Wanyakyusa kwa kujifanya wajuaji

Wanyakyusa kwa kujifanya wajuaji

Mwanaume wa dsm hawezi kufanya hivyo yeye ataishia tu kugombaniana viti na Dada zake kwenye daladala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umesema kweli mwanaume wa mkoani akipata siti aone dada yake kasimama anamuachia lakini hawa wa Dar thubutu
 
Huo ni uongo, kwanza hiyo picha ya gari ukiichunguza vizuri inaonesha siyo Tanzania.
 
Back
Top Bottom