Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Katoto Kazuri umeyataka mwenyewe haya mawe si mchezo. Na hapa ni kwaresima ngoja pasaka iishe ndio moto utauona kwa wanaume.

Wewe unatutukana wanaume wa Tz kisa unatumia ID fake. Nasema subiri Pasaka iishe ili uwe mfano kwa wanawake wengine wasio na Adabu.
 
Leo ndio nimeamini wanawake hampendani.
Uyu dada Sio chizi ila Kuna jambo LA ukweli kalionongea, baadhi ya wanaume Humu tunaandika uzi za kudhalilisha wanawake, tena kwa maneno ya kashfa, ila Hakuna mwanaume ambae anasimama na wanawake na km Yupo Basi atapingwa na kila mmoja wetu,

Alivyofanya huyu dada ni vile vile akina Zero IQ wanafanya kuwakosoa na kuwadharirisha hata Kama wamewaoa,..
Leo mwanamke mwenzenu anajibu mnampinga, mnamuona Hana akili [emoji23][emoji23] kwa jambo lile lile tunalolifanya wanaume.

Shida ni moja, nimeiona mnataka kujipatia umaarufu kwamba mko smart,. Nyie Sio wa ovyo ovyo km huyu dada.
Ni vizuri Sana ila mngekaa kimya na kupita tu ningewaona wamaana zaidi
Kwanini mmpingananae wazi wazi.
Sio jambo zuri mnalofanya km hamjapenda mngeenda kuchangia nyuzi nyingine.

Wanawake hampendani, wanawake mnapenda sifa muonekane wamaana mbele yetu wanaume, mnapenda kuwashusha wanawake wenzenu ili muonekane mnaakili kwa kutumia udhaifu wa mwenzenu badala ya kumshika mkono km sisi tunavyofanya.
Mtabaki kuwa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huna hoja,

Hao wanawake unaowazungumzia kwamba eti hawampendi mwenzao mimi nawaona mashujaa. Wamejipambanua kwamba kamwe katika maisha yao hawata-support upuuzi. Kunguru kwao ni kunguru tu na si vyenginevyo.

Hayo unayotaka wewe wayafanye eti kum-support mwenzao hata kama anaongea upupu ndio yaliyotufikisha hapa na li-CCM letu.
 
Leo ndio nimeamini wanawake hampendani.
Uyu dada Sio chizi ila Kuna jambo LA ukweli kalionongea, baadhi ya wanaume Humu tunaandika uzi za kudhalilisha wanawake, tena kwa maneno ya kashfa, ila Hakuna mwanaume ambae anasimama na wanawake na km Yupo Basi atapingwa na kila mmoja wetu,

Alivyofanya huyu dada ni vile vile akina Zero IQ wanafanya kuwakosoa na kuwadharirisha hata Kama wamewaoa,..
Leo mwanamke mwenzenu anajibu mnampinga, mnamuona Hana akili [emoji23][emoji23] kwa jambo lile lile tunalolifanya wanaume.

Shida ni moja, nimeiona mnataka kujipatia umaarufu kwamba mko smart,. Nyie Sio wa ovyo ovyo km huyu dada.
Ni vizuri Sana ila mngekaa kimya na kupita tu ningewaona wamaana zaidi
Kwanini mmpingananae wazi wazi.
Sio jambo zuri mnalofanya km hamjapenda mngeenda kuchangia nyuzi nyingine.

Wanawake hampendani, wanawake mnapenda sifa muonekane wamaana mbele yetu wanaume, mnapenda kuwashusha wanawake wenzenu ili muonekane mnaakili kwa kutumia udhaifu wa mwenzenu badala ya kumshika mkono km sisi tunavyofanya.
Mtabaki kuwa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye aya ya mwisho nimekuelewa sana. Ni kweli kabisa wanawake huwa hatujiamni and for that huwa tunapenda kufanya mambo ya kuwafurahisha wanaume hata kama yanatuumiza. Inaitwa KUTOKUJITAMBUA.
 
Ameliwa na Nani?
Msingi wa hoja yake ni kuchambua tabia zenu baadhi ya wanaume wa bongo zinazo wavictimize baadhi ya wanawake ambao kila siku takwimu zao zaongezeka,, badala hoja Kwa kupinga with facts or whatever mmejikita kumtusi ili mzidi kudhihirisha unyanyaaji wenu katika mnayoyaona yanafaa kuwatenda wanawake zenu....aibu zenu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nae hujielewi. Hiyo BAADHI YA WANAUME wa bongo kasema yeye au unasema wewe???

Acha kiherehere dada
 
Katoto Kazuri umeyataka mwenyewe haya mawe si mchezo. Na hapa ni kwaresima ngoja pasaka iishe ndio moto utauona kwa wanaume.

Wewe unatutukana wanaume wa Tz kisa unatumia ID fake. Nasema subiri Pasaka iishe ili uwe mfano kwa wanawake wengine wasio na Adabu.
Umesahau na sisi wanawake tunafunguliwa sana threads za kutudhalilisha humu? Leo ni zamu yenu vumilieni sindano dawa iingie sawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nimeishuhuduia kitaa...ukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huu ukweli ni mchungu hasa, na sio kwao mapunga tu bali hata kwetu wanawake.
Tukianza kwanza ni wachache, then ndio unakuta kumbe na wanawake wenzetu wamo tena wengine na miamvuli ya ndoa za kuficha maovu yao.

Huwa nasikia mapunga hawana umri mrefu wa kuishi, na inasemekana pia wanaume wako ktk risk ya kufa zaidi ya wanawake. Twaafwaaaaa.
 
Back
Top Bottom