Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,279
- 13,443
Hapa jf kwann mnayaandama sana makabila ambayo ndio uhai WA nchi ... Yaan humu utaona wanasemwa wachaga, wasukuma, wanyakyusa, wahaya, na wapare kwakuwa makabila haya ndio uhai wa tz...
Mbona hamuwazungumzii wazaramo ambao kazi yao kucheza vigodoro tu na kugombaniana nyumba za urithi??
Mbona hamuwazungumzii wazaramo ambao kazi yao kucheza vigodoro tu na kugombaniana nyumba za urithi??