Wanting to give attention to someone who appreciates it

Bro we acha tu,tatizo family yake na yangu zinajuana,mimi na kaka wa huyo mwanamke biashara zetu zinaendana,zipo eneo moja na tunashirikiana.

Hata nikiamua kumuacha lazma itani affect kiana na watu ambao nashirikiana nao kibiashara.
Mkuu kwanini usiishi fake life yani we fanya kama hamna kinachoendelea muache demu awe free siku akikupa mashine asipokupa nenda kapige nje hadi siku akili yake ikikaa sawa atatulia shida wote nyie ni watoto so ule moyo wa subila hamna 0745 391 306 chukua namba ya pini hii ukiwa na njaa uwe unaipiga ina bonge la msambwana na haina complication pesa yako tu
 
Kwanini furaha yangu niiweke kwenye ndoa ambayo haina furaha,unataka niilazimishe furaha kwenye sehemu ambayo haina furaha ndio ili nisiongeze tatizo?

Ni rahisi sana kuongea ila watu wanarisk vitu vingi ili kuipata furaha.nipo tayari niongeze tatizo ili atleast ni enjoy..
Tafta panapokupa furaha no matter what, mie sio fan wa kuona mtu anateseka bila sababu. Kama uwezo wa kupata hela unao basi uwezo wa kuitafuta furaha yako pia unao. Wanawake wapo kibao tafta mwanamke ambaye atakuwa tayari kukaa katika nafasi yake. Huyo mshenzi wala asikuhangaishe kabisa, yani una hela af unateswa na mwanamke mpuuzi...grow balls mzee!

Sio lazma awe malaya but tongoza mwanamke mwingine anaekuvutia kama una hela ya kuendeshea maisha tu 90% ya wanawake wanakuaga tayari kutoa mapenzi kwa kadri wawezavyo alimradi upo real nae. Ndio wanaume wenzio wanavyoishi mjini hivyo, hii style ya mke mmoja haijawahi kuwa na matokeo chanya ila ni basi unafiki tu unewajaa watu.

Sisemi uvunje hio ndoa kama kuna madhara ya moja kwa moja ila mke mwache kama alivyo, ingia toka kimya! Atatia akili tu.
 
Kwahio budda kwenu ni maskini ukafosiwa uoe familia yenye hela ila wazazi wako wapate nafuu ya maisha. Ama nimeelewa kimakosa hilo!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh
 
Mkuu ni kweli sikuhitaji ushauri sababu nimetafakari vingi mpaka nimeamua kuandika huu uzi..

Huyu mwanamke sijazaa nae kwahiyo kama kuachana nae naweza achana nae lakini sio kama hivo unavotaka wewe yaani niamue tu nimuache kisa sina furaha..

Life haina formula kaka,just because its works for you doesnt mean it will work for anyone..
Sasa ili kulinda interests zako hasa za kibiashara, T.o.m.b.a nje braza! Huna options

Hakuna limit katika hilo, mwanamke wako hatakaa akupe furaha unayoiota hata siku moja maana hakuwahi kukupenda. Wala sio tatizo la hormones wala majini. Tafta mama yako simple uwe una slay nayo kimya kimya. Mke abaki katika nafasi yake japo kama kiini macho tu ila jitahidi asi affect afya ya maisha yako.
 
Kwahiyo mnaamini ushauri wenu utafanya kazi?

Kama wasiamini hvyo sasa ulileta uzi hapa tusikilize kama pambio au lengo lilikuwa nini hasa..???

Naomba nijue kabla sijakomenti
 
Huu ndio uhalisia niliouona hapa chief.
Asee skia chalyangu, huyu msela inaonesha yeye ni kapuku baada ya kufanyiwa mafekechee na wazee, akaoa mtoto mzuri chap kisha ma bro zake wakammegea kipande ya kupigia hela town na inaonesha wana uhusiano mzuri na shemeji yao.

Sasa mama haieleweki tena chalii anahanya kama akisema apige chini ghafla ma bro watasororoa ma njaro yote, atabaki alijojo hapo town, family yake inayomtegemea itayumba pia ila hana raha na huyo manzi.

Sasa katika hii maseke unamshaurije?
 
One thing you need to understand is our marriage was arranged marriage.we didnt know eachother or anything..

Mwanamke yupo busy na kwao mda wote kama hajaolewa,mwanamke haniskilizi kabisa akiamua lake kaamua.
Pole
 
Sasa ili kulinda interests zako hasa za kibiashara, T.o.m.b.a nje braza! Huna options

Hakuna limit katika hilo, mwanamke wako hatakaa akupe furaha unayoiota hata siku moja maana hakuwahi kukupenda. Wala sio tatizo la hormones wala majini. Tafta mama yako simple uwe una slay nayo kimya kimya. Mke abaki katika nafasi yake japo kama kiini macho tu ila jitahidi asi affect afya ya maisha yako.
Aki.t.o.m.b.a nje furaha kwenye ndoa yake ndio itarejea? Tena hapo ndio ataharibu maana ipo siku atakamatwa na matokeo yake hayatakuwa mazuri, anaweza akajikuta anapoteza kile anachokilinda sasa hivi. Mshauri kama ndoa imegoma waachane tu kwanza bado ana umri mdogo hao ndugu wa mke hata wakimfanyia figisu kwenye biashara zake bado ana nafasi ya kuanza upya. Mwisho wa siku happiness is the ultimate goal of life, hata akiwa na mahela mengi kama akirudi nyumbani furaha hamna bado atapata tabu sana
 
Kama wasiamini hvyo sasa ulileta uzi hapa tusikilize kama pambio au lengo lilikuwa nini hasa..???

Naomba nijue kabla sijakomenti
Hajaleta uzi tumshauri ye kaja kutafuta rafiki
 
Kwahio budda kwenu ni maskini ukafosiwa uoe familia yenye hela ila wazazi wako wapate nafuu ya maisha. Ama nimeelewa kimakosa hilo!?
Dah jf bana,et wazazi wapate nafuu kimaisha sasa kabla ya kuoa walikua wanaishi vp?au unajua mimi marioo nahudumiwa?
 
Asee skia chalyangu, huyu msela inaonesha yeye ni kapuku baada ya kufanyiwa mafekechee na wazee, akaoa mtoto mzuri chap kisha ma bro zake wakammegea kipande ya kupigia hela town na inaonesha wana uhusiano mzuri na shemeji yao.

Sasa mama haieleweki tena chalii anahanya kama akisema apige chini ghafla ma bro watasororoa ma njaro yote, atabaki alijojo hapo town, family yake inayomtegemea itayumba pia ila hana raha na huyo manzi.

Sasa katika hii maseke unamshaurije?
Nimeshamtefeli abofonge na fasi zote bese kuwa mambo apeche alolo ili wacheki watafanyaje. Maana mgogoro na kutoelewana kwenye hiyo mambo ya ndoa sio wao ndio wanaanza na sio wote walioleteana kirambasi walitemana.

Wabonge wayajenge mambo yanaweza kuwa yente kama mwanzo. Ila dingi anaonekana ashasanda mapema tu na bado ni nyoka kabisa.

Kama vipi anaona ni uree ajikate ado ado afate njaro zake maana kuvunga na mtu mnadoro bedi moko alafu hambongi ni uduanzi kuna siku mnaeza leteana ambushi apo ndichi akaishia kumdaga paru la shingo akaishie kuenda kurusha ndege Kisongo.
 
Tafta panapokupa furaha no matter what, mie sio fan wa kuona mtu anateseka bila sababu. Kama uwezo wa kupata hela unao basi uwezo wa kuitafuta furaha yako pia unao. Wanawake wapo kibao tafta mwanamke ambaye atakuwa tayari kukaa katika nafasi yake. Huyo mshenzi wala asikuhangaishe kabisa, yani una hela af unateswa na mwanamke mpuuzi...grow balls mzee!

Sio lazma awe malaya but tongoza mwanamke mwingine anaekuvutia kama una hela ya kuendeshea maisha tu 90% ya wanawake wanakuaga tayari kutoa mapenzi kwa kadri wawezavyo alimradi upo real nae. Ndio wanaume wenzio wanavyoishi mjini hivyo, hii style ya mke mmoja haijawahi kuwa na matokeo chanya ila ni basi unafiki tu unewajaa watu.

Sisemi uvunje hio ndoa kama kuna madhara ya moja kwa moja ila mke mwache kama alivyo, ingia toka kimya! Atatia akili tu.
Asante sana kwa kunielewa,ndio navotaka kufanya hivi hivi,naamini haya mapenzi nayompa mke wangu na kumthamini angekua mwanamke ambaye sio wa kishua angenithamini sana..tena sana
 
Sasa ili kulinda interests zako hasa za kibiashara, T.o.m.b.a nje braza! Huna options

Hakuna limit katika hilo, mwanamke wako hatakaa akupe furaha unayoiota hata siku moja maana hakuwahi kukupenda. Wala sio tatizo la hormones wala majini. Tafta mama yako simple uwe una slay nayo kimya kimya. Mke abaki katika nafasi yake japo kama kiini macho tu ila jitahidi asi affect afya ya maisha yako.
Word bro..
 
Asee skia chalyangu, huyu msela inaonesha yeye ni kapuku baada ya kufanyiwa mafekechee na wazee, akaoa mtoto mzuri chap kisha ma bro zake wakammegea kipande ya kupigia hela town na inaonesha wana uhusiano mzuri na shemeji yao.

Sasa mama haieleweki tena chalii anahanya kama akisema apige chini ghafla ma bro watasororoa ma njaro yote, atabaki alijojo hapo town, family yake inayomtegemea itayumba pia ila hana raha na huyo manzi.

Sasa katika hii maseke unamshaurije?
Hahahah japo ukweli sema hapo kwa wazazi ndio umekosea,wazazi wangu wanajiweza hawanitegemei ila sio wa kishua and yes kuhusu mchongo hapo sawa
 
Nimeshamtefeli abofonge na fasi zote bese kuwa mambo apeche alolo ili wacheki watafanyaje. Maana mgogoro na kutoelewana kwenye hiyo mambo ya ndoa sio wao ndio wanaanza na sio wote walioleteana kirambasi walitemana.

Wabonge wayajenge mambo yanaweza kuwa yente kama mwanzo. Ila dingi anaonekana ashasanda mapema tu na bado ni nyoka kabisa.

Kama vipi anaona ni uree akikate ado ado afate njaro zake maana kuvunga na mtu mnadoro bedi moko alafu hambongi ni uduanzi kuna siku mnaeza leteana ambushi apo ndichi akaishia kumdaga paru la shingo akaishie kuenda kurusha ndege Kisongo.
[emoji23][emoji23][emoji23] acha ujinga, lugha gani hii sasa
 
Back
Top Bottom