Wanyakyusa kwa kujifanya wajuaji

Wanyakyusa kwa kujifanya wajuaji

Mkiwapumzsha wanyakyusa watafuata wa.........
[quote uid=316178 name="Kingsharon92" post=19290916]Wasukuma siku hizi wamepumzilka ni zamu ya wanyakyusa[/QUOTE]Tukimaliza hawa tunaanza na wahehe, licha ya kumaliza mbwa wote huko kwao bado wana vitu vya ajabu sana hawa.
 
[quote uid=316178 name="Kingsharon92" post=19290916]Wasukuma siku hizi wamepumzilka ni zamu ya wanyakyusa
Tukimaliza hawa tunaanza na wahehe, licha ya kumaliza mbwa wote huko kwao bado wana vitu vya ajabu sana hawa.[/QUOTE]
Kati ya watu wenye mambo ya ajabu na wahehe wamo aise
 
Hahahaaa..... Una utani na Wanyakyusa wewe, subiri na wao waje.
 
Kweli mnyakyusa anataniwa na isivyo kabisaaa, huo ni Uongo gari haina plate number za TZ, hilo linakuondolea imani kuwa ulichopost ni uongo
 
Back
Top Bottom