Wanyamwezi nani kawaroga?

Wanyamwezi nani kawaroga?

Status
Not open for further replies.
Akili finyu na wivu mwingi, Obama ni mjaluo na anaongoza taifa kubwa duniani na huwezi kusikia native yeyote wa America akimsema kwa asili yake labda tu amseme kwa tu kwa utendaji wake wa kazi, hivi unasubutu kuwatusi wanyamwezi hali yakuwa baba yako ni marehemu Matonya ombaomba. Use your head to think not MA------,Athank

Wewe usiwe mpumbafu mtoa mada kaeleza wazi kabisa kwamba huyo msomali hana Qualification za kuwa mbunge Obama anazo qualification za kuwa Rais , qualification anazofaa huyo mbunge ni za maneno maneno, sasa kwali watu wa Tabora wanahitaji mtu wa maneno maneno.
 
Nani kawaroga wanyamwezi?


Blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.

Grave mistake ya kwanza

Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.

Grave mistake ya pili.

Ni eti kumtambikia Lowassa kwenye kaburi la Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi,Lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama Yule kwa lipi alilofanya? ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.

Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.

wewe ndiye umerogwa ulitaka wamchague mjomba wako.
 
kilichowaloga ni kukubali kujengewa mnara wa busara
 
kwa kujipigia pande uko juu. LOL
Ujue hili ni jukwaa la siasa si LOVE CONNECT

Nyie ndio madada nuksi :doh: ............Wewe si unaona hambohambo anaanza kuelewa somo.
Mwache huyo mtoto ale "mzigo" wa Msukuma wa Kaskazini!
 
Wewe usiwe mpumbafu mtoa mada kaeleza wazi kabisa kwamba huyo msomali hana Qualification za kuwa mbunge Obama anazo qualification za kuwa Rais , qualification anazofaa huyo mbunge ni za maneno maneno, sasa kwali watu wa Tabora wanahitaji mtu wa maneno maneno.
Pilipili usoila yakuwashiani sisi tumemchagua na tutaendelea kumchagua unless otherwise abadilike awe na sera ambazo si zetu.mchangia mada na wewe usiwe --------
 
...

....bhing'we bhanadakama mishagi mtindelile sana!!!

....makambo!!! makambo!!! makambo!!!

...bhoswahili swahili do ...changanya no bhobha!!!!
 
Pilipili usoila yakuwashiani sisi tumemchagua na tutaendelea kumchagua unless otherwise abadilike awe na sera ambazo si zetu.mchangia mada na wewe usiwe --------

Mwanyamwezi mmeambiwa kuwa ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Na kweli hapo kwenye nyekundu Rage hana mpinzani.

Pili kwenye masomo ya udaktari ukifanya grave mistaske unapigwa mvua yaani anarudia mwaka mmoja maanake umeuwa mgonjwa,sasa nyie wanyamwezi mmfanya grave mistake mbili kwa hiyo mnapigwa mvua mbili kimaenedeleo
 
Ila mimi nasema Mungu atuepushe na CHAMA CHA MAJAMBAZI(CCM)maana toka uhuru wametunyonya sana na kuyafanya maisha ya wana-Tabora kuwa magumu sana.
Mwenyezi Mungu atuepushe na WACHAGA, marehemu Baba wa Taifa aliishasema hawa jamaa hawafai ata kidogo, alipowekwa Mzee mbowe kuwa mkurugenzi wa Tra, alijaza wachaga Tra hadi Nyerere akamwamuru astaafu au afukuzwe. si watu hawa jamaa
 
Hongera sana Mtani umetupasha tukapashika Mimi nataka kusema wazi kuwa Aliyeturoga ni Mwarabu wakati ule wa Biashara ya Utumwa hapo ndipo mambo yalipoanza kutuharibikia mpaka leo hii hali ni mbaya sana Maendeleo hakuna wala Mwamko haupo watu wanakaa-kaa tu Ki-Mwinyi ni aibu kweli Aden Rage!!!!!!!ni Aibu sana tuombe Mungu atusaidie tuamuke toka Usinginzi tuliolazwa na Waarabu enzi hizo.

Ah dadaangu wee hiyo mimba ina miezi mingapi haya me naona wa kulaaniwa ni mzungu alotuletea dini ya kusadikika ya sanamu kua mungu
 
Blayi wa Mpwapwa natumai sisi Wasukuma hujatuunganisha na Wasukuma wa Kusini (Wanyamwezi)!! La sivyo shingo yako ni halali yetu!

Chifu, unafahamu historia ya wanyamwezi vyema?

Nikupe dondoo kidogo. Mambo yapo hivi: katika kabila la kinyamwezi, kuna wanyamwezi wa kaskazini (wasukuma) na wanyamwezi wa kusini (wadakama).

Sasa unaposema wasukuma wa kusini ni sawa na kusema wakaskazini wa kusini. Kwani neno 'sukuma' lina maana ya kaskazini!

Soma historia ama uliza kwa akina babu, watakueleza vizuri...

Kama kweli tulitokea (sisi wasukuma) Afrika ya Magharibi, basi hao wadakama waliamua kwenda kuishi maeneo ya Tabora, wakituacha ndugu zao maeneo ya Shinyanga na Mwanza.
 
Last edited by a moderator:
Sikonge KIKUNGU Kaunga Mnyamwezi wa Urambo njooni huku Mgogo anawamaliza!!
A%20S%2041.gif
A%20S%2041.gif
A%20S%2041.gif
The Boss na Elli wamekupa hongo?
na Ablessed je?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom