Wanene kuongezewa marupurupu

Wanene kuongezewa marupurupu

Pinokyo,Bi sent,Kichuguu na Mkumbo.

Mbona mmekuwa wakali namna hii? bi sent 50 kama unametizama thread ya Chifupa na Zitto kuna mtu mlalahoi kasema kabisa kuwa AC anapenda kurukwa ukuta, hayo ni matusi ya wazi na ya hali ya juu.

wewe sikukuona kukemea unyanyapaa huo? na kule ametukanwa sana Amina hakuna gender wala wanaharakati waliokuja kusema au kumtetea amina.

akazidi Phillimon mikael na kusema, Hongera zitto kwa kumshughulikia AC.

Habari za Uzinzi wa Zitto ni za kweli kabisa. juzi juzi Ziito aliitisha press conference na kumjibu Rais kuwa amemuonea. kwanini sakata la Amina tunaambiwa tumpe muda na ameshindwa kuitisha press conference ili waandishi wahoji tuhuma hizi?

Nashangaa kichuguu anasema Amina alizuiliwa asifanye mkutano na waandishi ili kuweka wazi ukweli wa kadhia nzima.

jee na ZITTO nae alizuiliwa? au AC ni msemaji wa ZITTO? wepesi alioupata ZITTO kumjibu rais autumie kufanya press conference kuliko kwenda kuongea na gazeti moja tu la chadema-Tanzania Daima.

kama amezushiwa angemuona Mtikila wafungue kesi. haiwezekani Zitto na kimbelembele chake aliache jambo hili bila kuchukua hatua za kisheria au za kuitisha press conference.kamfanyia rais wa nchi atamuogopa Mpakanjia au Nchimbi?

Bi senti.
Unataja habari ya ulemavu mimi si kufika huko. ni wewe ulisema mimi simjui mama Zitto nikaomba ruksa kwa Zitto mwenyewe nashangaa umekuja wewe nadhani kama kumdhalilisha unafanya wewe.mimi si muumbaji na siwezi kumnyanyapaa mtu.

Hili suala la unyanyapaa mnataka kulikuza. aliyenyanyapaa ni baba yake ZITTO kwa kumkimbia mama yule baada ya kumpa ujauzito. na hili kama nazusha bwana Mkumbo niambie ndoa ya baba zitto na mama yake ilifanyika wapi?
na Zitto alilelewa na baba yake? hili si jambo geni limewatokea wengi tu. kuna mwimbaji Q-Chief yeye yalimkuta kama haya ya Zitto na akatoa kibao maalum kumsimanga baba yake-ili iwe fundisho kwa wazazi wengine.

wimbo unasema "Siulinizaa wewe ukanikataa, sasa iweje uone mi nafaa,kosa langu ni lipi baba? anaendelea " ulimkana mama na alipojigungua nilifunikwa na mifuko ya rambo"

Zipo nyingi nyimbo za kuwasema wazee wanaonyanyapaa wanawake. Marehemu Moshi William TX naye alimuimbia Ferguson na hata jabali la muziki kuna wimbo unaitwa mwana yatima-huwezi kujua mtoto huyu atakuwa nani.

ndugu Lazima tuelewe tunapohukumu kitu lazima ushahidi wa kimazingira utumike sana, ndio nikataja background aliyokulia Zitto ili tuwe na picha nzuri. kuna OPPRAH ambaye ameishi kwa taabu lakini leo anaufaaa umma. Mikael TYSON mfano mwingine. lakini ukweli upo pale pale mtoto aliyekulia malezi ambayo hayana baba wala mama ukubwani kwake anaweza kuwa na tabia za ajabu kama hakupata walezi wazuri kwenye utoto wake. mtoto wa tapeli atakuwa tapeli tu.

Mkumbo-Nilijua una busara na hekima nzuri kumbe ni dikteta kiasi hiki?unataka nifungiwe bila kupewa nafasi ya kujieleza? ndio uchadema huo? jaribu kuwa mtu wa kuvuta subira kwa kila jambo.

udhaifu wako huu ndio umekufanya ubadili vyama kama jezi. nilichosema ZITTO alifukuzwa zanzibar university na aliyesimamia zoezi hilo ni DR.Miraj wa ZNZ. walimwambia Zitto kuwa ondoka chuoni mara moja ukifanya mchezo tutakutoa mshipa. akafungasha virago. Wazanzibar hawana mchezo na wake zao. na yeye alijitia kwenye uongozi wa chuo iwe njia yake ya kuwakaribia dada wa kiznz.

Maelezo marefu ya Mkumbo yenye kujichanganya na ya Bi Sent 50. KITILA anadai walimwambia Zitto aende UDSM sababu kuna debate na ZNZ hakuna.

wakati BI SENTI 50 anasema yuko karibu na Zitto anadai kuwa Zitto alinyimwa Scholarships akapewa Mzanzibar hivyo akakasirika akaenda Udsm.

hapa mnajichanganya kwa kuleta kauli mbili tofauti. nabaki mimi kuwa mkweli. bi senti ZNZ university si chuo cha serikali na hakikuwa na scholarships acheni uzushi wewe na Mkumbo wako.

Mkumbo unakubali kuwa umemjua ZITTO kwenye Kongamano sie tunamjua toka mdogo na familia yake yote. hivyo utaona wewe ndio humjui Zitto kwa kumjulia kwenye kongamano.
BI Senti 50.
Hakuna anayemchukia Zitto lakini ukweli unabaki pale pale mtu kama huna baba sio tusi.wapo wengi tu. ndio ukaona kuna maneno kama BASTARD yapo kwenye Dictionary. kama mkereketwa waombe wayaondoe kwenye kamusi. na niliposema naijua familia yake si mzushi wewe umetaja kuwa unamjua mama yake kwenye NGO ya KIGOMA .MIE namjua kabla ya huko wakati akiwa Dar.ili ujue nasema ninachokijua. Tunakubali Zitto ni role model wetu. mazingira aliyopitia na alipofika ni jambo la kutia moyo. lakini ni vyema historia hii isiwe siri tuna vijana wengi wapo Dogo dogo Centre au kule Njombe wanaoishi kwenye mazingira magumu.wakijua kuwa kuna mwenzetu alipitia njia hizi na sasa ni Mbunge itawapa hamasa ya kujibidisha kwenye masomo.

KICHUGUU.

nadhani wewe au Mkumbo amesema tusiwataje vibaya watu kama ZITTO humu kwenye JF kwa vile ni members. jee kuwa Members wa JF ndio ngao ya kuficha maovu yako? kama hiyo ndio kanuni basi Sumaye na Mkapa nao waje kuchangia ili wapate kinga ya kuwa members wa JF na wanapokosea tusiwajadili kisa ni members wenzetu.

Siasa imetumika kumuharibu Zitto. jamani Zito ni nani? walikuwepo watu kama Mrema na Seif Sharrif mbona hawajapata kashfa hizi? unapotoa dawa kwa mgonjwa unatizama side effect yake. kweli mkasa huu uzushwe ili kumharibia Zitto na wana CCM? .ilihali Mpakanjia akubali kuivunja ndoa yake kwa mikasa ya kisiasa tu?. na pia Amina kuharibu jina lake na la familia yake eti ni mpango wa kumvuruga Zitto kama nani? jamani Mkumbo na Kichuguu story hiyo mimi siwezi kuinunua.haingii akilini samahani wazee.

Kichuguu ukiona Mpakanjia anasema na baba yake Amina ndio mafunzo ya dini yake yananyomuelekeza. unapooa unaambiwa mkiachana basi mnaachana kwa kheri. ndio kama anavyofanya Medi.

ZITTO KABWE.

nDUGU yangu nakupenda. tabia ni kitu unachoweza kukibadili si ulemavu.tabia kwa uongozi ni jambo muhimu sana.najua unaweza kubadilika.
pia sikupenda unavyojifahalisha kuwa unamlipa msaidizi wako laki 5 sio vyema mishahara kwetu ni siri na unampa wakati mgumu huyo msaidizi wako. kwa maisha ya kigoma kijijini ni pesa nyingi, hivyo utafanya watu wampelekee shida nyingi sana.naomba usirudie tena.

Pia kitendo chako cha kumvalisha mke wa mtu koti si kitendo cha busara. wewe ni role model pale dogo dogo centre.

Wanabodi.

Siko hapa tumkashifu mtu ila tabia ya mtu kama kiongozi wetu lazima tuijue alizaliwa wapi? katoka familia ipi? tabia zake?jee kwenye familia yake kuna asili ya uongozi? na mengi sana. kutokujua backgorund ndio tunapata viongozi wabofu kama kina Ncimbi ambao mnasema wameharibu ndoa ya Chifupa.
 
Please tuwe wakweli, ni wapi hapo ambapo wanaCHADEMA tumewahi kuwafumshia viongozi au mtu yeyote matusi. Waliojitambulisha kuwa ni wana CHADEMA katika forum hii tunajulikana. Mtu asimame hapa aniwekee post kutoka kwa mwana CHADEMA ikimfurumshia mtu matusi. Please evidence. Au mtu asimame hapa anipe parallel ya mwana-CHADEMA aina ya Mswahili.

What I know CHADEMA members at least in this forum have always tried their level best to be constructively and objectively critical. Sisi ni mfano wa watu wanaopenda na wanaojua umuhimu wa debate. Hatuoni taabu wala kigugumizi kupingana na kuzodoana sisi kwa sisi hata katika forum hii. Lakini hatuamini katika matusi.

My message is, inawezekana kubishana na kutofautiana bila kuporomosheana matusi. We should learn to argue without shouting and swearing, it is possible!
Kitila.
Nenda kwenye thread ya UKABILA TRA. Tizama matusi ya bosi wenu Phillimon Mikael aliyonitupia tena ya nguoni.naogopa kuyasema hapa. pitia vizuri kule.hiyo evidence tosha. nenda kule au uniambie au ninakuPM matusi yake kule.
mume wa balozi Maajar ametukanwa matusi ya karne. hatukukuona wewe. wala bi sent 50 mkiomba wafungiwe au kukemea. matusi ya kudhalilisha. naomba unipe tusi nililompa ZITTO ACHA KUPENDA KITU KIBUBUSA.
 
Mswahili hapo juu kuna point nyingi tu za maana umeongea na umejieleza vizuri kwa maoni yangu. Kwa hiyo sasa nakuombea msamaha kwa Zitto na wana forum, na hakuna haja tena ya kufungiwa.

Sahihisho: Philemon Mikael sio boss wetu CHADEMA. Najua Mswahili unaelewa sana kuwa tunapoongelea vyama vya siasa makini Tanzania, huna njia ya kuikwepa CHADEMA. Najua hatujakamilika, lakini tunajitahidi kila siku kupiga hatua. Nanyi msitukatishe tamaa.

Mwisho: Achana na mambo binafsi ya Zitto. Ebu nawe changia basi hoja zingine, kama lile swala la CDF, bajeti ya serikali, n.k. Yaani ewe huwezi kuchangia mada bila kuwalima watu ndugu yangu? Mswahili acha hizo bwana!
 
Madawati MMES hakuna, dawa hospitali hakuna, hawa wanene wameenda hapo Idodomya kutuwakilisha ama kujiwakilisha?
 
Mswahili hapo juu kuna point nyingi tu za maana umeongea na umejieleza vizuri kwa maoni yangu. Kwa hiyo sasa nakuombea msamaha kwa Zitto na wana forum, na hakuna haja tena ya kufungiwa.

Sahihisho: Philemon Mikael sio boss wetu CHADEMA. Najua Mswahili unaelewa sana kuwa tunapoongelea vyama vya siasa makini Tanzania, huna njia ya kuikwepa CHADEMA. Najua hatujakamilika, lakini tunajitahidi kila siku kupiga hatua. Nanyi msitukatishe tamaa.

Mwisho: Achana na mambo binafsi ya Zitto. Ebu nawe changia basi hoja zingine, kama lile swala la CDF, bajeti ya serikali, n.k. Yaani ewe huwezi kuchangia mada bila kuwalima watu ndugu yangu? Mswahili acha hizo bwana!

Now ur talking...
 
Kitila Mkumbo.
Ulipokuja humu kama Mwanasiasa ni mimi niliyesema kuwa wewe ni nani. ukakataa sana kuwa hauko Southmpton na mengi. hivi karibuni umekuja kukiri kuwa wewe ndiye Mwanasiasa na ni KITILA MKUMBO. huoni ulivyokuwa kuwa si mkweli.

Bosi wenu wa chadema kanitukana sana nenda kwenye TRA na Ukabila namjua yeye kama nilivyokuwa namjua Mwanasiasa.

Nachangia topik ambayo ninaijua na nina sema kwa ushahidi, siwezi kuwa kama mwanakijiji kuchangia kila thread hata kama sina ujuzi au ushahidi nayo. kwa hivyo usinilazimishe nichangie kila kitu nisichokijua.

Umeandika humu kuwa ulimsaidia sana ZITTO kupata nafasi chuo kikuu.hilo si jambo zuri kujisifia humu kuwa unamsaidia fulani huku ukijua ni public figure. ni vyema ukitoa kitu iwe siri yako. leo ukinipa shati halafu uje humu jambo forum kunitangaza sintojisikia vizuri. maana kila nikipita mitaani watu watakuja kusema "mtizame mswahili yule bila Kitila angetembea uchi" naomba umuombe radhi Zitto umemdhalilisha tena umesema alikuwa mnyonge kwa kuwa na maksi chafu na alikuwa hajiamini kama atapata Udsm.

Wanabodi.

Bi senti 50 na Mkumbo wamesema kuwa sio vizuri kumtaja ZITTO kuwa katoka kwenye mazingira magumu na hali halisi ya familia.

Baada ya kuyafikiria maombi yao nimekubali kuwasikiliza kwa masharti ya kuwa wao ndio walitaka kunizulia mimi. iweje sasa waseme ni mambo binafsi tuyawache?.mimi nataka ZITTO aje kuwa rais wetu. jee hatakuwa na historia yake?naomba mkubali mmenionea kwani hakuna uongo niliomzulia kama mnaona haipendezi kuitaja familia yake kwa vile ni duni basi nashauri tuseme kuwa Baba yake ZITTO ni Mheshimiwa Mengi au Bakhressa ili tumpe hadhi ya kifahari.
nazidi kumkumbuka Juma nature na wimbo wa kwenu ni kwenu au shibe shibe hainogi. kutokana na mkasa wa yule kijana ambaye kwao ni mbagala ikawa anaona noma na kujifanya mtu wa upanga.

BI SENT 50.

Nasema hivi jina la Kabwe ni la kike la mama yake mkubwa Zitto. na yeye si wa mwanzo kutumia majina ya kina Mama. mfano mzuri Nabii Issa au YESU kwa waislam wanamuita ISSA BIN MARYAMU. anatumia jina la mama yake. kwa nuktahii simtukani Zitto hata mitume wametumia majina ya kikeni kwao.
 
Usanii at its best! Yaani uroda ale Zitto msalaba abebeshwe Nchimbi... tumekusikia mkuu keep it up..

Huu siyo usanii ndugu yangu, ni uchambuzi usioegemea upande wowote. Nyie mnaoongea mkiangalia upande mmoja wa story ndio wasanii kabisa.

(1) Kama Mheshimwa Zitto alifanya kitendo kile na akafumaniwa na Medi, tungesema kweli Mheshimiwa Zitto na Mheshimwa Amina wote ni wa kulaumiwa kwa kuvuruga ndoa ile; ugoni ni kosa la wote wawili siyo la mtu mmoja.

(2) Lililotokea hapa ni "Dr" Nchimbi kutumia speculations kumchochea Bw Medi kumwacha mke wake kwa kumweleza kuwa mke wake anatembea na Zitto, ili kuhakikisha hilo linafanyika alimsaidia kuandika barua kwa spika. Hakuna ushahdi mwingine wowote uliowahi kutokea.

(3) Kama "Dr"Nchimbi alikuwa ana uchungu na ndoa ile na hakutaka ivunjike, kwanza kabisa angemwonya Mheshimiwa Amina, na endapo onyo hilo lisingefanya kazi, basi angemwarifu Med, na kumuandaalia mazingiria ambayo yangemsaidia kuwashika ugoni Mheshimwa Zitto na Mheshimiwa Amina wakitwa katika tendo hilo.
 
(
3) Kama "Dr"Nchimbi alikuwa ana uchungu na ndoa ile na hakutaka ivunjike, kwanza kabisa angemwonya Mheshimiwa Amina, na endapo onyo hilo lisingefanya kazi, basi angemwarifu Med, na kumuandaalia mazingiria ambayo yangemsaidia kuwashika ugoni Mheshimwa Zitto na Mheshimiwa Amina wakitwa katika tendo hilo.
__________________

Amuonye yeye akiwa kama nani? Sheikh/mchungaji au mshenga...usanii tuu
 
Mswahili,

Maelezo yako ni mengi sana na baadhi yake ni mazuri sana; hata hivyo nadhani kama swala la Zitto kazaliwa na mama gani, kakulia kwenye shida na vitu kama hivyo havikuwa relevant katika topic hii. Kuhusu yale machache uliyoelekeza kwangu nitakujibu kama ifuatavyo:

(a) Amina alikuwa atoe press conference, lakini baba yake ndiye aliyetokea baadaye. Hiyo sikuzua labda kama magazeti yote ya Tanzania yaliongopa.

(b) Hata mimi sikufurahia mheshimiwa Zitto kutaka kulizunguka hili, hata hivyo inawezekana kweli kabisa hawezi kutoa taarifa sasa hivi hadi apate hiyo video iliyotumiwa kumshawishi Medi kumtariki mkiewe. Kwa vile huenda Zitto amekuwa akikutana na Amina mara nyingi sana kama mbunge mwenzie na muda wote huo hakujua kuwa anapigwa video, ni dhahiri kuwa maelezo kamili juu ya sakata hilo yatatokana na video iliyotumika. Hayo ni maoni yangu tu, inawezekana kuna sababu nyingine tofauti kabisa yenye maudhui ya namna hiyo kuwa taarifa kamili itategemea na taarifa zilizoko upande wa pili.

(c) Kwa vyovyote vile, lawama kwa Zitto pekee siyo sahihi kwa sababu ugoni ni kosa la wote wahusikao hasa kwa vile Amina na Zitto wako level moja kimadaraka; kwa hiyo kama uko serious na ndoa ile, ungekuwa vile vile unamsakama na Amina kwa ushiriki wake. Kwangu mimi, kwa vile sina ushahidi wa ugoni, namlamu yule aliyetia chumvi katika sakata hilo, yaani "Dr"Nchimbi.
 
(

Amuonye yeye akiwa kama nani? Sheikh/mchungaji au mshenga...usanii tuu


Sasa yeye alimwita Medi na kumsaidia kuandika barua akiwa kama nani; kachero, kizabizabina, ndugu yake....

Halafu Masatu, hivi wewe unao ushahidi kamili wa nini kilichotokea? Inawezekana unataarifa kamili zaidi yetu, lakini kama taarifa zako ni kama zilizoripotiwa magazetini basi zichambue tena.
 
Kwa mara ya kwanza hii thread katika JF imenisikitisha sana. Kweli humu hatujuani ila muungwana Mswahili..umefika mbali kaka. Una haki ya kutoa maoni yako lakini...I honourably say you went far. Swala la mama yake kuja Dar..what is the problem? mbona wengine wazazi wetu hata hiyo Dar hawaijui..na wala hawategemei, unless tuwaletee sisi...Man, that was an insult for all those from humble background like me and the rest....Against all odds.......

Kuzaliwa na kulelewa na single parent is not a crime, after all wengi wetu tumetokea huko huko. To me albeit all adversities..Zitto I respect him, especially baada ya maneno yako. This shows...you can move from being a cobra (mshona viatu to shake hands with the president). This man should be an inspiration to all those who grew up in humble families with appaling poverty! Zitto carry on!. Guys just know, hata kama ni maskini wa kutupwa kama Mungu alikuandikia..it just needs hardwork and determination to reach where you want!

As long as Zitto hajahukumiwa..I cant comment on anything to do with these allegations.
 
Kwa mara ya kwanza hii thread katika JF imenisikitisha sana. Kweli humu hatujuani ila muungwana Mswahili..umefika mbali kaka. Una haki ya kutoa maoni yako lakini...I honourably say you went far. Swala la mama yake kuja Dar..what is the problem? mbona wengine wazazi wetu hata hiyo Dar hawaijui..na wala hawategemei, unless tuwaletee sisi...Man, that was an insult for all those from humble background like me and the rest....Against all odds.......

Kuzaliwa na kulelewa na single parent is not a crime, after all wengi wetu tumetokea huko huko. To me albeit all adversities..Zitto I respect him, especially baada ya maneno yako. This shows...you can move from being a cobra (mshona viatu to shake hands with the president). This man should be an inspiration to all those who grew up in humble families with appaling poverty! Zitto carry on!. Guys just know, hata kama ni maskini wa kutupwa kama Mungu alikuandikia..it just needs hardwork and determination to reach where you want!

As long as Zitto hajahukumiwa..I cant comment on anything to do with these allegations.
 
MTZ,

Nakuunga mkono!! Mswahili hawezi kuandika habari bila kuwa na info. Ingawa hata kama zitto alifukuzwa chuo ZNZ sioni kama ni issue unless alifeli mitihani na kuwa discontinued!!!! DISCO ni dalili fulani za ukihyo wa mtu!!!


Kwa kuongezea tu, labda kama sheria za UDSM zimebadilika, UDSM ilikuwa haichukui mwanafunzi yeyote aliyefukuzwa kwa sababu yoyote ile kutoka chuo chochote Afrika ya Mashariki. Kwa hiyo kama Zitto alifukuzwa zanzibar asingepokelewa UDSM.
 
Mswahili,

Maelezo yako ni mengi sana na baadhi yake ni mazuri sana; hata hivyo nadhani kama swala la Zitto kazaliwa na mama gani, kakulia kwenye shida na vitu kama hivyo havikuwa relevant katika topic hii. Kuhusu yale machache uliyoelekeza kwangu nitakujibu kama ifuatavyo:

(a) Amina alikuwa atoe press conference, lakini baba yake ndiye aliyetokea baadaye. Hiyo sikuzua labda kama magazeti yote ya Tanzania yaliongopa.

(b) Hata mimi sikufurahia mheshimiwa Zitto kutaka kulizunguka hili, hata hivyo inawezekana kweli kabisa hawezi kutoa taarifa sasa hivi hadi apate hiyo video iliyotumiwa kumshawishi Medi kumtariki mkiewe. Kwa vile huenda Zitto amekuwa akikutana na Amina mara nyingi sana kama mbunge mwenzie na muda wote huo hakujua kuwa anapigwa video, ni dhahiri kuwa maelezo kamili juu ya sakata hilo yatatokana na video iliyotumika. Hayo ni maoni yangu tu, inawezekana kuna sababu nyingine tofauti kabisa yenye maudhui ya namna hiyo kuwa taarifa kamili itategemea na taarifa zilizoko upande wa pili.

(c) Kwa vyovyote vile, lawama kwa Zitto pekee siyo sahihi kwa sababu ugoni ni kosa la wote wahusikao hasa kwa vile Amina na Zitto wako level moja kimadaraka; kwa hiyo kama uko serious na ndoa ile, ungekuwa vile vile unamsakama na Amina kwa ushiriki wake. Kwangu mimi, kwa vile sina ushahidi wa ugoni, namlamu yule aliyetia chumvi katika sakata hilo, yaani "Dr"Nchimbi.

Kichuguu.

Ukishakuwa mwanasiasa ujue ni public figure huwezi kusema sehemu ya historia yako isiandikwe.Mwalimu Nyerere maisha yake kila mtu anayajua baba yake alikuwa chifu na mama yake tulikuwa tukimuona na kupewa taarifa zake.

unapokuwa daktari huwezi kumtibu mgonjwa bila kuwa na historia ya ugonjwa wake.ZITTO kujua aliishi vipi na alikulia malezi gani ni so crucial kufikia uamuzi wa mwenendo mzima wa tabia zake chafu.

wanasiasa wengi wanasema baba yangu alikuwa mfugaji au mkulima ni mambo ya kawaida. wengine atakwambia alikuwa mganga wa jadi. ukiwa unapitia gazeti la Rai kwenye wanasiasa wetu utaona wanavyoweka historia zao.

Kuhusu press conference umemiss point. nimesema kuwa Amina alikuwa tayari kwenda ukumbi wa maelezo kuweka wazi sakati zima na ikashindikana. jee kwanini yeye Zitto nae asifanye kama Amina kwenda ukumbi wa maelezo na kukanusha? hapo ndipo nilipokuhoji. vipi aliweza kwenda kumkanusha mkuu wa nchi ukumbi wa maelezo. lakini alishindwa kwenda hapo kuwaweka sawa wananchi wake au sisi wengine. na hadi sasa hajafanya kitu kama hicho official?.

Ndugu yangu Kichuguu ugoni una siri moja kubwa nayo ni hata kama una nguvu kama TYSON ukifumaniwa unakuwa mnyonge na zezeta. na akili haifanyi kazi hayo ndio yaliyomkuta mheshimiwa . mtu kama Zitto ni mtunga sheria na pia nilitegemea awe mfano wa kuonesha matumizi ya sheria pale zinapopindishwa.

Mpakanjia kamtaja wazi bwana Zitto na magazeti yamemuandika sana vibaya, kama mnavyolazimisha kuwa ni uvumi tu, kwanini ZITTO asimchukulie hatua za kisheria Mpakanjia, magazeti na sisi kina mswahili kwa defamation? basi yeye mtunga sheria lakini hajui matumizi ya sheria? tumeshuhudia sakati la Malima na spika na bwana Mengi upate mwingine, hiyo ni kusafisha majina yao. vipi yeye anaweza kuchangia mada moto moto hajuwi kuna sheria ya defamation?

yeye kasema msaidizi wake ni mwanasheria na kama hana aseme tutamtafutia majura magafu atamsaidia bure hata wana JF wapo wanasheria watamsaidia. lakini kimya chake kinaashiria ni mhusika. na mtu akiwa kimya ina maana kakubali kosa.

point ya mwisho umehoji kwanini Amina hatajwi.naomba tizama michango yangu kule kwenye thread ya ugoni wa Zitto na AMINA. au umewahi kuona mada yeyote ninamuomba Mpakanjia amrudie Amina kwa vile kaonewa? so far Amina kashaadhibiwa kwa kula talaka. lakini bwana Zitto hajapata adhabu yeyote ile.

Mwisho naona hili jambo niliache unless aje mtu mwingine kubisha ndio nitarudi vinginevyo na hitimisha kuwa Zitto umetuangusha sisi watoto wa walalahoi kwa kwenda bungeni kufanya uzinzi tu.utatupa wakati mgumu kupitishwa kwenye vyama mbali mbali, watakuwa wanapita kina TOM Mwang'onda, Lucy Nsesamburo yaani watoto wa walionacho, sie wa uswazi umetutosa.
 
Mswahili

Taratibu mzee vijana wetu hawa.
 
2006-12-10T16_20_31-08_00.png


MUHIMU KWA MBUNGE HUYU WA CHADEMA NI KUFUNGUA zipu NA KUMUNGUNYUA JAPO ANAONA SIFA LAKINI CHA AJABU WANAWAKE WANADAI KUWA NI MZEMBE





2007-01-28T19_55_19-08_00.jpg


MBUNGE HUYU NAYE ALIINGIZWA MJINI NA KABWE LAKINI KAMA MNAVYOJUA ndugu yetu kabwe aliamua kufanya UPGRADE KWANI HAYA MAMBO YA WATEMBEA NA KANDAMBILI WHATEVER HAPPENED NA KIJANA RIJALI UKAWA NA TASTE?





2006-11-26T16_15_58-08_00.jpg


NAAM,BAADA YA KUMDUMP YULE KIPANYA ZITTO AKAAMUA KUIPGRADE NA KUPANDA BMW X5 NA MATOKEO YAKE NADHANI MNAYAJUASASA HUYU ANASHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA KUJADILI SHERIA ZETU NA KUSEMA KWELI HUU UTAMADUNI WA KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU HATA SIJUI KAUTOLEA WAPI
 
mv11.jpg

NAONA SASA MBUNGE BI MUHONGA KANUNUA VIATU VIPYA NA NGUO MPYA NO WONDER SUSAN MUSHI ANATAKA UBUNGE KWA NGUVU ZOTE
 
Back
Top Bottom