Wanyamwezi na wasukuma

Wanyamwezi na wasukuma

mwanamasala

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2009
Posts
248
Reaction score
12
Tangu uhuru makabila haya yamepigwa chini na makabila madogo madogo! Maendeleo ya mikoa yao yako chini sana, ingawa natural resources nyingi zinatoka huko.

Kisiasa tangu akina James Mapalala, Kasanga Tumbo,
Chief Fundikira na Chief Makwaia wapigwe chini na Nyerere ,mikoa hiyo haina uwakilishi kabisa katika maamuzi ya serikali.

Ukiangalia mafisadi wengi wanatoka makabila madogo madogo! Wapinzani wa serikali pia ni kutoka makabila madogo. Mpaka haya makabila yaibuke, yaseme enough is enough, ufisadi na stupidity ya nchi yetu utaendelea milele.

Tujadili!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tangu uhuru makabila haya yamepigwa chini na makabila madogo madogo!Maendeleo ya mikoa yao yako chini sana,ingawa natural resources nyingi zinatoka huko.Kisiasa tangu akina James Mapalala,Kasanga Tumbo,
Chief Fundikira na Chief Makwaia wapigwe chini na Nyerere ,mikoa hiyo haina uwakilishi kabisa katika maamuzi ya serikali.

Ukiangalia mafisadi wengi wanatoka makabila madogo madogo!Wapinzani wa serikali pia ni kutoka makabila madogo.Mpaka haya makabila yaibuke ,yaseme enough is enough,ufisadi na stupidity ya nchi yetu utaendelea milele.Tujadili!!!!!!!!!!!!!!!!


Huu ni ukabila ulio incoherent tu.

Kwa hiyo unalalamika kwamba Wasukuma hawachukui share yao ya ufisadi?

Unacho protest ni nini? Kwamba Wasukuma hawako katika upinzani na kuweza kupinga ufisadi au hawawakilishwi vilivyo katika ufisadi?

Na yule Any Chenge ni kabila gani? Hao majambazi wanaowachagua CCM kina Mabina ni kabila gani
 
Aha,Chenge na proportionality ya watu wote ni kidogo sana!
Sio ukabila ni facts!Ukweli uuma!
 
Aha,Chenge na proportionality ya watu wote ni kidogo sana!
Sio ukabila ni facts!Ukweli uuma!

Kwa hiyo unalilia Wasukuma na Wanyamwezi wawe mafisadi zaidi ili wawe representative kama walivyo wengi katika population, au siyo?

Wewe Msukuma wa wapi mbona huna haya na integrity za akina Nyalali na statesmanship za kina Bomani? Au umesingiziwa usukuma?
 
Julius umelewa!hapa ni free media,kuifunga thread hii ni kama serikali kufungia gazeti!
 
Ndugu yangu Mwanamasala sijakuelewa kabisa. Unataka iweje?
 
Julius umelewa!hapa ni free media,kuifunga thread hii ni kama serikali kufungia gazeti!

Wewe unataka kutupa sifa mbaya Wasukuma. Katika makabila yote major nadhani tunaongoza kwa kuwa waadilifu.

Lekaga nkoi....
 
Wewe lazima utakuwa ni Mgoyangi tu, kwani huyo nyoka si mchezo!.

isesa-snake-60.3.jpg


Nene ngalu gete, natamanile mashikolo ka bofisadi.
 
chu! bing'we! ng'wandya gujisha ja mukaya ghete? lekagi bhuchilu, bhangi bhatomana mliyomba ki!
 
Back
Top Bottom