewe inabebwa na hiyo CDA lakini wabunge wao kina Lusinde hawana tofauti na kina Rage tena angalau Tabora jimbo la Urambo mwaka 1995 tulifanya maamuzi magumu kwa kumuweka kando Samuel Sitta wa CCM na kumchagua Dr.Jacob Msina wa NCCR-Mageuzi ambaye naye hakuwa na jipya lolote.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kosa wanalofanya wananchi ni kuwachagua wawakikishi ambao mara tu baada ya kuchaguliwa hawarudi tena jimboni hadi uchaguzi mwingine. Asilimia kubwa wanaishi Dar. Kwa nini mnachagua mtu asiyejua shida zenu? Mtu ambaye akiensa jimboni anaishia kilala kwenye nyumb za kulala wageni? Amkeni sasa. Chagueni watu ambao wanazijua shida zenu na wala hawatakuwa wanawasimika wageni mchezo ambao kwa sasa unashika kasi.
 
Mbona unamumunya maneno? Hao si wachaga,ni Wakikuyu 120% hivi huna elimu dunia wewe? Ndo maana uko unyamwezini. Mnisamehe

Ina maana huku nchini katika makabila 120 na ushee yaliyopo wapo pia na Wakikuyu? Baadaye tutasema wako Wakalenjin. Hakuna kitu kibaya kama kutokuwa na elimu sahihi au kuwa half-baked. Mtu wa namna hii ni lazima anatawaliwa na wivu wa kijinga badala ya ule ambao ni constructive. Jamani, tuwapeleke watoto wetu shule waelimike.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom