Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

Guasa...
Mbona umenikuna maana kipande hicho darasani kilikuwa akipewa
msomaji makini akisome kwa kuwa kinasisimua na kinaashiria nini
kitakuja kutokea...

Kaka Guasa mbona wewe mtu una ghasia sana....
Duh! sikudhani kama nitakuwa nimeuwasha moto basi kheri maalimu wangu toka huko ulipojificha utupe burdan
 
1474577334083.jpg
1474577363886.jpg
1474577383806.jpg
1474577401816.jpg
1474577425864.jpg
1474577439621.jpg
 
Guasa...
Mbona umenikuna maana kipande hicho darasani kilikuwa akipewa
msomaji makini akisome kwa kuwa kinasisimua na kinaashiria nini
kitakuja kutokea...

Kaka Guasa mbona wewe mtu una ghasia sana....
Tulipotoka lamu na kusafiri kwa muda wa siku kumi na nne na kukutana na mambo mengi ambayo siwezi kuyaeleza tulifika sehemu moja iitwayo chara kandoni mwa mto tana miongoni mwa mambo tuliyo yaona ni magofu ya nyumba za zamani kadiri ya majengo ya misikiti na nyumba za mawe wenyeji walituambia sehemu hii ilikuwa maarufu sana toka wakati wa agano la kale na watu walio kaa sehemu hiyo walifanya biashara na watu kutoka nchi za uhindi na sehemu mbalimbali zilizo kuwa zimestaarabika kwa wakati ule lakini biashara ya utumwa imemaliza umaarufu wa sehemu hii.
Sehemu zile walizo simama matajiri na kubishania bei katika soko lililo jaa watumwa sasa simba huja na kufanya barza zao nyakati za usiku na badala ya sauti huzuni za watumwa na sauti za bidii za watu waliokuwa wakiwanadi milio ya simba husikika katika magofu.
 
Ewe mjuvuni nitavikongoa viungo vyako na kuvitawanya... Dah jamaa alikuwa na mkwala hatari...
 
Hiyo picha ya kwanza ni pale wapo katika mto tana wakavamiwa na wajivuni waliokuwa wakiogelea majini makumazahn anasema silaha ya kwanza kuikamata ilikuwa ni shoka la umslopogaaz basi akalipeleka katika ule mkono mweusi na akaukuta ule mkono ila yule mjivuni hakupiga ukelele wowote kama kivuli alikuja na kama kivulI alienda bila kufanya sauti.
 
Ha

ta tulipotoka lamu na kusafiri kwa muda wa siku kumi na nne na kukutana na mambo mengi ambayo siwezi kuyaeleza tulifika sehemu moja iitwayo chara miongoni mwa mambo tuliyo yaona ni magofu ya misikiti na nyumba za mawe wenyeji walituambia sehemu hii ilikuwa maarufu sana toka wakati wa agano la lake na watu wa sehemu hiyo walifanya biashara na watu kutoka nchi za uhindi na sehemu mbalimbali zilizo kuwa zimestaarabika kwa wakati ule lakini biashara ya utumwa imemaliza umaarufu wa sehemu hii.
Sehemu zile walizo simama matajiri na kubishania bei katika soko lililo jaa watumwa sasa simba huja na kufanya barza zao nyakati za usiku na badala ya sauti huzuni za watumwa na sauti za bidii za watu waliokuwa wakiwanadi milio ya simba husikika katika magofu.
Guasa...
Una ghasia sana wewe mtu...
Unanishushia vitu bulbul.

Hii picha ya Lamu nimeipiga 2006.
Hebu staladhi kidogo na wana barza:

xuw-9REjHRekKBHFPxGBVv1g4Pk9BQXFVHLJU0xxUIoTvBcVRMqSP1nbF5diuH-1DWt9ba4JUmj09RNEqQXmLNUzbIHp_k53DJkwhidVV3MaPvdhk9raqloyREC0TWDRonUo31YPMZaDS7tcQg0sY6AtpCYgeK2ML-xasK9mgBCEedjjl0aGCkx3p8mloQ8U3tMyYU2GoGVfn5OiESHcclQ3j8dsKKMHD8Hne9vFK5SDTXDPKW9GDOBLKOqch9V6963dUkHPlWcQZGYnvRpqCg5i2XmTPgp4UMquI-sePOF5DW-h2YAEBReEMS59WEZWopCVNb4qeGTw-0YKxgBz0OYY1YjgCQkDkVTNHarHw_EL1V66t73DQPI_7-R92PISfUF9GUoTE7HvWpRQl45NKKu_Gj4rtIlDG7vczWDCEE0enilt3ZoxMUPZABn4ZUjXqysmpZKg3gLgmw_bBR8MKIBQHNHrEHWT4ZWq8lGrh5YAoMtVnhVi5aVQcAegI-_58BHaubv9dkcPCgxfuti-GTwSAEnPoFsAYWz-bO8Hr9dlzwmQTi0DkFFff5M1QtCd-_D9D7UMdo7UTho8Np7K1YJrFGHq-9ZyPH_DAcFrGEI-nuqY=w876-h657-no
 
Pigo moja lenye, nguvu, pigo moja takaktifu....." . Nakumbuka hiyo ndio kauli yake ya mwisho ya Umsolopagaz

Vv
Pia lile shoka lake alikuwa ameweka alama ya kila mtu anayemuuwa.
 
Alikuwa kibaraka wa wazungu according to simulizi...
[HASHTAG]#Musaliti[/HASHTAG]
 
S
Guasa...
Una ghasia sana wewe mtu...
Unanishushia vitu bulbul.

Hii picha ya Lamu nimeipiga 2006.
Hebu staladhi kidogo na wana barza:

xuw-9REjHRekKBHFPxGBVv1g4Pk9BQXFVHLJU0xxUIoTvBcVRMqSP1nbF5diuH-1DWt9ba4JUmj09RNEqQXmLNUzbIHp_k53DJkwhidVV3MaPvdhk9raqloyREC0TWDRonUo31YPMZaDS7tcQg0sY6AtpCYgeK2ML-xasK9mgBCEedjjl0aGCkx3p8mloQ8U3tMyYU2GoGVfn5OiESHcclQ3j8dsKKMHD8Hne9vFK5SDTXDPKW9GDOBLKOqch9V6963dUkHPlWcQZGYnvRpqCg5i2XmTPgp4UMquI-sePOF5DW-h2YAEBReEMS59WEZWopCVNb4qeGTw-0YKxgBz0OYY1YjgCQkDkVTNHarHw_EL1V66t73DQPI_7-R92PISfUF9GUoTE7HvWpRQl45NKKu_Gj4rtIlDG7vczWDCEE0enilt3ZoxMUPZABn4ZUjXqysmpZKg3gLgmw_bBR8MKIBQHNHrEHWT4ZWq8lGrh5YAoMtVnhVi5aVQcAegI-_58BHaubv9dkcPCgxfuti-GTwSAEnPoFsAYWz-bO8Hr9dlzwmQTi0DkFFff5M1QtCd-_D9D7UMdo7UTho8Np7K1YJrFGHq-9ZyPH_DAcFrGEI-nuqY=w876-h657-no
Shukran maalimu wangu nadhani njia sahihi ya kumchokoza maalimu ni kumkumbusha mbali kwa kile kidogo nikijuacho kisha yeye anashusha vitu kama hivi Allah akubariki.
 
Vitabu vile vipo nenda ile bookshop kwenye eneo la mitaa ya 'Nkurumah' jijini Dar es Salaam...mimi nilivipata pale karibu miaka sita hivi iliyopita...yaani karibu na zilipokuwa ofisi za urafiki wa Tanzania na Msumbiji...Yaani pale hata vitabu vya hadithi za alfu ulelaulela utavipata nadhani...mimi nilinunua pale mpaka kile kitabu 'maarufu' cha 'perfumed garden'... Ila sina kumbukumbu sahihi kama kweli 'perfumed garden' nilinunua pale inawezekana nilipata sehemu nyingine ila hivyo vingine nilivipata pale...
... Perfumed Garden!!! Hiki kitabu niliwahi kusikia sifa zake but sijawahi kisoma, hebu funguka kiduuchu mkuu..
 
Ha

ta tulipotoka lamu na kusafiri kwa muda wa siku kumi na nne na kukutana na mambo mengi ambayo siwezi kuyaeleza tulifika sehemu moja iitwayo chara miongoni mwa mambo tuliyo yaona ni magofu ya misikiti na nyumba za mawe wenyeji walituambia sehemu hii ilikuwa maarufu sana toka wakati wa agano la lake na watu wa sehemu hiyo walifanya biashara na watu kutoka nchi za uhindi na sehemu mbalimbali zilizo kuwa zimestaarabika kwa wakati ule lakini biashara ya utumwa imemaliza umaarufu wa sehemu hii.
Sehemu zile walizo simama matajiri na kubishania bei katika soko lililo jaa watumwa sasa simba huja na kufanya barza zao nyakati za usiku na badala ya sauti huzuni za watumwa na sauti za bidii za watu waliokuwa wakiwanadi milio ya simba husikika katika magofu.
Guasa...
Ahsante sana.

Nami natabaruku hapa chini naieleza Lamu kama nilivyoiona 2006.

Makala hii ilichapwa na The East African 2007:
Mohamed Said: The Lamu Maulid
 
Nakumbuka walipokutana na volcano kwenye pango. Nilikua nikisoma ile sehem nahisi joto kali hadi najipepea
 
S

Shukran maalimu wangu nadhani njia sahihi ya kumchokoza maalimu ni kumkumbusha mbali kwa kile kidogo nikijuacho kisha yeye anashusha vitu kama hivi Allah akubariki.
Guasa...
Hicho ujuacho si kidogo usiniletee ujanja wako mimi.
Nishakutambua zamani kabisa.

Wewe mjuzi na nitakuambia kwa nini wewe ni mjuzi.

Ni hiyo maktaba yako ndiyo iliyokuonyesha ulipojificha.
Mbabaishaji hawezi kuwa na maktaba kama hiyo.

Nakuonea wivu na hiyo maktaba lakini si wivu wa husda.
La hasha ndugu yangu.

Wivu mzuri kuwa na mimi ningejaaliwa niwe na vitabu hivyo.
Shusha vitu tustaladhi.

Naona Majlis leo imebadili upepo...
 
Back
Top Bottom