Wanyakyusa kwa kujifanya wajuaji

Wanyakyusa kwa kujifanya wajuaji

Mwanaume wa dsm hawezi kufanya hivyo yeye ataishia tu kugombaniana viti na Dada zake kwenye daladala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[quote uid=316178 name="Kingsharon92" post=19290916]Wasukuma siku hizi wamepumzilka ni zamu ya wanyakyusa
Tukimaliza hawa tunaanza na wahehe, licha ya kumaliza mbwa wote huko kwao bado wana vitu vya ajabu sana hawa.[/QUOTE]
Licha ya kumaliza mbwa wote hahahaaaaa hii imeniacha hoi
 
0429ed7875f0b7056c97b22fb8ff6fe6.jpg
Huyo mnyakyusa yuko nje ya Tz au maana gari hiyo imekeep right badala ya left.
 
Mwanaume wa dsm hawezi kufanya hivyo yeye ataishia tu kugombaniana viti na Dada zake kwenye daladala
Wanaume wa Dar pale kimara terminal ni aibu wanavyogombania mabasi ya mwendokasi na wanawake na wazee na watoto, ni shida wanaume wa dar.
 
Nina wasiwasi nahizo pu.mb* zake ameamua kuzisagasaga!.. Njia zenywe pot holes kibao halafu unakalia kor.odan*... Kwishnei!...
 
Back
Top Bottom