Babkey JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 4,838 Reaction score 3,674 Jan 13, 2017 #2 Teh teh....noma sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,362 Reaction score 195,197 Jan 13, 2017 #3 Huyo ni askari..
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,274 Reaction score 13,433 Jan 13, 2017 #4 Mwanaume wa dsm hawezi kufanya hivyo yeye ataishia tu kugombaniana viti na Dada zake kwenye daladala
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,888 Jan 13, 2017 #5 Mzima kweli huyu?au msukule!
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,011 Reaction score 31,801 Jan 13, 2017 #6 Ndaga lelo po ubhatufifye utile bhali ni ndumbula ingafu ila kumyangu Jo jirani itolo
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 Jan 13, 2017 Thread starter #7 Sir_Mimi said: Mzima kweli huyu?au msukule! Click to expand... Mzima kabisa
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,545 Reaction score 97,924 Jan 13, 2017 #8 Asa hiyo mibuti mbona kama msukuma
Hamiyungu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 598 Reaction score 777 Jan 13, 2017 #9 Sio tanzania hiyo picha!
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,512 Reaction score 12,175 Jan 13, 2017 #10 Wasukuma siku hizi wamepumzilka ni zamu ya wanyakyusa
terasy JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 481 Reaction score 134 Jan 13, 2017 #11 Mkiwapumzsha wanyakyusa watafuata wa.........
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Jan 13, 2017 #13 naona huu mwaka mmenyoka na wanyakyusa na wasukuma.
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 Jan 13, 2017 Thread starter #14 joanah said: Asa hiyo mibuti mbona kama msukuma Click to expand... Wasukuma ni utamaduni wao kuvaa mabuti??
joanah said: Asa hiyo mibuti mbona kama msukuma Click to expand... Wasukuma ni utamaduni wao kuvaa mabuti??
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 Jan 13, 2017 Thread starter #15 Hamiyungu said: Sio tanzania hiyo picha! Click to expand... Ni nchi gani mkuu??
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,557 Jan 13, 2017 #16 terasy said: Mkiwapumzsha wanyakyusa watafuata wa......... Click to expand... Mwaaaafaa
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 Jan 13, 2017 Thread starter #17 terasy said: Mkiwapumzsha wanyakyusa watafuata wa......... Click to expand... Malizia
terasy JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 481 Reaction score 134 Jan 13, 2017 #18 South said: Malizia Click to expand... Sina jibu mkuu naomba umalizie
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,545 Reaction score 97,924 Jan 13, 2017 #19 South said: Wasukuma ni utamaduni wao kuvaa mabuti?? Click to expand... Kipi katika hiyo picha kinaonesha ni mnyakyusa?
South said: Wasukuma ni utamaduni wao kuvaa mabuti?? Click to expand... Kipi katika hiyo picha kinaonesha ni mnyakyusa?
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 Jan 14, 2017 Thread starter #20 terasy said: Sina jibu mkuu naomba umalizie Click to expand... Mimi mwenyewe mgeni mkuu