Wanyamwezi nani kawaroga?

Wanyamwezi nani kawaroga?

Status
Not open for further replies.
Wagogo bana,

Wakishakula ugali wao wa Mhumba kwa Mlenda (Ugali wa Pumba, damn) basi wanajiona na wao wamekuwa matajiri.

Tatizo lenu Mmezaliana sana wenyewe kwa wenyewe hadi GENS zenu mmeziharibu na ndiyo maana wengi wenu mnakuwa vipofu na Omba omba. Na hii mliifanya sana hadi kwenye Jando mkaanza kuimbishwa wimbo:

"Myujiyuji, Mti wa lulenga si wa kukata Zengo" ikiwa na maana kuwa Myujiyuji ni Mti mzuri sana kwa kujengea ila HAUFAI kujengea kabisa. Dada zenu hawafai kuwazamia. Ndugu wa karibu, pitisha mbali.

Hebu waone tu Mtani wangu na Schoolmate George Simbachawane wa Mazengo Sec, Ndungay (Mzee wa SMS) na Lusinde aka Mzee wa kuporomosha matusi.......

yaani nilivyookoka nilikuwa naomba kimoyo moyo uzi huu usiuone, maana nilikuwa na imagine ni jibu la namna gani ungempatia huyu mgogo. Duh labda nianze kufunga ndipo maombi yangu yasikilizwe. LOL
 
Aaah mgogo kaamua kupiga na kuangamiza watani zake... Wanyamwezi kwishney.
 
muwe makini kumuelewa mleta mada kabla ya kuchangia.amesisita yeye co mbaguzi ila Rage ni msomali asiye na vigezo na hajui shida za wananzengo kitu ambacho hata Rage anakiunga mkono

Eti yeye sio mbaguzi ila Rage ni msomali,what is that? Racist you ------
 
wanyamwezi tuko sawa....na kama kuwa viongozi wabovu tutawatoa hv karibuni....swala la lowassa hata kwingine alishatambikiwa ndo siasa chafu za bongo ila naomba ujue mabadiliko ya taifa hili yataanzia tabora.....viva mboka!
 
hakuna kurogwa mkuu...ni kukosekana kwa elimu yenye manufaa tu ndiyo shida kubwa ya nchi hii.

narudia, Elimu yenye manufaa, siyo bora elimu...maana bora elimu ndiyo hii, bunge, serikali limejaa mashahada ya vyuo anuwai duniani lakini ufanisi ni sifuri....kwanini, sababu hizo elimu wamesoma hao jamaa hazina manufaa...hawana tofauti na punda anayebeba gunia la mahindi lakini mwenyewe anakula majani makavu.
 
Hongera sana Mtani umetupasha tukapashika Mimi nataka kusema wazi kuwa Aliyeturoga ni Mwarabu wakati ule wa Biashara ya Utumwa hapo ndipo mambo yalipoanza kutuharibikia mpaka leo hii hali ni mbaya sana Maendeleo hakuna wala Mwamko haupo watu wanakaa-kaa tu Ki-Mwinyi ni aibu kweli Aden Rage!!!!!!!ni Aibu sana tuombe Mungu atusaidie tuamuke toka Usinginzi tuliolazwa na Waarabu enzi hizo.
Kijana you are hardly 30yrs. Lakini hauko sawa.... ajabu umesoma lakini elimu yako imefunikwa na wigo na ujahili!!sijui nini unaamini kurogwa!? inuka uchape kazi!!
 
Tanzania ni nchi yenye makabila zaidi ya 120,Vile vile kuna wahamiaji waliohamia zaidi ya miaka mia 500 iliyopita wahindi,warabu,wasomali wayemeni nk.wahamiaji hao wamezaana na vizazi vyao vimezaana.....
Rostam Aziz si muhundi bali ni Mtanzania,Rage si msomali bali ni Mtanzania,mada kama hizi ni mada mgando zinanaturejesha nyuma watanzania ......wanayamwezi ni haki yao kumchagua wanaemtaka

Mkuu Wape somo hao hao wenye akili mgando kama huyo mbaguzi alieleta huu uzi
 
Hongera sana Mtani umetupasha tukapashika Mimi nataka kusema wazi kuwa Aliyeturoga ni Mwarabu wakati ule wa Biashara ya Utumwa hapo ndipo mambo yalipoanza kutuharibikia mpaka leo hii hali ni mbaya sana Maendeleo hakuna wala Mwamko haupo watu wanakaa-kaa tu Ki-Mwinyi ni aibu kweli Aden Rage!!!!!!!ni Aibu sana tuombe Mungu atusaidie tuamuke toka Usinginzi tuliolazwa na Waarabu enzi hizo.
Mkuu sio kweli kuwa uvivu na ujinga wetu kasababisha Mwarabu, mbona sehemu nyingi alizokaa Mwarabu hapa nchini sasa hivi zimeendelea? Mfano Mzizima, Unguja n.k.
 
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ambao kama ungemalizika ungekuwa bora kwa Afrika Mashariki, lakini tatizo ukizungumzia udhaifu wa Wanyamwezi unaoponzwa na 'HEWALA BWANA' unaonekana mbaguzi.
IMAG0039.JPG
 
Nani kawaroga wanyamwezi?


Blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.

Grave mistake ya kwanza

Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.

Grave mistake ya pili.

Ni eti kumtambikia Lowassa kwenye kaburi la Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi,Lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama Yule kwa lipi alilofanya? ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.

Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.


labd. Kizazi hiki, Mageuzi ya kweli yalianzia Tabora, kumbuka Kasela Bantu, Fundikira, KASSANGA TUMBO, Mapalala, bila ya kuwasahau Milambo NA Isike!!!
 
Hapo ni Utani tu kati ya Mgogo na Mnyamwezi wala si kingine
Mkuu sio kweli kuwa uvivu na ujinga wetu kasababisha Mwarabu, mbona sehemu nyingi alizokaa Mwarabu hapa nchini sasa hivi zimeendelea? Mfano Mzizima, Unguja n.k.
 
Huo ulikuwa utani tu hata mtoa mada Mgogo alitoa akijua na akimlenga Mtani wake Mnyamwezi
Kijana you are hardly 30yrs. Lakini hauko sawa.... ajabu umesoma lakini elimu yako imefunikwa na wigo na ujahili!!sijui nini unaamini kurogwa!? inuka uchape kazi!!
 
Blayi wa Mpwapwa umenena mkuu

hakiaka nilidhani maisha ya wanatabora ni mazuri kuliko ya wenzetu wa mikoa ya pembezoni hususani rukwa...duu! Hii kali niliwahi kutembelea tabora...
Maji shida,
gharama za maisha shida,
miundombinu shida mfano nzega kwenda tabora mjini.usanii wa rage ni zaidi ya kwa wanyamwezi.

Nikiwa huko nilijaribu kufanya maongezi na mwenyeji mmoja wa huko kwa jina la MALIMA moja ya jambo alilolisisitiza ni hili..tabora hasa hapo mjini haikupata kuwa na mzalendo aliyezaliwa na kukulia kwenye shida za ndani za wanyamwezi.habri ndo hiyo.
tabora kigoma ni mapacha wawili wasiojua wazazi wao , mmoja anamjua mama mngine anamjua baba , siku wakijuana watashinda famila zote zilizokuwa zinajivunia wazazi , my point fursa ya tabora itatoka kigoma na fursa ya kigoma tabora hawa wabunge waliiangalie hilo siyo bla bla tu , hata akichaguliwa nani kama hawataliona hilo tunatwanga maji katika kinu , siku mikoa hii ikifunguka vizuri wakulima , wafanyabiashara , wavuvi, watanufaika sana lakini nionavyo mimi watu wa kigoma ndiyo wanaolilia zaidi barabara kuliko wenzetu wao na simba utafikiri simba ni maendeleo ya miji . FUTA DELETE KABISA RAGE +SERUKAMBA
 
Ivo juu ya elimu yote mlanayo bado mnaonyesha mumebobeya UBAGUZI kibao ..Khaa hakuna utani mulikuwa mnakusudia tuu!! JF ni kubwa kuliko mawazo yenu!! Yaani aibu mnafikia hadi kuumbuana kimakabila Looh lool!! Bora nimwite babu yangu Sultani awatawale tena..ili mpate kujifunza heshima. kwaherini akili ndogo!!
 
Mwarabu ndio katuroga kwa kutuletea dini na mila zake za utwana na ubwana kwa maoni yangu lakini.

Mpendwa hata wewe...?!!! kumradhii Al-Waarabu hawarogi ..wao hunyanyua mikono juu kuomba tuu. Your honor wewe ni well educated !! good luck and stay happy.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom