Wanting to give attention to someone who appreciates it

Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
Wanawake huwa tunapenda taratibu, anaweza kuwa hakukupenda kihivyo akategemea mapenzi yataendelea kukua kadri anavyoishi na wewe ila baadae akagundua kuwa unamtumia kama fursa. Hata hivyo mkeo mstaarabu pamoja na kuwa amejua humpendi bado amekuacha uendelee kumtumia
Yaani nyie wanawake mna gubu sana,mwenzako wala hafikirii hivo wala hajali wala hafanyi hivo sababu ya sapoti ya mabraza ila she is just a spoiled kid..inshort ana miaka 23
 
Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
Wanawake huwa tunapenda taratibu, anaweza kuwa hakukupenda kihivyo akategemea mapenzi yataendelea kukua kadri anavyoishi na wewe ila baadae akagundua kuwa unamtumia kama fursa. Hata hivyo mkeo mstaarabu pamoja na kuwa amejua humpendi bado amekuacha uendelee kumtumia
Naamini ungekua wewe kwenu washua hivi mwanaume wako angekoma.yaani unawaza kila mwanaume anakutumia tu kisa mna pesa..kwanini wazazi wake waliniozesha sasa?unajua taratibu za wapemba wanavoozeshana?
 
Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
😂😂😂😂😂😂 jamani kuisoma saikolojia ya mtu ni jambo la kwanza kabisa kabla ya kutoa ushauri. Usipoweza hilo ushauri wako hauwezi kuwa effective
Huyu jamaa nimekuja kutafuta kitu lakini sio ushauri,nilishafanya maamuzi ambayo wewe umeyaelew yeye anatoa ushauri wake ambao ni useless kwangu
 
Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
19,637
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
19,637 2,000
Hahaha ila unazingua kwa namna ingine arif. Effectiveness ya huo ushauri wako tutaipimaje? Si kwa matokeo positive? Sasa hebu fanya risk assessment uone kama huo ushauri utamletea matokeo mazuri!
Ataokoa pesa na ndoa!

Look here bro, huyo mwanamke aliolewa wakati hajakua kiakili bado and wasn't a time she would make a right choice ila msukumo wa kuolewa ulikuwa based on fantasies.

Dig deep, Kama jamaa ana 27yrs kwa sasa means alioa 3 years ago! He was 24 yrs ambao ni umri mdogo kwa kijana kuwa amekomaa kuwa mume imara. Mwanamke wake probability ya kuwa ni mdogo kwake kwa miaka mitatu ama mi nne ni kubwa so wakati anaolewa maybe alikuwa na 20 or 21 yrs. You can see the pattern.

Mwanamke anaekomaa fasta anakuwa na msimamo na kujua hasa nini anataka kuanzia 25 years na kuendelea. Hapo 18-24 kuna sarakasi za kufa mtu tuliowahi kudate wasichana wa Age hizo uzoefu tunao. Mwanamke akifika 25 tayari anapanga anataka maisha yake yaweje, anataka aolewe lini, mwanaume ambaye anatakiwa kuwa baba wa watoto wake aweje. Yani kama una manz ulianza nae vizuri tu akiwa hata 23 akawa anakupenda sana akifika 25 tu utashangaa ghafla kaanza kuku assess, akiona hakuelewi tu utashangaa ghafla kakutosa tu.

Connect this kwa situation ya mtoa mada, kaoa mke akiwa age ya fantansy world. Kwa sasa mwanamke amekuwa kiakili na ameona kuwa jamaa sio mwanaume ambaye roho yake inamtaka ili awe free na kufurahia maisha nae. Thats the cold ass fact!!! Sasa tunamsaidiaje jamaa kuipita hii changamoto? The dude is still young ndio sasa anaenda kwenye umri wa ukomavu. Sasa ni kwenda nae taratibu sio kumu attack.
 
Oya bro agiza chochote ntalipa.kuna watu wanapenda kutoa toa ushauri bila hata kuelewa facts muhimu..halafu sasa mimi mtoa mada hawanielewi wananiona mtoto,sijakua,nategemea mwanamke..atleast wewe watakuelewa..yaani umeongea mule mule
 
100 Likes

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
2,333
Points
2,000

100 Likes

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2018
2,333 2,000
I will try to use the language you are using though I am not good at it.

You married that girl because she comes from a wealthy family (there was no connection between you two)

You are a boy and she expected to be married to a man that’s why you feel like she doesn’t appreciate your efforts (Refer to your previous relationships, I bet you had girls who you thought were giving you attention but it’s because you were giving them chapaa) she comes from a wealthy family so money doesn’t blink her eyes. Be a man and you will know exactly what interests her

“Don’t solve a temporary problem by creating a permanent problem” these other gold diggers you are seeking will ruin your ass, you will loose your marriage, your wife and everything

So grow up and know your woman. Ishini nao kwa akili
Kuna post nilikuwa nimeiandika, baada ya kusoma hii nimeifuta.

Umeandika kile nilichokuwa nimeandika, thank you for this useful post.
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,922
Points
2,000

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,922 2,000
Ataokoa pesa na ndoa!

Look here bro, huyo mwanamke aliolewa wakati hajakua kiakili bado and wasn't a time she would make a right choice ila msukumo wa kuolewa ulikuwa based on fantasies.

Dig deep, Kama jamaa ana 27yrs kwa sasa means alioa 3 years ago! He was 24 yrs ambao ni umri mdogo kwa kijana kuwa amekomaa kuwa mume imara. Mwanamke wake probability ya kuwa ni mdogo kwake kwa miaka mitatu ama mi nne ni kubwa so wakati anaolewa maybe alikuwa na 20 or 21 yrs. You can see the pattern.

Mwanamke anaekomaa fasta anakuwa na msimamo na kujua hasa nini anataka kuanzia 25 years na kuendelea. Hapo 18-24 kuna sarakasi za kufa mtu tuliowahi kudate wasichana wa Age hizo uzoefu tunao. Mwanamke akifika 25 tayari anapanga anataka maisha yake yaweje, anataka aolewe lini, mwanaume ambaye anatakiwa kuwa baba wa watoto wake aweje. Yani kama una manz ulianza nae vizuri tu akiwa hata 23 akawa anakupenda sana akifika 25 tu utashangaa ghafla kaanza kuku assess, akiona hakuelewi tu utashangaa ghafla kakutosa tu.

Connect this kwa situation ya mtoa mada, kaoa mke akiwa age ya fantansy world. Kwa sasa mwanamke amekuwa kiakili na ameona kuwa jamaa sio mwanaume ambaye roho yake inamtaka ili awe free na kufurahia maisha nae. Thats the cold ass fact!!! Sasa tunamsaidiaje jamaa kuipita hii changamoto? The dude is still young ndio sasa anaenda kwenye umri wa ukomavu. Sasa ni kwenda nae taratibu sio kumu attack.
Okay nimeelewa concern yako bro. Ila sasa unaposema kuwa kwa kumshauri atafute huo mchepuko kuwa ataokoa ndoa na pesa hapo umenichanganya zaidi.

Hiyo ndoa ataikoa vipi kwa kuchepuka? Huoni kuwa ndio inaweza kumuingiza chaka zaidi? Au mimi sielewi haya mambo?

Then unasema huyo mwanamke amekomaa sasa kiakili ameona kuwa jamaa hakuwa mtu sahihi kwake. Sasa hapo jamaa akibaki maisha yao wataishi vipi ukizingati ndio kwanza bado vijana wadogo wote!?

Okay jamaa ameshasema hataki ushauri ila tujaribu tu sisi kama sisi kulichambua hili swala maana linaweza kumkuta mtu yoyote na akataka ushauri.

Kwa mtizamo wangu kwa kutumia akili yangu na mawazo yangu hafifu naona katika hali hiyo the best way out ni kuachana tu kwa manufaa ya wote wawili.

Jamaa anadai akiachana nae maslahi yake yatakuwa rehani kwasababu anawategema ndugu za mke wake. Nikamshauri ajipange asimame mwenyewe hata kama hao ndugu wakimtosa asianguke. Amegoma.

Sasa huyu mfano inatokea leo binti huyo anaonekana anadekezwa kwao akaamua kuwalazimisha wazazi aachane nae huoni kuwa hawataendelea kumsupport jamaa na atakua ame-lose on both fronts?

Tena huyo mke na ndugu zake wakijua tu jamaa anachepuka ndio kabisa atakua amejipalia mkaa maana watapata valid reason ya huyo binti yao kuachana nae. Na hapo kwake atakuwa hajaokoa chochote zaidi atakua amepoteza vyote.

The best option kwangu ni kuwa ajitahidi kujipanga akiweza kusimama mwenyewe aachane nao afanye mambo yake mwenyewe. Au kama hawezi abaki na huyo binti tu aendelee kuishi nae labda kuna siku roho mtakatifu atashukia ndoa yao iwe rejuvenated.
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,922
Points
2,000

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,922 2,000
Oya bro agiza chochote ntalipa.kuna watu wanapenda kutoa toa ushauri bila hata kuelewa facts muhimu..halafu sasa mimi mtoa mada hawanielewi wananiona mtoto,sijakua,nategemea mwanamke..atleast wewe watakuelewa..yaani umeongea mule mule
Hahaha jamaa unapenda kujazwa ujinga.

Sometimes you need a reality check. What I'm telling you ni 'reality check'.

Jamaa amekupa huo ushauri kutokana na kuwa amekusoma ndio unachotaka kusikia. Mimi nimekupa ukweli wa mambo.
 
Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
Okay nimeelewa concern yako bro. Ila sasa unaposema kuwa kwa kumshauri atafute huo mchepuko kuwa ataokoa ndoa na pesa hapo umenichanganya zaidi.

Hiyo ndoa ataikoa vipi kwa kuchepuka? Huoni kuwa ndio inaweza kumuingiza chaka zaidi? Au mimi sielewi haya mambo?

Then unasema huyo mwanamke amekomaa sasa kiakili ameona kuwa jamaa hakuwa mtu sahihi kwake. Sasa hapo jamaa akibaki maisha yao wataishi vipi ukizingati ndio kwanza bado vijana wadogo wote!?

Okay jamaa ameshasema hataki ushauri ila tujaribu tu sisi kama sisi kulichambua hili swala maana linaweza kumkuta mtu yoyote na akataka ushauri.

Kwa mtizamo wangu kwa kutumia akili yangu na mawazo yangu hafifu naona katika hali hiyo the best way out ni kuachana tu kwa manufaa ya wote wawili.

Jamaa anadai akiachana nae maslahi yake yatakuwa rehani kwasababu anawategema ndugu za mke wake. Nikamshauri ajipange asimame mwenyewe hata kama hao ndugu wakimtosa asianguke. Amegoma.

Sasa huyu mfano inatokea leo binti huyo anaonekana anadekezwa kwao akaamua kuwalazimisha wazazi aachane nae huoni kuwa hawataendelea kumsupport jamaa na atakua ame-lose on both fronts?

Tena huyo mke na ndugu zake wakijua tu jamaa anachepuka ndio kabisa atakua amejipalia mkaa maana watapata valid reason ya huyo binti yao kuachana nae. Na hapo kwake atakuwa hajaokoa chochote zaidi atakua amepoteza vyote.

The best option kwangu ni kuwa ajitahidi kujipanga akiweza kusimama mwenyewe aachane nao afanye mambo yake mwenyewe. Au kama hawezi abaki na huyo binti tu aendelee kuishi nae labda kuna siku roho mtakatifu atashukia ndoa yao iwe rejuvenated.
Bro kwa mila zetu naweza kuongeza mke wa pili bila hata kuulizwa na mtu,tatizo sitaki kujitia tena loki kwenye ndoa..sasa kama

Bro kuachana kupo,wala sisemi kua nitavumilia sitamuacha..ila kwa sasa hivi ambavo ninampenda na nipo desparate nae anapata kichwa sana.natamani kua na mtu mwingine ambae atajali huu upendo wangu huku namtafutia timing ya kumuacha(kama hajabadilika)
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,922
Points
2,000

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,922 2,000
Bro kwa mila zetu naweza kuongeza mke wa pili bila hata kuulizwa na mtu,tatizo sitaki kujitia tena loki kwenye ndoa..sasa kama

Bro kuachana kupo,wala sisemi kua nitavumilia sitamuacha..ila kwa sasa hivi ambavo ninampenda na nipo desparate nae anapata kichwa sana.natamani kua na mtu mwingine ambae atajali huu upendo wangu huku namtafutia timing ya kumuacha(kama hajabadilika)
Sawa chief mimi tu nikutakie kila la heri. Kama ni mwamini sali sana pia.
 
Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
32,144
Points
2,000

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
32,144 2,000
Asee skia chalyangu, huyu msela inaonesha yeye ni kapuku baada ya kufanyiwa mafekechee na wazee, akaoa mtoto mzuri chap kisha ma bro zake wakammegea kipande ya kupigia hela town na inaonesha wana uhusiano mzuri na shemeji yao.

Sasa mama haieleweki tena chalii anahanya kama akisema apige chini ghafla ma bro watasororoa ma njaro yote, atabaki alijojo hapo town, family yake inayomtegemea itayumba pia ila hana raha na huyo manzi.

Sasa katika hii maseke unamshaurije?
 
Forum statistics

Threads 1,345,539
Members 516,285
Posts 32,860,059
Top