Wanting to give attention to someone who appreciates it

Aki.t.o.m.b.a nje furaha kwenye ndoa yake ndio itarejea? Tena hapo ndio ataharibu maana ipo siku atakamatwa na matokeo yake hayatakuwa mazuri, anaweza akajikuta anapoteza kile anachokilinda sasa hivi. Mshauri kama ndoa imegoma waachane tu kwanza bado ana umri mdogo hao ndugu wa mke hata wakimfanyia figisu kwenye biashara zake bado ana nafasi ya kuanza upya. Mwisho wa siku happiness is the ultimate goal of life, hata akiwa na mahela mengi kama akirudi nyumbani furaha hamna bado atapata tabu sana
Atagundulikanaje sasa? Hivi watu wangapi wanacheat kwenye ndoa zao na maisha yanaendelea tu. Unatafutaje suluhu na mtu ambaye hutakaa uafikiane nae.
Jamaa ana stake kwa ndugu wa mke akiachana nao inamaana maisha yanarudi nyuma. Hio ndio hofu yake.

Are you ready to spoil your future kwa sababu ambazo zingeweza kuepukwa, tena akibidi azae hata nje hio sawa tu.
 
Kama wasiamini hvyo sasa ulileta uzi hapa tusikilize kama pambio au lengo lilikuwa nini hasa..???

Naomba nijue kabla sijakomenti
Umekimbilia kujibu kabla hujasoma,nilikwambia natafuta ushauri?
 
Atagundulikanaje sasa? Hivi watu wangapi wanacheat kwenye ndoa zao na maisha yanaendelea tu. Unatafutaje suluhu na mtu ambaye hutakaa uafikiane nae.
Jamaa ana stake kwa ndugu wa mke akiachana nao inamaana maisha yanarudi nyuma. Hio ndio hofu yake.
Kwamba wengi wanacheat na hawakamatwi haimaanishi nae ana uhakika wa kutokamatwa.
 
Atagundulikanaje sasa? Hivi watu wangapi wanacheat kwenye ndoa zao na maisha yanaendelea tu. Unatafutaje suluhu na mtu ambaye hutakaa uafikiane nae.
Jamaa ana stake kwa ndugu wa mke akiachana nao inamaana maisha yanarudi nyuma. Hio ndio hofu yake.
Yaani wewe pekee ndo unaelewa how i feel na kwanini nimeamua kufanya hivi..yaani nikimuacha pia sio guarantee ya kupata furaha na guarantee ya kuharibu business yangu..its better nitafute mbadala wa kunituliza nafsi huku maisha yanaenda
 
Mwanzo uliambiwa unatafuta mchepuko ukasema hapana unataka rafiki tu, sasa hivi ndio umesema wazi lengo lako. All the best
 
Yaani wewe pekee ndo unaelewa how i feel na kwanini nimeamua kufanya hivi..yaani nikimuacha pia sio guarantee ya kupata furaha na guarantee ya kuharibu business yangu..its better nitafute mbadala wa kunituliza nafsi huku maisha yanaenda
Jamaa sema tu bro hapo kaamua kukuchana live. Ulificha sababu inayokufanya ushindwe kuachana na huyo mkeo. Sio kwamba wengine hatujui vile una feel tunajua sana na ndio maana tumekushauri muongee myamalize au utemane nae.

Sasa ulitaka arudie yale yale tuliotangulia kukushauri wakati ameona umeyakataa? Ndio maana amekupa na yeye option nyingine na inaonekana kwako ndio best option kwahiyo fanya kweli mzee baba.
 
No,we ulitaka niyamalize sijui niyajenge,hivi unadhani nilikurupuka bila kuongea nae na kumwambia how i feel?huu mwaka wa tatu nipo nae na hana dalili za kubadilika..halafu nishakwambia mi mfanya biashara unajua maslahi gani nayapata kwenye biashara yangu kutokana na ndoa yetu?sasa wewe unasema kama hanielewi nimuache niwe na furaha you serious?? Ndio maana nkaja kutafuta mtu atleats tunayeweza kuendana nae bila kuingilia hii ndoa nimuache afanye anachofanya huku furaha yangu haimtegemei yeye wala ndoa tena..
 
Back
Top Bottom