Wanting to give attention to someone who appreciates it

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
365
Points
1,000

Marcy

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2013
365 1,000
Hahahaha shughuli nliokua naifanya kabla ya kuoa ndio hiyo hiyo naifanya baada..makaka matajiri na wanafanya shughuli hiyo hiyo hivo biashara yangu imekua rahisi na imebustiwa sana na hawa ila sio kama mie kiande au marioo..
Sawa uwe kiande usiwe ila usichepuke kutakuongezea matatizo hutayaona mwanzo ila hapo baadae kaa na baby wako myazungumze ndoa bado changa hiyo shirikisha wazaz pande
zote mbili
Akili za kuambiwa humu changanya na zako
 
Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
20,155
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
20,155 2,000
Hakuna shida yoyote kama mnapendana, shida ni pale mmoja anapokuwa kimaslahi
Mama breki pls, i dnt wanna take sides but situation ya jamaa ni ngumu kiukweli. Mwanamke hampendi sasa what he gotta do? Stay unhappy for the rest of his life?

Put that in your shoes, ungekuwa unaishi na mimi sikuheshimu regardless of all the efforts unazofanya kuonesha upendo. Mie ndio nimekufinance katika miradi yako na nasaidia familia yako kwa asilimia kubwa. Would you just stay calm forever licha ya vitimbi vyote? Unaweza vumilia vituko vya mtu ambaye unajua fika hakupendi? Au haoneshi upendo for 3 consecutive years?
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,902
Points
2,000

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,902 2,000
Hata kaka yako Extrovert anakuelewa sana sema anajifanya kichwa ngumu
Anaelewa ila yeye ameamua aendane na mleta mada anavyotaka maana pamoja na ushauri na nini lakini anaonekana tayari ana majibu yake so Extrovert imebidi aende nae sawa tu kwa upande ule yeye anapotaka japo sisi wengine tumemshauri kuwa sio upande sahihi kwenda.

Ameshaamua inaonekana hakuna chenye kitamrudisha nyuma. Mpaka nimekumbuka freedom song moja inaitwa "Ain't gonna let nobody turn me around"
 
Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
42,666
Points
2,000

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
42,666 2,000
Sasa kwann alikubali kuolewa na mm kama hanipendi?
Wanawake huwa tunapenda taratibu, anaweza kuwa hakukupenda kihivyo akategemea mapenzi yataendelea kukua kadri anavyoishi na wewe ila baadae akagundua kuwa unamtumia kama fursa. Hata hivyo mkeo mstaarabu pamoja na kuwa amejua humpendi bado amekuacha uendelee kumtumia
 
Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
20,155
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
20,155 2,000
Anaelewa ila yeye ameamua aendane na mleta mada anavyotaka maana pamoja na ushauri na nini lakini anaonekana tayari ana majibu yake so Extrovert imebidi aende nae sawa tu kwa upande ule yeye anapotaka japo sisi wengine tumemshauri kuwa sio upande sahihi kwenda.

Ameshaamua inaonekana hakuna chenye kitamrudisha nyuma. Mpaka nimekumbuka freedom song moja inaitwa "Ain't gonna let nobody turn me around"
😂😂😂😂😂😂 jamani kuisoma saikolojia ya mtu ni jambo la kwanza kabisa kabla ya kutoa ushauri. Usipoweza hilo ushauri wako hauwezi kuwa effective
 
Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
42,666
Points
2,000

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
42,666 2,000
Huyo mwanamke angekuwa hampendi si angesharudi kwao? Maana kwa hali inavyoonesha hiyo ndoa ikivunjika mke hana cha kupoteza economically Do you know how it feels kukaa na mtu ambae humpendi? Acha masihara bwana
Mama breki pls, i dnt wanna take sides but situation ya jamaa ni ngumu kiukweli. Mwanamke hampendi sasa what he gotta do? Stay unhappy for the rest of his life?

Put that in your shoes, ungekuwa unaishi na mimi sikuheshimu regardless of all the efforts unazofanya kuonesha upendo. Mie ndio nimekufinance katika miradi yako na nasaidia familia yako kwa asilimia kubwa. Would you just stay calm forever licha ya vitimbi vyote? Unaweza vumilia vituko vya mtu ambaye unajua fika hakupendi? Au haoneshi upendo for 3 consecutive years?
 
Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
20,155
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
20,155 2,000
Wanawake huwa tunapenda taratibu, anaweza kuwa hakukupenda kihivyo akategemea mapenzi yataendelea kukua kadri anavyoishi na wewe ila baadae akagundua kuwa unamtumia kama fursa. Hata hivyo mkeo mstaarabu pamoja na kuwa amejua humpendi bado amekuacha uendelee kumtumia
What makes you think thats something easy mama. Mwanamke ameonesha ni aidha mtoto ama hana adabu. Mtu anaewaza unamtumia ikiwa mnashare almost kila kitu kwenye maisha na mnakaa pamoja ana matatizo ya akili no doubt!
 
Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
20,155
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
20,155 2,000
Huyo mwanamke angekuwa hampendi si angesharudi kwao? Maana kwa hali inavyoonesha hiyo ndoa ikivunjika mke hana cha kupoteza economically Do you know how it feels kukaa na mtu ambae humpendi? Acha masihara bwana
Kwahio jamaa aondoke? Aache mke na ndoa ivunjike? Ama awe na mchepuko ndoa iendelee kuwepo mpaka mke atapobadilika?

Which is better among the two?
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,902
Points
2,000

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,902 2,000
jamani kuisoma saikolojia ya mtu ni jambo la kwanza kabisa kabla ya kutoa ushauri. Usipoweza hilo ushauri wako hauwezi kuwa effective
Hahaha ila unazingua kwa namna ingine arif. Effectiveness ya huo ushauri wako tutaipimaje? Si kwa matokeo positive? Sasa hebu fanya risk assessment uone kama huo ushauri utamletea matokeo mazuri!
 
Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
42,666
Points
2,000

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
42,666 2,000
Kwahio jamaa aondoke? Aache mke na ndoa ivunjike? Ama awe na mchepuko ndoa iendelee kuwepo mpaka mke atapobadilika?

Which is better among the two?
Aongee na mkewe amweleze kwa nini anabehave that way ikibidi ahusishe na wazazi (najua hapa hawezi kwa kuwa ameshasema familia ya mwanamke inamfaa saba kiuchumi) kumuacha ili aanze upya hataki. Sina cha kumshauri
 
chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
10,902
Points
2,000

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
10,902 2,000
Marahaba

Ushauri wako unatosha...
Daby nadhani ameridhika sasa.
Isingekuwa mbaya lakini kama ungeongezea mawili matatu hata kama mleta mada hatafaidi sisi wengine tutajifunza kutoka kwako.

Ujue mpaka Daby ameomba mchango wako hapa ameona kuwa utakuwa wa thamani sana. Share hizo busara zako bwana acha kutubania.
 
Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
Anaelewa ila yeye ameamua aendane na mleta mada anavyotaka maana pamoja na ushauri na nini lakini anaonekana tayari ana majibu yake so Extrovert imebidi aende nae sawa tu kwa upande ule yeye anapotaka japo sisi wengine tumemshauri kuwa sio upande sahihi kwenda.

Ameshaamua inaonekana hakuna chenye kitamrudisha nyuma. Mpaka nimekumbuka freedom song moja inaitwa "Ain't gonna let nobody turn me around"
Kumbuka sikutaka ushauri,mpaka naandika huu uzi nilishaamua nataka nini..
 
bbade

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Messages
6,669
Points
2,000

bbade

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2013
6,669 2,000
Sina kipya kila kitu kimeshawekwa mezani.....

Nimefurahi kukusoma leo chaliiangu .
Isingekuwa mbaya lakini kama ungeongezea mawili matatu hata kama mleta mada hatafaidi sisi wengine tutajifunza kutoka kwako.

Ujue mpaka Daby ameomba mchango wako hapa ameona kuwa utakuwa wa thamani sana. Share hizo busara zako bwana acha kutubania.
 
Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
3,986
Points
2,000

Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
3,986 2,000
Ushauri kidogo labda utakusaidia...

Kama mmeshaongea na kushindwa kufikia maelewano, Give each other a space. Aidha umrudishe nyumbani kwa muda ama uhame nyumbani kwa muda.

Hiyo itawapa muda na nafasi ya kujitafakari na kuangalia hatma ya ndoa yenu.
 
Forum statistics

Threads 1,356,367
Members 518,895
Posts 33,131,264
Top