Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Wanawake wenzangu, hapa Tanzania hakuna wanaume

Na hapa Bongo hakuna wanawake, ndio maana watu maarufu wanaenda kuoa Nje huko...
Cc
Ali Kiba
AY

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa na kwa taarifa yako wanaume hawako bongo pia ndio maan johari na wengine wameolewa na watu njee siunaona anti ezekiel katambua na wengine no men in Tanzania nitawachezea tu mpaka nimpate Zungu langu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada inaonyesha ulikuwa na bwana anatinduliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena nina wasi mlikuwa mnatinduliwa na mtu mmoja[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavuuu wewe je na mke wako mtoto katoka shule saa sita kakukuta unatinduliwa na jibonge la baba huku mkewako akishikwashikwa maziwa.
Anabweka kama mbwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo unakutana na wahesabu shanga, njoo kwa wazibua vyooo ukimbie na gagulo mkononi, shubaamiiiiiit...!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shubamit ni wewe ulipewa baada yakufumaniwa na mme wa mtu ukimkatikia hivi utaachaje kamba yako kuzibua wanawake niwewe unazibuliwa .
Aibuuuuu huyoo sura kama mmh hustahili kila kitu afadhali sura yako nitete haina mpinzani kila kitu tunaona ni nafuu hilooo kimeo tu srepa wewe nafuu wenzako wanaweza tembea wewe huwezi.
Umechooka kama nini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitatafuta njia ya kumuona makonda au President japo aweke sheria fulani kama wewe nishoga msako fanyike kote nchini watupwe nje ya nchi na passport zao zichomwe kitambulisho cha taifa pia Na chakura vichomwe wabaki nadamu tu ya watanzani fools

Sent using Jamii Forums mobile app


Sheria zipo Mkuu.

moja ya dhambi ambazo wanadamu hushindwa kuziondoa mpaka Mungu aingilie kati ni ushoga na dhuluma.

Hizi dhambi ndizo zilileta Gharika ya Nuhu na Moto wa Sodoma na Gomora.

Hao viongozi has nothing to do with this
 
Back
Top Bottom