Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,973
- 54,101
Wenye kuishi na watu wa type hii watujuze
achaa kabsa miss neddy,miaka ya nyuma walimu walikua ndo wahanga wa vvu..kwa sababu cjui ya mshahara mdogo na mazngra ya kaz?
mkuu nasubiri hizo slides bana...!
chagua kabisa wale wa diploma walioajiriwa mwaka huu! lols!
Kama atakua na profession yakupika na kuzaa atapewa kipaumbele
Na maengineer msisahau kunipa character zao
Walimu wa wapi?kama wa nchi hii utakuwa umekosea sana!Nimeona wanavyosaliti wapenzi wao hadi inasikitisha!Magauni sawa wanavaa marefu lakini tabia hazifunikwi na magauni!walimu mara nyingi ni waadilifu sanaa
huwa wana upendo wa dhati na wanaridhika na hawana tamaa za ajabu ajabu
Kuzaa ni professional?? Snura
Walimu wa wapi?kama wa nchi hii utakuwa umekosea sana!Nimeona wanavyosaliti wapenzi wao hadi inasikitisha!Magauni sawa wanavaa marefu lakini tabia hazifunikwi na magauni!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mwanaume mwasherati utamjua tu.
hakuna watu wanamegeka kama walimu,, NAOMBA KUTOA HOJA.
mkuu nadhani hii ni changamoto kwa waalimu..
nadhani mishahara yao, mazingira ya kazi na ukosefu mwingine wa huduma za jamii kwa wakti muafaka navyo vinachangia tatizo hili..
au waonaje mkuu?
mkuu unataka kusema kuwa mammbukizi ya HIV/AIDS ni makubwa sana kwa upande wa waalim tofauti na profession nyingine?
mkuu unataka kusema kuwa mammbukizi ya HIV/AIDS ni makubwa sana kwa upande wa waalim tofauti na profession nyingine?
Mdogo wangu vipi shemeji yangu ni engineer?
hahahaaa!! mkuu kwani hiyo ni profession?
hebu nitajie vyuo viwili vinavyotoa degree mpaka Phd za uganga wa jadi!...
study case iwe Tz.