Hivi humu kuna wateja au wanasiasa?

Hivi humu kuna wateja au wanasiasa?

Mpambanaji17

Senior Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
100
Reaction score
181
Nafikiri humu kama unaanzisha biashara yako usije kabisa maana wana JF ni wajuaji utafikiri wote matajiri😂😂...halaf anaweza akaa anaongea kitu ambacho hakijui utafikiri anakijua kuliko wewe......Wafanyabiashara tupeni ushuhuda!!
 
HN0BB89acAAEyan.jpg
 
Sehemu yoyote ambapo wanaishi watu walioficha sura zao,sauti zao,majina yao,jinsia zao ni sehemu hatari kwaiyo nawe kua kama wao tu ( mji huu ni wakijuaji na ukosoaji,na kusanuana tu kupotezwa nje nje usikubar kukutana na mtu wa umu)
 
Miaka hiyo nimeuza Sana humu JF Sana
Na kuna ID yangu flan ya zamani ule Uzi unatembea Hadi Leo

Yaani niliweza kuishi kwa biashara ya JF

Sema enzi zile JF ilikuwa ya wenye hela na wasomi Tu
 
Back
Top Bottom