ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
1001Unajua maana yake? Yaani siku elfu na moja au 10001
1001Unajua maana yake? Yaani siku elfu na moja au 10001
Aiseee asante mkuuUnajua maana yake? Yaani siku elfu na moja au 10001
Sio wazee wa akili. Kitabu kimesomwa miaka ya 60s hadi 70's. Shangaa hadi leo wanakumbuka mistari, wanakumbuka characters,. Kweli Elimu ya zamani ilikuwa bora.Kwa uzi huu wengi wenu ni wazee ama kwa umri ima kiakili. Lakini nikiangalia nyuzi zenu zingine, nashangaa.
Sio wazee wa akili. Kitabu kimesomwa miaka ya 60s hadi 70's. Shangaa hadi leo wanakumbuka mistari, wanakumbuka characters,. Kweli Elimu ya zamani ilikuwa bora.
Mzee mshana jr, Mohamed said, umsolopagaz, hivi ni vichwa vya ukweli.

Fofader,Kwa uzi huu wengi wenu ni wazee ama kwa umri ima kiakili. Lakini nikiangalia nyuzi zenu zingine, nashangaa.
Ipogolo,Mbona kitabu kimeandikwa kiingereza jamani?
Tafsiri ya kiswahili hakuna.
Nimeishiwa nguvu.
Nilifanya mtihani wa Cambridge. Nimekuwa mvivu wa kiingereza. Ngoja nisome hivyo hivyo Mohamed Said.Ipogolo,
Nakuchukulia kuwa bado ni kijana.
Ukitaka kuisoma dunia na waandishi wengi jifunze Kiingereza
wala si kigumu.
Vitabu vingi viko katika lugha hiyo.
Sote tumejifunza lugha hii na tukaifahamu.
Sio wazee wa akili. Kitabu kimesomwa miaka ya 60s hadi 70's. Shangaa hadi leo wanakumbuka mistari, wanakumbuka characters,. Kweli Elimu ya zamani ilikuwa bora.
Mzee mshana jr, Mohamed said, umsolopagaz, hivi ni vichwa vya ukweli.
Akili za zamaniFofader,
Hii naona inakuwa kama, ''restricted area,'' lakini naamini
hii si ''not to be sold to under 18,'' au X rated movie.
Ahsante sana kaka.
Hizi ni hazina kutoka katika uchago.
Legendary wa kizulu alikuwa noma sana story zake ni tamu ila zinatisha na zimejaa ukatili
Tulikuwa shule miaka ya 70s.Wale wababe walikuwa wakinukuu hadithi za msolopa
"Msolopa gazi mwana wa kazi kavuka Maji ya shingo bila ya kulowa pum.bu" Halafu wanakipiga kisu kwenye simenti vicheche vya moto vinaruka ruka.Basi hapo tunaporwa vi shilingi vyetu vya KUBITI NA MABUMUNDA.
Na kina msolopagazi wa bandia.
Asante Mshana Jr Kwa makumbusho

Mshana Jr.
Mshana Jr,Akili za zamani
Mazingira ya zamani
Vitabu vya zamani
Wanafunzi wa zamani
Vyakula vya zamani
Walimu wa zamani
Shule za zamani
Vilikuwa havijachakachuliwa
Political stupidity imelemaza maamuzi mengi ya Taifa...nitatafuta vitabu vyako mimi ni msomaji napenda sana kusomaMshana Jr.
Mimi ni Mswahili wa Kariakoo Kiingereza nimekutananacho shule.
Lakini ndugu yangu walimu wale walipenda kazi yao na walikuwa
wanafundisha kwa moyo.
Ndiyo leo sisi hatuchanganyi kati ya ''la'' na ''ra.''
Miss Menez (kafariki miezi michache iliyopita) kanifunza Kiingereza
nimetoka na pass ya juu Mswahili mie mtihani wa Cambridge na lugha
nikaijua kiasi vitabu ninavyoandika kama mshiriki au mwenyewe leo
vinasomeshwa kuwafunza wanafunzi Kiingereza na Historia, Kenya na
kwengineko.
Tena wachapaji ni Waingereza wenyewe Oxford University Press.
Tanzania kitabu changu hawakitaki, ''The Torch on Kilimanjaro.''
Ukitaka kitabu chako kitiwe kwenye mtaala kuna mambo flani flani
ufanye.
Oxford University Press wameamua basi acha kisomeshwe Kenya na
kwengineko.
Kitabu ndiyo hicho toleo la kwanza na la pili:
![]()
![]()
Ipogolo,Nilifanya mtihani wa Cambridge. Nimekuwa mvivu wa kiingereza. Ngoja nisome hivyo hivyo Mohamed Said.
Mshana Jr,Political stupidity imelemaza maamuzi mengi ya Taifa...nitatafuta vitabu vyako mimi ni msomaji napenda sana kusoma
Cha kiswahili niliazimwa (hardcopy) miaka ya 84 hivi hadi leo sijarudishiwa, nimeshamsahau aliyekiazima.Mbona kitabu kimeandikwa kiingereza jamani?
Tafsiri ya kiswahili hakuna.
Nimeishiwa nguvu.