Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,336
- 127,004
Hahahaaaaa. Lol.Hivi kwa nn unajichosha lakini
Hahahaaaaa. Lol.Hivi kwa nn unajichosha lakini
HahhahahHahahaaaaa. Lol.
Hahahha Tanzania hiii tunayoishiImebidi niulize tu Dada maana kama nimestaajabu nduguyo.
Hivyo kwenye wanaume ni wapi dada? Maana sijasoma page zote. 😀😀😀😀Hahahha Tanzania hiii tunayoishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huna akili wewe ujue. Nimeacha huoni baada ya kuona najichosha.Hivi kwa nn unajichosha lakini
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa .
1.Mashoga
Aslimia ya wanaume wamekuwa wakijiusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na unaweza olewa na mwanaume mwenye sifa unazotaka kumbe wewe umeolewa na mwanamke mwenzako au umeolewa na konki master anayeingilia wenzie .
2.Hawafiki mwisho wa mechi
Asilimia kubwa ya wanaume wa Tz hawafiki mwisho wa safari wao ni mbili tena kwa shida sana .
Napia hawajui mapenzi kwa sababu wamekuwa wavivu.
So kama umeolewa nao basi sio shida.
Hata matangazo mengi ni jinsi yakupata nguvu ya zakiume hawana.
3.Ni walevi
Asilimia kubwa kwa misongo ya mawazo wamekuwa walevi wavivu na wanachukia sana kama wakiulizwa wametoka wapi.
Wengine kwa pombe wanapiga wake zao na kuwadhuru hata watoto.
4.Wanachepuka sana
Wao ni wachepukaji wakienda kutest kwanini hawafiki mwisho wa safari ila hawajui ndio imekuwa hali halisi.
5.Wanapenda kuwatumia Tigo.
Wanaume wa Tz wanapenda sana kutumia hii service na kwa hiyo ukiolewa jua lazima utoe hiyo service na inamadhara makubwa.
6.Matapeli
Badhi yao niwatapeli wanakuolea ili apate kitu sio mapenzi ya kweli.
7.Wanapenda Ofa sana.
Wanaume wa Tz wanapenda ofa sana kuitana baba mkuu ili wapewe vya bure na mwisho wanaibiwa hadi wake au wachumba.
8.Ni mario .
Waume wengi wanapenda kupewa matunzo na wanawake zao.
So kabisa jamani wadada acheni utani oleweni nawatu wa nchi zingine kwasababu huku wanaume ni shida.
Hawatulii bado hawafiki mwisho wa safari wengine mashoga dah mwaka huu nikazi inahitaji maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili nimekosa ramani ipi kwa mf .Vipi wewe walishawahi kukula iyo TIGO
Kwani ubongo wako ukoje ??
Haujitambui ukiona mwanaume anayeshindana na mwanamke ni mwehu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan kama unalipwa ndg yangu anapendaga ligi huyu na magazeti yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huna akili wewe ujue. Nimeacha huoni baada ya kuona najichosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha!!! Ukiona mwanaume anaeshindana na mwanamke ni mwehu" hii sentensi imeniambia tena mengi zaidi kuhusu Ubongo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wote wa tanzania hawafai eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivyo kwenye wanaume ni wapi dada? Maana sijasoma page zote. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio nauliza Dada twende nchi gani ambako tutawapata wanaume?Wanaume wote wa tanzania hawafai eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mapepo unayo wewe ndugu zako na ukoo wenu wote.Ana pepo huyj kiumbe mkuu