Wanene kuongezewa marupurupu

Wanene kuongezewa marupurupu

Zitto aje kujibu maswali ya wananchi hapa forum, Malecela, Lowassa, na the rest wakitembea na mbunge mwanamke ambaye ni mke wa mwananchi na kusababisha mke kupewa talaka, Spika kuhusishwa, na mpaka waziri wa serikali kuhusihswa, ni wajibu wao kujibu maswali ya wananchi, hakuna exception kwa Zitto, na Chadema au forum, ni NONESENSE!

Tunachotaka kujua ni moral authority, ya kuwa kiongozi na kuwakemea viongozi wengine hapa forum mheshimiwa Zitto anaitoa wapi baada ya kushutumiwa na kesi nzito kama hiyo, ya kusababisha mke wa mtu kuachwa kwa sababu yake, akiwa kiongozi wa wananchi?

Malecela ana watoto kama walivyo viongozi wengi wetu na wananchi pia, sidhani kama hiyo ni ishu kama ambavyop unataka kuihusisha na na hii ya uzinzi wa mbunge na mbunge, na kusababisha, mke wa mwananchi ambaye ni mmbunge kuachwa, good try lakini hakuna mjinga hapa wala mtoto mdogo, na sijui form here on hiyo authority ya kukosoa viongozi mnaitoa wapi tena, maana hakuna tena, wote tumekuwa wasaniii tena big time!

Ninarudia kuwa Mbunge Zitto, aje hapa kujibu maswali ya wananchi ili kulinda heshima ya forum! Malecela has nothing to do na this!
 
.kwanini achaguwe kuongea na gazeti moja tu tena la chama chake?

Ina maana umewasahau waandishi wetu kaka wanavyojua kubadilisha maneno....hata FOX news hawatambi kwao hivyo to me that was good strategy na kumbuka one strength ya Zitto kisiasa ni straegy na haswa anapokuwa katika wakati mgumu. Ni wazi waliolipua hilo walikuwa wakimsubiri kwa hamu afanye kosa la kujianika kwa akina muhingo and company ili wachekelee. Mbona hata kaka DAU anajua hilo.

Kuhusu suala la kuvalishana koti kaka nadhani unakosea maana hayo ni masuala ya imani na sio siasa na kutumia ushahidi huo kutoa hukumu tutakuwa tunakaribisha unazi/ugaidi wa kidini......na hiyo ni sumu kwa Tanzania yetu

Tanzanianjema
 
Hahahahaha...mimi nilishasema moons ago kuwa hii skendo is a non-issue and none of our business lakini wakawa wabishi eti---oooh ni muhimu kujadili kwa ajili ya "maslahi" ya taifa. I just fail to see the correlation between one's accused infidelity and national interest(s), at least in this context/ situation.

Halafu Mwanakijiji umeniacha hoi hapo juu uliposema "Na hii ni post yangu ya mwisho kwenye suala hili. .....just to be followed by five more paragraphs addressing the same question...Lol.

Anyway, I'm glad na wewe umeamua na post hii iwe mwisho kujadili maswala binafsi ya Zitto. I hope more will follow suit...
 
Ndio maana ninataka kumuuuliza maswali Mheshimiwa Zittto, ilil kujua haya niliyonayo ni ukweli au uongo, na nitayaelekeza kwa Zitto tu, na sio kina "Malinzi", mheshimiwa aje kujibu maswali ili ajisafishe au tujue kuwa ni kweli na tutaendelea from there,

Tusichotaka hapa ni ujanja wa kitoto, wakati wote ni watui wazima hapa?
 
Zitto aje kujibu maswali ya wananchi hapa forum, Malecela, Lowassa, na the rest wakitembea na mbunge mwanamke ambaye ni mke wa mwananchi na kusababisha mke kupewa talaka, Spika kuhusishwa, na mpaka waziri wa serikali kuhusihswa, ni wajibu wao kujibu maswali ya wananchi, hakuna exception kwa Zitto, na Chadema au forum, ni NONESENSE!

Tunachotaka kujua ni moral authority, ya kuwa kiongozi na kuwakemea viongozi wengine hapa forum mheshimiwa Zitto anaitoa wapi baada ya kushutumiwa na kesi nzito kama hiyo, ya kusababisha mke wa mtu kuachwa kwa sababu yake, akiwa kiongozi wa wananchi?

Malecela ana watoto kama walivyo viongozi wengi wetu na wananchi pia, sidhani kama hiyo ni ishu kama ambavyop unataka kuihusisha na na hii ya uzinzi wa mbunge na mbunge, na kusababisha, mke wa mwananchi ambaye ni mmbunge kuachwa, good try lakini hakuna mjinga hapa wala mtoto mdogo, na sijui form here on hiyo authority ya kukosoa viongozi mnaitoa wapi tena, maana hakuna tena, wote tumekuwa wasaniii tena big time!

Ninarudia kuwa Mbunge Zitto, aje hapa kujibu maswali ya wananchi ili kulinda heshima ya forum! Malecela has nothing to do na this!

Ina maana wakitembea na wake za wengine (wakiwemo wake za wasaidizi wao) lakini sio wabunge ama mawaziri wenzao sio kosa? Ama wanapozaa nje ya ndoa zao nalo sio tatizo. Ama wanaposarandia na wakati mwengine kutembea na wabunge ama mawaziri wenzao wasio olewa sio tatizo. Ama wanapofanya ule uchafu mnaoita thresome na watoto wa wapiga kura wao na kuchukuliwa video na wajanja sio makosa. Ama wanapotembea na watoto wa wapiga kura wao katika shule zetu na vyuo vyetu vya elimu ya juu na kuwabambika madudu yao na kuwaharibia umakini wao katika elimu sio makosa?

Hongera kwa kuongelea MORAL AUTHORITY kaka....

Naomba nijibiwe...

Tanzanianjema
 
Kichuguu.

aliogopa nini kufanya press? mbona alikuwa na spidi kumkanusha rais kwa kuita mkutano wakati huo huo.? hili la ugoni ndio anaomba apewe muda.

umesema magazeti yaliandika. si kweli sema liliandika gazeti la chadema tu-Tanzania Daima, tena baada ya mwezi mzima. utapata picha kamili kuwa Tanzania Daima ni gazeti la kukampenia Chadema possible kabisa ile story ilipikwa. kwanini achaguwe kuongea na gazeti moja tu tena la chama chake?

ni sawa na kuomba kazi halafu unaulizwa reference unaleta toka kwa mkeo au mumeo. ilitakiwa taarifa itoke kwenye independent gazeti. si Tanzania Daima wala Uhuru. Tanzania Daima lilisema tumeongea nae kwenye simu tu kwanini hakwenda ITV,TVT,Majira.mwananchi n.k?

nilisema huko nyuma kuwa siri ya ugoni ni uoga na kuchanganyikiwa hadi urudi kuwa normal inachukua hadi miezi mitatu. ndio sasa anakuja kupitia mlango wa nyuma.

nakupa kisa cha mhalifu ndiye mara nyingi anaogopa na kuchukia vyombo vya sheria au polisi. mtu kama si mhalifu utaogopaje polisi? Kwanini ZItto aogope ukumbi wa habari-maelezo?kwanini asiyapeleke mahakamani magazeti na watu waliochafua jina lake? kwanini amvalishe koti mke wa mtu na hili hadi gazeti la chadema liliandika. jee kuna uhalali gani wa yeye kuvaliana nguo na mke wa mtu?

kichuguu,Zitto,Bi sent 50, TN na wana chadema wote nasema I CAN'T BUY YOUR STORY!

(1) Maswali na reasoning yako ni ya msingi sana; tatizo ni kuwa hukumwiliza Zitto maswali hayo katika cross-examination baada ya kuwa ametoa statement yake. Hilo ndilo jamboililotakiwa.

(2) Nilishajibu mtu mwingine kuwa mimi sina uhusiano na chama chochote cha siasa: siyo CCM, CHADEMA, TLP, NCCR, UDP, TADEA, DP, NRA, na utitili mwingineo. Niliondoka Tanzania mara ya mwisho mwaka 1994 wakati ndiyo vyama vingi vya upinzani vikiwa vimeanza tu, na ile kadi yangu ya CCM niliyokuwa nimekata mwaka 1983 ili nipate barua ya katibu kata kuendea chuo kikuu ilishia pale nilipoingia chuo kikuu. Usipokubaliana nami sema hukubaliani na Kichuguu usinihusishe na chama chochote cha siasa; huwa naudhika sana kuhusishwa na vyama vya siasa. Nitajitahidi kutetea hoja yangu kadri ya uwezo wangu na ikiwa ni ya kipumbavu basi huo utakuwa ni upumbavu wangu siyo wa chama chochote kile.

Na kwa jumla siyo vizuri kumhusisha mtu yeyote na chama cha siasa kabla hujathibisha hivyo eti tu kwa vile hakukubaliana na mtazamo wako. Hata watu wa chama kimoja huwa wana mitazamo tofauti. katika CCM Mangula alisema kuna makundi ndani ya CCM halafu Makamba akakana. Je Mangula alikuwa ni chama cha upinzani?
 
Mzee tumekusikia, then Richomnd ni sawa tu if that is the case, kwani kuiba mwanamke wa mwananchi, na kumuibia hela zake mwananchi lipi ni bora?

Haya sasa tupeni vision za siasa mbovu za CCM, tumekubali kuwa Chadema na viongozi wake ni nambari one kwenye hii forum! Hata wakikosa hawahitaji kujibu maana mbona na wa CCM wanafanya, ni wakati wa kufunga ofisi kama tumefikia hapo wakuuu!
 
Mwanakijiji.

Zitto kavunja ndoa ya watu si jambo binafsi. kuna mtoto anahangaika hivi sasa kwa tamaa ya ngono ya Zitto.
kama kuna kiongozi kavunja ndoa mithili ya huyu kiongozi wako wa chama mtaje tumjadili. Zitto hajawahi kukanusha ugoni wake na hakuna anayemlazimisha kuja kukiri hapa.

atakuwa mwendawazimu kuja kusema kweli nilifanya uhalifu. ndio maana unaona magereza yamejaa wahalifu kama Zitto sababu hawataki kukiri makosa yao. wewe hujui mrundikano wa kesi za watuhumiwa mbalimbali?

inachukua hadi miaka kukiri makosa au kukutwa na hatia. Zitto ni kiongozi wa wananchi. mwenendo wake ukiwa mbaya unaathiri taifa. kama kaiba mke wa mtu anaogopa nini kutuingiza kwenye mikataba ya bandia unayokesha kuilalamikia?

unasema unaandikia KULIKONI hilo ni gazeti la wachagga wale wezi wa TRA. kwa kiswahili chepesi umeruka mkojo na kukanyaga mavi.

Mwanakijiji umekuja juu na kulalamika kwa Ridhwani Kikwete kuchukua fomu. jee yanatuhusu nini hayo kama si mambo binafsi? au wewe ulipolazwa hospitalini kipindi kile umetahiriwa ulikuwa na ulazima gani kutuwekea kwenye podomatic yako na kutueleza jinsi madaktari walivyokushughulikia na ukaweka picha ya hospital ya marekani, hukuona lile ni jambo binafsi unatuletea kiwe nini kwetu?
Zitto ni MBUNGE na Ac ni mbunge wote wanawajibika kwetu. na wanakula kodi zetu kuathiri utendaji wa mmoja wao ni kulisaliti taifa.

Suala lako la uchadema halina siri, mtizame Mkumbo alivyo makini wakikosea anakubali na anasema hiyo ni learning process huyo ni kada ambaye Mbowe halali bila kuongea nae na ndio aliyemshauri mwenyekiti wako kusoma kama alivyomsaidia Zitto kupata nafasi Udsm pamoja na maksi zake chafu, lakini wewe hata Mbowe akiwa na makengeza utakataa.

Umekuwa ukisema na kuwapakazia wenye phd feki, jee huoni hilo ni swala la binafsi? Phd ni ya Nchimbi sisi inatuhusu nini? na mmekuwa mkiwashutumu watu mbalimbali kuwa wana phd feki. mbona wenyewe hawajakubali kuwa wana PhD feki, mbona mnawalazimisha wakubali utashi wenu kuwa wana phd feki?

Mwanakjj hapa umefeli kuja kumkingia kifua Zitto kuwa ni private life.

Suala la mama yake limeingia kutokana na mama yake kuwa na tabia mbaya kama Nigerian wanamwita 419. Usitegemee mtoto wa 419 asiwe 419.

nimesema kuwa kama hamuamini msubiri siku akifa mama Zitto utaona watu wanakuja kuzuia jeneza kutaka walipwe vyao.
 
Ina maana wakitembea na wake za wengine (wakiwemo wake za wasaidizi wao) lakini sio wabunge ama mawaziri wenzao sio kosa? Ama wanapozaa nje ya ndoa zao nalo sio tatizo. Ama wanaposarandia na wakati mwengine kutembea na wabunge ama mawaziri wenzao wasio olewa sio tatizo. Ama wanapofanya ule uchafu mnaoita thresome na watoto wa wapiga kura wao na kuchukuliwa video na wajanja sio makosa. Ama wanapotembea na watoto wa wapiga kura wao katika shule zetu na vyuo vyetu vya elimu ya juu na kuwabambika madudu yao na kuwaharibia umakini wao katika elimu sio makosa?

Hongera kwa kuongelea MORAL AUTHORITY kaka....

Mzee ES naomba nijibiwe...

Tanzanianjema

Jitahidi unijibu kaka...

Tanzanianjema
 
Mwanakijiji.

Zitto kavunja ndoa ya watu si jambo binafsi. kuna mtoto anahangaika hivi sasa kwa tamaa ya ngono ya Zitto.
kama kuna kiongozi kavunja ndoa mithili ya huyu kiongozi wako wa chama mtaje tumjadili. Zitto hajawahi kukanusha ugoni wake na hakuna anayemlazimisha kuja kukiri hapa.

atakuwa mwendawazimu kuja kusema kweli nilifanya uhalifu. ndio maana unaona magereza yamejaa wahalifu kama Zitto sababu hawataki kukiri makosa yao. wewe hujui mrundikano wa kesi za watuhumiwa mbalimbali?

inachukua hadi miaka kukiri makosa au kukutwa na hatia. Zitto ni kiongozi wa wananchi. mwenendo wake ukiwa mbaya unaathiri taifa. kama kaiba mke wa mtu anaogopa nini kutuingiza kwenye mikataba ya bandia unayokesha kuilalamikia?

unasema unaandikia KULIKONI hilo ni gazeti la wachagga wale wezi wa TRA. kwa kiswahili chepesi umeruka mkojo na kukanyaga mavi.

Mwanakijiji umekuja juu na kulalamika kwa Ridhwani Kikwete kuchukua fomu. jee yanatuhusu nini hayo kama si mambo binafsi? au wewe ulipolazwa hospitalini kipindi kile umetahiriwa ulikuwa na ulazima gani kutuwekea kwenye podomatic yako na kutueleza jinsi madaktari walivyokushughulikia na ukaweka picha ya hospital ya marekani, hukuona lile ni jambo binafsi unatuletea kiwe nini kwetu?
Zitto ni MBUNGE na Ac ni mbunge wote wanawajibika kwetu. na wanakula kodi zetu kuathiri utendaji wa mmoja wao ni kulisaliti taifa.

Suala lako la uchadema halina siri, mtizame Mkumbo alivyo makini wakikosea anakubali na anasema hiyo ni learning process huyo ni kada ambaye Mbowe halali bila kuongea nae na ndio aliyemshauri mwenyekiti wako kusoma kama alivyomsaidia Zitto kupata nafasi Udsm pamoja na maksi zake chafu, lakini wewe hata Mbowe akiwa na makengeza utakataa.

Umekuwa ukisema na kuwapakazia wenye phd feki, jee huoni hilo ni swala la binafsi? Phd ni ya Nchimbi sisi inatuhusu nini? na mmekuwa mkiwashutumu watu mbalimbali kuwa wana phd feki. mbona wenyewe hawajakubali kuwa wana PhD feki, mbona mnawalazimisha wakubali utashi wenu kuwa wana phd feki?

Mwanakjj hapa umefeli kuja kumkingia kifua Zitto kuwa ni private life.

Suala la mama yake limeingia kutokana na mama yake kuwa na tabia mbaya kama Nigerian wanamwita 419. Usitegemee mtoto wa 419 asiwe 419.

nimesema kuwa kama hamuamini msubiri siku akifa mama Zitto utaona watu wanakuja kuzuia jeneza kutaka walipwe vyao.

Heee!! Ina maana Mwanakijiji alikuwa govi hadi hivi majuzi tu? Hebu tueleze mwenzetu wewe ulijuajuaje kuhusu hilo
 
Swali la "kuiba mwanamke wa mwananchi" kweli halijaweza kuingia akilini mwangu kabisa kwa vile Mbunge Zitto na Mbunge Amina ni watu wa calibre moja. Wakati ni kweli kabisa kuwa Zitto Kulala na m ke wa mtu ni kinyume cha maadili kwake yeye mwenyewe na kwa mwanamke aliyehusika, lakini matumizi ya neno "kuiba" nadhani linamdhalilisha Mbunge Amina kama vile alilazimishwa au alichukuliwa bila yeye mwenyewe kujua.
 
Kaka Mswahili tafadhali muache mama wa watu na hizi kashfa zako......

Tanzanianjema
 
Kichuguu.
Sijasema wewe ni Chadema tizama vizuri maandiko yangu, au kiswahili ni lugha ngumu tumeshindwa kuelewana. nimewataja wote walioniletea hoja ukiwa wewe mmoja wapo na pia nikajumuisha kwa wana chadema wote ambao wanalihusisha suala hili na chama chao.

mimi nilitaka ipatikane cross-examination,lakini kuletewa story kuwa aliongea na mwanadishi wa gazeti la chama chake kwa simu. story hii haingii akilini.labda inaweza kumuingia Mwanakjj tu kwa vile si mfuasi wa chama bali ni muumini wa chadema.

yeye ni mwanachadema anayetuhumiwa na pia anatumia gazeti la chama chake kukanusha hapo sipati jibu.ni sawa na Mtu kuomba kazi halafu referee anakuja kuwa mkeo, mzazi wako au shangazi yako. utaratibu huo sijawahi kuuona.ndio kwanza naupata kwa Zitto. pia mtu ambaye ni outspoken alishindwa vipi kuitisha mkutano-maelezo?
 
Heee!! Ina maana Mwanakijiji alikuwa govi hadi hivi majuzi tu? Hebu tueleze mwenzetu wewe ulijuajuaje kuhusu hilo
Source Mwanakijiji.podomatic.com HUKO ndiko tuliambiwa.jaribu kuwa unapitia na redio ilifungwa hadi alipomaliza kujiuguza.mie sikosi huko kila week tunapata vitu moto moto.
 
Source Mwanakijiji.podomatic.com HUKO ndiko tuliambiwa.jaribu kuwa unapitia na redio ilifungwa hadi alipomaliza kujiuguza.mie sikosi huko kila week tunapata vitu moto moto.

Lakini si alisema alilazwa kwa vile alipata flu.....sasa hii ya kutahiriwa govi imetokea wapi tena?
 
Kaka Mswahili,

Hiyo ni political strategy na Zitto amesoma baada ya yaliyomtokea Dr Salim kubambikiwa mambo halafu akakubali mawazo ya wazee kujitokeza mbele ya kundi la mafisi....kilichofuatia wote tunakijua ikiwemo kina Dr Shoo kuvamia kiwanda cha kuchapia magazeti na kubadili habari ambayo ilikuwa imeandikwa na mhariri mhusika ili kufanikisha mbinu zao. Na Zitto anayajua hayo na anawajua vizuri waandishi wetu kuliko uwajuavyo wewe uliopo ughaibuni.

ushauri wangu ni kuwa wanasiasa wetu wengine Tanzania wanahitaji wasaidizi wenye kuweza kung'amua mitego kama hii na kuachana na "mediocre politicking"

Tanzanianjema
 
Tanzania njema.
Kama mbinu hiyo ilimsaidia.ilikuwaje lilipokuja suala la Rais akabadili mbinu bora na kufuata ya DR.Salim ambayo umesema ni bomu? sinunuwi story kienyeji hivyo. muuzie Mwanakjj na hili hata Mkumbo hanunuwi story hii. sorry mkuu.
 
As i said earlier, political strategy......

Tanzanianjema
 
Zitto kama hata kama unashindwa kuingia humu and i can understand lakini tutumie hotuba yako na ya kiongozi wa upinzani ambayo soon utakapoweza.....kule kweny thread ya hotuba ya bajeti

Usitususe wenzio ....

Tanzanianjema
 
Lakini si alisema alilazwa kwa vile alipata flu.....sasa hii ya kutahiriwa govi imetokea wapi tena?
Hakuna flu ya kulazwa wiki tatu. unapewa dawa unaenda nyumbani. bi Sabaha Muchacho anasema fumbu mfumbie mjinga mwelevu...

Mwanakijiji na Tanzania NJEMA.
Marekani ina watoto asilimia 80% wengi wao wa watu weusi, ambao hawawajui wazazi wao lakini hawalalamiki kuwa wametukanwa ndio reality. Na nimesema kama mnachungu uondoeni neno Bastard kwenye kamusi, sikutunga mimi neno lile, msinishike uchawi pekee yangu wengi wanasema kuna single parent. na hata watoto wa Makambako na Njombe wako kwenye mazingira magumu mbona hamuwatetei? Tabia ni kitu cha kubadilika kwani si kilema.
 
Back
Top Bottom