Wanting to give attention to someone who appreciates it

Nimeshamtefeli abofonge na fasi zote bese kuwa mambo apeche alolo ili wacheki watafanyaje. Maana mgogoro na kutoelewana kwenye hiyo mambo ya ndoa sio wao ndio wanaanza na sio wote walioleteana kirambasi walitemana.

Wabonge wayajenge mambo yanaweza kuwa yente kama mwanzo. Ila dingi anaonekana ashasanda mapema tu na bado ni nyoka kabisa.

Kama vipi anaona ni uree ajikate ado ado afate njaro zake maana kuvunga na mtu mnadoro bedi moko alafu hambongi ni uduanzi kuna siku mnaeza leteana ambushi apo ndichi akaishia kumdaga paru la shingo akaishie kuenda kurusha ndege Kisongo.
Wazii arifu!!! Mjuba ashaisorora hii niaje, ilobaki ni afanye mpafango wa kuisawazisha kikamanda hio maseke. Kama ni kumtema manta au kuchill nae kwa fasi hio ni mbishe ake mwenyefewe!
 
No,we ulitaka niyamalize sijui niyajenge,hivi unadhani nilikurupuka bila kuongea nae na kumwambia how i feel?huu mwaka wa tatu nipo nae na hana dalili za kubadilika..halafu nishakwambia mi mfanya biashara unajua maslahi gani nayapata kwenye biashara yangu kutokana na ndoa yetu?sasa wewe unasema kama hanielewi nimuache niwe na furaha you serious?? Ndio maana nkaja kutafuta mtu atleats tunayeweza kuendana nae bila kuingilia hii ndoa nimuache afanye anachofanya huku furaha yangu haimtegemei yeye wala ndoa tena..
Dah kweli njaa nayo ni shida. Hapo unasema hivyo tu kwamba furaha yako haimtegemei yeye lakini mtu mtakua mnaishi nyumba moja maisha yenu yote?

Siku ukirudi ukanikuta sebuleni kwenu na huyo mkeo najisevia mambo utapitiliza chumbani kulala? We jamaa kweli unaonekana bado una akili za kitoto sana na utapata tabu sana mpaka utachakaa.

Utakufa siku sio zako kwa haya unayotaka kuyafanya.

Kama vipi basi fanya bidii upate kimango cha kutosha uweze kusimama mwenyewe ili usitegemee tena hiyo familia yao katika biashara zako ili uweze kuwa na amani na uhuru wako mwenyewe kuliko kuwa glued kwa mtu mnaishi nae lakini mpo tu kama wafungwa jela.
 
Wazii arifu!!! Mjuba ashaisorora hii niaje, ilobaki ni afanye mpafango wa kuisawazisha kikamanda hio maseke. Kama ni kumtema manta au kuchill nae kwa fasi hio ni mbishe ake mwenyefewe!
Yente bablai. Ajiongeze mwenyewe bana mwisho wa siku niaje maamuzi anayo yeye.
 
Dah kweli njaa nayo ni shida. Hapo unasema hivyo tu kwamba furaha yako haimtegemei yeye lakini mtu mtakua mnaishi nyumba moja maisha yenu yote?

Siku ukirudi ukanikuta sebuleni kwenu na huyo mkeo najisevia mambo utapitiliza chumbani kulala? We jamaa kweli unaonekana bado una akili za kitoto sana na utapata tabu sana mpaka utachakaa.

Utakufa siku sio zako kwa haya unayotaka kuyafanya.

Kama vipi basi fanya bidii upate kimango cha kutosha uweze kusimama mwenyewe ili usitegemee tena hiyo familia yao katika biashara zako ili uweze kuwa na amani na uhuru wako mwenyewe kuliko kuwa glued kwa mtu mnaishi nae lakini mpo tu kama wafungwa jela.
Mdogo wangu una akili sana, mwanamke utakayemuoa naomba nimpitishe mimi kwanza
 
Mchongo Wa kazi wakusaidie (makaka) muke wakupe hapo lazima awe jeur wew sio kitu mbele yake tegemea dharau zaid
Bado mdogo sana kuwa na ndoa kwa wew mwanaume
mmelingana na a nakuona mtoto mwenzake chaajabu utakuta anatoka na jibaba
 
Dah kweli njaa nayo ni shida. Hapo unasema hivyo tu kwamba furaha yako haimtegemei yeye lakini mtu mtakua mnaishi nyumba moja maisha yenu yote?

Siku ukirudi ukanikuta sebuleni kwenu na huyo mkeo najisevia mambo utapitiliza chumbani kulala? We jamaa kweli unaonekana bado una akili za kitoto sana na utapata tabu sana mpaka utachakaa.

Utakufa siku sio zako kwa haya unayotaka kuyafanya.

Kama vipi basi fanya bidii upate kimango cha kutosha uweze kusimama mwenyewe ili usitegemee tena hiyo familia yao katika biashara zako ili uweze kuwa na amani na uhuru wako mwenyewe kuliko kuwa glued kwa mtu mnaishi nae lakini mpo tu kama wafungwa jela.
Kutafuta mwingine kosa bro?mbona umeniandama sana kama vile dada ako ndio nimemuoa?yaani unaumia mimi mwanaume mwenzako kutopendezwa na tabia zisizorekebishika za mke wangu kiasi cha kutofurahia..wewe kama humtegemei mtu katika maisha yako ni wewe bro usilazimishe niharibu ecosystem yangu ya rizki kisa usenge tu ambao hata mchepuko anaufix..

Halafu unaweza ukawa na shughuli yako mwenyewe ila bado ukawa unategemea mtu mwingi ili shughuli zako ziende kama unavotaka.
 
Mchongo Wa kazi wakusaidie (makaka) muke wakupe hapo lazima awe jeur wew sio kitu mbele yake tegemea dharau zaid
Bado mdogo sana kuwa na ndoa kwa wew mwanaume
mmelingana na a nakuona mtoto mwenzake chaajabu utakuta anatoka na jibaba
Hahahaha shughuli nliokua naifanya kabla ya kuoa ndio hiyo hiyo naifanya baada..makaka matajiri na wanafanya shughuli hiyo hiyo hivo biashara yangu imekua rahisi na imebustiwa sana na hawa ila sio kama mie kiande au marioo..
 
Kutafuta mwingine kosa bro?mbona umeniandama sana kama vile dada ako ndio nimemuoa?yaani unaumia mimi mwanaume mwenzako kutopendezwa na tabia zisizorekebishika za mke wangu kiasi cha kutofurahia..wewe kama humtegemei mtu katika maisha yako ni wewe bro usilazimishe niharibu ecosystem yangu ya rizki kisa usenge tu ambao hata mchepuko anaufix..

Halafu unaweza ukawa na shughuli yako mwenyewe ila bado ukawa unategemea mtu mwingi ili shughuli zako ziende kama unavotaka.
Umeshaanza kutoa povu. Kifupi ni kwamba wewe umeolewa bro
 
Bro thanks,but what you really need to understand is i married a girl from a wealthy family and she is beautifull.but from these 3 years we've lived together am fed up with her and i cant just divorce her right away bcoz of my parents.

I will try to use the language you are using though I am not good at it.

You married that girl because she comes from a wealthy family (there was no connection between you two)

You are a boy and she expected to be married to a man that’s why you feel like she doesn’t appreciate your efforts (Refer to your previous relationships, I bet you had girls who you thought were giving you attention but it’s because you were giving them chapaa) she comes from a wealthy family so money doesn’t blink her eyes. Be a man and you will know exactly what interests her

“Don’t solve a temporary problem by creating a permanent problem” these other gold diggers you are seeking will ruin your ass, you will loose your marriage, your wife and everything

So grow up and know your woman. Ishini nao kwa akili
 
Kutafuta mwingine kosa bro?mbona umeniandama sana kama vile dada ako ndio nimemuoa?yaani unaumia mimi mwanaume mwenzako kutopendezwa na tabia zisizorekebishika za mke wangu kiasi cha kutofurahia..wewe kama humtegemei mtu katika maisha yako ni wewe bro usilazimishe niharibu ecosystem yangu ya rizki kisa usenge tu ambao hata mchepuko anaufix..

Halafu unaweza ukawa na shughuli yako mwenyewe ila bado ukawa unategemea mtu mwingi ili shughuli zako ziende kama unavotaka.
Nakuhurumia kijana mdogo sana bado. You are trapped in a deadly triangle, and you seem helpless.

Nia yako ya kuweka uzi ni kupata pia mitizamo ya watu tofauti tofauti. Since sisi binadamu tuna njia tofauti za ku solve matatizo fulani fulani hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja katika kutatua tatizo la aina moja.

Kwahiyo basi mimi sijakuambia kuwa neno langu ndio final. Ukipenda chukua kama hutaki acha. Uzuri hapa wanasoma wengi hata usiponufaika wewe watanufaika wengine kimya kimya.

Alafu kusema kuwa kuna watu lazima uwategemee katika mambo yako ni sawa lakini katika situation yako hiyo nakushauri zaidi focus kwenye kusimama mwenyewe kwasasa. Hao ndugu za huyo mwanamke wakifahamu kuwa hamuelewani wakaamua kumchukua mtoto wao unadhani watasimama na wewe tena?

Vipi kama hukujipanga na ulikuwa ndio unawategemea wao katika mambo yote au karibu mambo yote? Huoni anguko lako litakua kubwa zaidi?

Mzee baba kama unasikia sikia kama hutaki acha. Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]Hata kaka yako Extrovert anakuelewa sana sema anajifanya kichwa ngumu
 
Back
Top Bottom