Wanting to give attention to someone who appreciates it

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
20,113
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
20,113 2,000
Oya bro agiza chochote ntalipa.kuna watu wanapenda kutoa toa ushauri bila hata kuelewa facts muhimu..halafu sasa mimi mtoa mada hawanielewi wananiona mtoto,sijakua,nategemea mwanamke..atleast wewe watakuelewa..yaani umeongea mule mule
Hahahah, sasa iko hivi...huyo binti yuko kwenye transition age.. Its gets craziest around 21-23 yrs of age ambapo ndio umri uliomuoa. Kwa experience yangu atakuwa haeleweki sana mpaka pale atakapofikia umri wa 25+...! Hapo alipo hajui mume ni nini na yupo nae kwa ajili gani. Kuna mda utafika atatulia kabisa mpaka utashangaa.

Kama ni kweli unampenda huyo binti na bado unahitaji kuwa nae kama mke mvumilie kwa kipande hiko kilichobaki! It wont take long ni kama after the 2 coming years. Unaweza chagua kuwa na maisha ya tofauti yatakayokupa amani ila usimuache. Najua anakukera sana kwa sasa ila ndo ujikaze kaka zako tulishapitia humo.

Kitu kingine mwanamke akiwa na mawenge ndio wakati wahuni wanatiaga mimba sasa sijajua wewe ulikwama wapi kijana wangu na una rasilimali zote.
 
Aiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
687
Points
1,000

Aiba

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
687 1,000
Haya mambo ya demokrasia kwenye ndoa hayajawai kutengeneza AMANI kwenye ndoa na vipi mmeowana miaka3 sasa hamna mtoto au mwanamke hataki kwa sasa? Ila embu tafuta furaha ya kudumu kuongeza mchepuko inaweza kuwa janga zaidi kma ni mtu wa ulabu kidogo tafuta kampani yko kwa wiki mkitoka mara 3 au 4 mkae2 sehemu story sana au gemes au kuogelea au kuangalia mpira tafuta furaha ya tofauti na mwanamke kma ukipata ni wa kupiga na kuacha ila usiweke makazi au demu wako permanent itakuwa tatizo zaidi maana mwanamke uyo mchepuko akipata mimba yko au akikupenda akaenda kwa mganga maana ndyo zao apa mjini aisee itakuwa hatari zaidi kwenye ndoa yako. Punguza wivu na mkeo kma anajifanya busy na kazi muache awe busy nawe kuwa busy na mambo yko kma ataki umguse kitandani usimguse ila jaribu kuongea naye kuusu mtoto kma hayupo tayari muache siku akijisikia ukimuacha huru bila kumbugthi na maneno utamuumiza kisaikolojia na anaweza kujirudi kwako tengeneza system ya tofauti na mwanzo tafuta furaha yako tofauti na mwanamke
 
Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
Hahahah, sasa iko hivi...huyo binti yuko kwenye transition age.. Its gets craziest around 21-23 yrs of age ambapo ndio umri uliomuoa. Kwa experience yangu atakuwa haeleweki sana mpaka pale atakapofikia umri wa 25+...! Hapo alipo hajui mume ni nini na yupo nae kwa ajili gani. Kuna mda utafika atatulia kabisa mpaka utashangaa.

Kama ni kweli unampenda huyo binti na bado unahitaji kuwa nae kama mke mvumilie kwa kipande hiko kilichobaki! It wont take long ni kama after the 2 coming years. Unaweza chagua kuwa na maisha ya tofauti yatakayokupa amani ila usimuache. Najua anakukera sana kwa sasa ila ndo ujikaze kaka zako tulishapitia humo.

Kitu kingine mwanamke akiwa na mawenge ndio wakati wahuni wanatiaga mimba sasa sijajua wewe ulikwama wapi kijana wangu na una rasilimali zote.
Hahahah, sasa iko hivi...huyo binti yuko kwenye transition age.. Its gets craziest around 21-23 yrs of age ambapo ndio umri uliomuoa. Kwa experience yangu atakuwa haeleweki sana mpaka pale atakapofikia umri wa 25+...! Hapo alipo hajui mume ni nini na yupo nae kwa ajili gani. Kuna mda utafika atatulia kabisa mpaka utashangaa.

Kama ni kweli unampenda huyo binti na bado unahitaji kuwa nae kama mke mvumilie kwa kipande hiko kilichobaki! It wont take long ni kama after the 2 coming years. Unaweza chagua kuwa na maisha ya tofauti yatakayokupa amani ila usimuache. Najua anakukera sana kwa sasa ila ndo ujikaze kaka zako tulishapitia humo.

Kitu kingine mwanamke akiwa na mawenge ndio wakati wahuni wanatiaga mimba sasa sijajua wewe ulikwama wapi kijana wangu na una rasilimali zote.
Thanks man,nakuelewa sana
 
Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
42,554
Points
2,000

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
42,554 2,000
Naamini ungekua wewe kwenu washua hivi mwanaume wako angekoma.yaani unawaza kila mwanaume anakutumia tu kisa mna pesa..kwanini wazazi wake waliniozesha sasa?unajua taratibu za wapemba wanavoozeshana?
Inawezekana ni kweli usemacho ila wewe humtumii mkeo? Maana hakuna sehemu nimeona unashindwa kumwacha kwa sababu unampenda ila unashindwa kwa kuwa ukimuacha uchumi utayumba.
 
Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
Inawezekana ni kweli usemacho ila wewe humtumii mkeo? Maana hakuna sehemu nimeona unashindwa kumwacha kwa sababu unampenda ila unashindwa kwa kuwa ukimuacha uchumi utayumba.
Nampenda sana na kuhusu uchumi kuyumba ni swala pana.nimefahamiana na mashemeji kabla ya kumuoa kutokana na biashara ila baada ya kumuoa dada yao boom my business grew..
 
Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
42,554
Points
2,000

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
42,554 2,000
Nampenda sana na kuhusu uchumi kuyumba ni swala pana.nimefahamiana na mashemeji kabla ya kumuoa kutokana na biashara ila baada ya kumuoa dada yao boom my business grew..
Sawa mkuu naomba nikutakie kila la heri. Ningefurahi kama ungetafuta amani na mkeo madam mwenyewe unajua ni utoto unamsumbua jitahidi kumvumilia kadri anavyoendelea kukua akili itamkaa sawa huku nje unakokuja hutopata mapenzi sana sana utachunwa tu ni wanawake wachache wanaweza kuwa na uhusiano na mume wa mtu kwa mapenzi wengi wetu jicho lipo kwenye wallet. All in all maamuzi ya mwisho yako mikononi mwako
 
Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
Sawa mkuu naomba nikutakie kila la heri. Ningefurahi kama ungetafuta amani na mkeo madam mwenyewe unajua ni utoto unamsumbua jitahidi kumvumilia kadri anavyoendelea kukua akili itamkaa sawa huku nje unakokuja hutopata mapenzi sana sana utachunwa tu ni wanawake wachache wanaweza kuwa na uhusiano na mume wa mtu kwa mapenzi wengi wetu jicho lipo kwenye wallet. All in all maamuzi ya mwisho yako mikononi mwako
Nashkuru sana,ubarikiwe
 
Forum statistics

Threads 1,354,543
Members 518,533
Posts 33,093,344
Top