Wanting to give attention to someone who appreciates it

Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
60,358
Points
2,000
Atoto

Atoto

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
60,358 2,000
Bro thanks,but what you really need to understand is i married a girl from a wealthy family and she is beautifull.but from these 3 years we've lived together am fed up with her and i cant just divorce her right away bcoz of my parents.
Arranged marriage?
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,282
Points
2,000
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,282 2,000
Ungeelezea personality yako kwanza ili tujue ukoje tutakapoanza urafiki isije kuwa na sisi ni type ya mkeo ukakwazika mara7
Najua unachotaka kujua ni anafanya Kazi gani, ili ujue kwamba anahela au kapuku.
 
U

Ubezea

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Messages
906
Points
500
U

Ubezea

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2018
906 500
nenda kwa watoto wa benki..hasa mabank teller...asilimia kubwa ni wadhaifu na wanaliwa sana..kwa waliooa mabank teller wanaeza kutupa ushuhuda...khy km vp we jisogeze na asilimia kubwa siku hz wanatoa tigo...yaan mabank teller ndo kila kitu na wengi ni wake za watu na wana watoto ila full kutiwa...
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
23,314
Points
2,000
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
23,314 2,000
Pole mno kwa changamoto!
Ila kuwa humu ndani tayari una marafiki wa kutosha!

Ukiwa haupo sawa ingia humu pita kwenye majukwaa, kuna story za kutosha! Nyingine zinatia moyo, zinachekesha, zinafundisha unaweza kutana na mada ukahisi wewe unaishi paradiso!

Halafu urafiki wa humu huwa unakuja automatically tuu unajikuta una marafiki wa kutosha!

Pole mno!
Kama urafiki wangu na wewe
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
23,314
Points
2,000
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
23,314 2,000
Ulioa ukiwa mdogo sana, 27 kidarisalama bado mdogo.

Anyway, yameshatokea hayo, kusema ukweli ningekuwa katika viatu vyako ningetafuta mwanamke nje wa kutuliza na kupunguza ashki zangu. Cheating is bad, lakini ukiishi na mke asiyejielewa unazidi kupata matatizo makubwa tu. Ndoa yenye furaha na amani ni ile watu wanaishi kwa kusikilizana na kuheshimiana.
 

Forum statistics

Threads 1,336,330
Members 512,582
Posts 32,534,763
Top