Wanting to give attention to someone who appreciates it

vexozanzhu

Senior Member
Joined
Mar 1, 2019
Messages
118
Points
250

vexozanzhu

Senior Member
Joined Mar 1, 2019
118 250
Nampenda sana na kuhusu uchumi kuyumba ni swala pana.nimefahamiana na mashemeji kabla ya kumuoa kutokana na biashara ila baada ya kumuoa dada yao boom my business grew..
Ni kama na wewe huyo dada humpendi eti, maana isije kuwa unamsingizia ni rahisi mtu kusema anampenda mtu ila uthibitisho huja kwa matendo na inawezekana kwa maneno unatuambia huyo dada hakupendi ila kimatendo anakupenda, kama mpaka unakubali kuwa baada ya kuoa ndo biashara zikakuwa doh....!
 
vexozanzhu

Senior Member
Joined
Mar 1, 2019
Messages
118
Points
250

vexozanzhu

Senior Member
Joined Mar 1, 2019
118 250
Kama unaogopa kulipeleka hili mbele ya kaka zake kwa kuwahofia watakuonaje then probably there is something wrong between you/both.........if not all of you.

Kwenda nje nikusolve tatizo kwa muda huu wa sasa ila jiangalie nje utafute mwanamke ukampime akili kabisa la sivyo atakupiga matukio mpaka umrejee mkeo umulize mbona mko hivi.......................
 
vexozanzhu

Senior Member
Joined
Mar 1, 2019
Messages
118
Points
250

vexozanzhu

Senior Member
Joined Mar 1, 2019
118 250
Nje kuna risk za afya na magonjwa na utapeli mara 10 zaidi so wanaokushauri muachane kabisa sio wajinga wameona mbali sana.

Athari za mambo ya nje ya ndoa ni za kudumu hazionekani sasa ila zitakuadhibu na ukishapata watoto wa nje labda uweze kumudu kutogombanisha familia watoto huwaga wanaathirikaga sana japo sababu tunataka furahisha nafsi zetu nakupooza tamaa zetu harakahara basi mambo yanakuwa hivyo hivyo tu.
 
vexozanzhu

Senior Member
Joined
Mar 1, 2019
Messages
118
Points
250

vexozanzhu

Senior Member
Joined Mar 1, 2019
118 250
Ila nakushauri nje kuwa makini la sivyo utapigwa hadi uchakae kumbuka demu akishajua yeye ni wa nje haishi vituko shida wanawake wote wanavituko sema ukikaa naye ndani anakuwa jini haswa, hawa wa nje sababu huishi nao 24 unahisi upo salama ikitokea wakakuumiza utajuta na hawa wa nje hawaumizi mahusiano tu hao huwa wanaliza mazima.....sababu aim yao mara nyingi ni moja tu nayo ni Mkwanja............

Na wa nje hawezi kukuhurumia anapotaka kukufanyia chochote sababu always atakuwa mtii kwa unafiki sababu ya faida ya kitu flani utagundua utakapoumwa ghafa ni nani atawjjibika na wewe kuna tofauti kati ya kiapo nakujiapiza.

Unataka kuiaminisha JF Huyo mkeo ni mbaaaya kuliko wanawake wote duniani au ni wewe umemchoka?.

Kwa dunia ya sasa Pesa ndo Kila Kitu, japo furaha ya Kweli haikamilishwi na pesa.Uhuru ni wako kuchagua
 
meghan markle

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Messages
353
Points
1,000

meghan markle

JF-Expert Member
Joined May 22, 2018
353 1,000
Pole mkuu..you are married to wrong person..na uyaonayo ndo matokeo ya ndoa za kupangwa.hana hisia nawe,hakufurahii..yani mpo tu mradi kuwafurahisha wazazi..
Huu ni utumwa..
Mapenzi ni hisia,ni urafiki.
Blame it on your parents..
Ndugu yangu alifanya maamuzi ya kuolewa miaka kadhaa ulopita..mume alikua anapretend..lakini alivoingia ndani rasmi alikiona cha moto..mpaka sasa anasuffer na hana pa kwenda.
Ndoa mie zinisubiri tu,baadae sana!
Kwanini hana pa kwenda?Hana kwao??Hajiamini?Hana kazi ni tegemezi?Anaona aibu??
Ndoa ni nzuri lakini ikigeuka mateso na imeshindikana my solve kwa namna zote pack your things and leave.Life is too sweet and too short to be in a place where I ain't happy.
Otherwise atajifia bure aongeze tu takwimu kwa watu walofia ndoani kwa kukosa furaha.
 
Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
6,535
Points
2,000

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
6,535 2,000
Anaishi kwa kuwafurahisha wazazi wake..anapgopa akivunja ndoa wazazi watareact vipi..kwa sababu ndoa hakufunga kwa hiyari yake Bali ilipangwa na wazazi wao
Kwanini hana pa kwenda?Hana kwao??Hajiamini?Hana kazi ni tegemezi?Anaona aibu??
Ndoa ni nzuri lakini ikigeuka mateso na imeshindikana my solve kwa namna zote pack your things and leave.Life is too sweet and too short to be in a place where I ain't happy.
Otherwise atajifia bure aongeze tu takwimu kwa watu walofia ndoani kwa kukosa furaha.
 
Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
Kama unaogopa kulipeleka hili mbele ya kaka zake kwa kuwahofia watakuonaje then probably there is something wrong between you/both.........if not all of you.

Kwenda nje nikusolve tatizo kwa muda huu wa sasa ila jiangalie nje utafute mwanamke ukampime akili kabisa la sivyo atakupiga matukio mpaka umrejee mkeo umulize mbona mko hivi.......................
Thanks mkuu
 
Akotia

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
131
Points
250

Akotia

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
131 250
Kwanini hana pa kwenda?Hana kwao??Hajiamini?Hana kazi ni tegemezi?Anaona aibu??
Ndoa ni nzuri lakini ikigeuka mateso na imeshindikana my solve kwa namna zote pack your things and leave.Life is too sweet and too short to be in a place where I ain't happy.
Otherwise atajifia bure aongeze tu takwimu kwa watu walofia ndoani kwa kukosa furaha.
Ni rahisi kusema hivo ukiwa nje ya ndoa,ukishaoa kuna variables nyingi tu ambazo huwezi ukazichukulia maamuzi magumu kama hayo..anyway thanks mamaa
 
coockie monster

Senior Member
Joined
May 2, 2015
Messages
176
Points
250

coockie monster

Senior Member
Joined May 2, 2015
176 250
Nje kuna risk za afya na magonjwa na utapeli mara 10 zaidi so wanaokushauri muachane kabisa sio wajinga wameona mbali sana.

Athari za mambo ya nje ya ndoa ni za kudumu hazionekani sasa ila zitakuadhibu na ukishapata watoto wa nje labda uweze kumudu kutogombanisha familia watoto huwaga wanaathirikaga sana japo sababu tunataka furahisha nafsi zetu nakupooza tamaa zetu harakahara basi mambo yanakuwa hivyo hivyo tu.
True,huyu inabidi atulizane au kama anavosema yeye muislam aoe mke wa pili
 
Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2018
Messages
1,202
Points
2,000

Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2018
1,202 2,000
Akotia nimechelewa kusoma bandiko lako, ila naona kama matatizo yako ni ya kawaida tu.

Wanawake ni viumbe complicated mno inabidi uishi nao kwa akili, unaweza muacha huyu leo halafu kesho ukakutana na kimeo zaidi.

Wewe bado mtoto na yeye bado ni mtoto, mkikua mtajua namna ya kuhandle vizuri hizo tofauti zenu.

Kuna watu wana mitihani kwenye ndoa zao lakini wapo poa tu.

Kingine kama kweli upo kwa hiyo mwanamke kwa sababu ya connection basi hapo tayari ndoa ilijengwa kwenye msingi wa matope, ukija simama kwa miguu yako utamtesa sana huyo mwanamke.

La mwisho kabisa, kama unatafuta mbadala wa mke wako kwenye hizi forum, man may be you should start to listen to your wife, she may be more matured than you, and that's why she is rejecting some of your weak suggestions.
 
Forum statistics

Threads 1,355,111
Members 518,601
Posts 33,100,356
Top