Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Mkipewa mnawaita wahuni mara malaya, mkinyimwa mnasema wana maringo watazeekea nyumbani. Wakina dada endeleeni kuleta raha ya dunia. Bila nyinyi dunia isingekuwa na raha bhana.

Yanatimia yaliyotabiriwa," Siku za mwisho wanawake 7 watamshika mwanamme 1 wakitaka waitwe kwa jina lake tu".
Source: Holy Bible
 
Wanaume tujaribu kufunga zipu, wallah tufunge zipu zetu....
Tufunge zipu kwa vile wadada wengi sasa hawana neno "nina mtu, ama nimeolewa"
...Anakuja mwanamke, 27 yrs old, anaomba ushauri, ati "mimi ni msichana, nimeolewa na nina watoto wawili" msichana mwenye watoto wawili, unayelala uchi na mumeo kila siku?
Hawakubali ukweli.

Solution ni sisi wanaume kukituliza.

Inawezekena kukituliza,,,!?
 
Mkipewa mnawaita wahuni mara malaya, mkinyimwa mnasema wala maringo watazeekea nyumbani. Wakina dada endeleeni kuleta raha ya dunia. Bila nyinyi dunia isingekuwa na raha bhana.

Yanatimia yaliyotabiriwa," Siku za mwisho wanawake 7 watamshika mwanamme 1 wakitaka waitwe kwa jina lake tu".
Source: Holy Bible

Umenena vyema ndugu,,,,!
 
huyu mleta mada msamehe tu bure ni jirani yangu magomeni huku kwetu mtoto wa kike hatakiwi asocialize akisocialize ni ma.laya.
He he wanasema mtoto wa kike maringo.
Shikamoo dada!!!....
 
Mmetufundisha wenyewe. Mwanaume ana marafiki wa kike kibao, simu imejaa namba za wanawake na mapicha lukuki. Ukihoji unaambiwa acha wivu, she is just a friend. Na sie tukaona why not soshalaizi na wanaume pia! Tena tofauti yetu na nyie, sie tutachat tu na kushare ideas bila kuishia kwa bed. Nyie sasa!

Sasa dada King'asti, naomba unielee...
unieleze kweli, sasa huyo mwanaume akiishia kwa be....
kwa bed si analala na cheater wa kike vilevile? au unaongelea waliberali?
Mbuta!!!
 
Mkipewa mnawaita wahuni mara malaya, mkinyimwa mnasema wana maringo watazeekea nyumbani. Wakina dada endeleeni kuleta raha ya dunia. Bila nyinyi dunia isingekuwa na raha bhana.

Yanatimia yaliyotabiriwa," Siku za mwisho wanawake 7 watamshika mwanamme 1 wakitaka waitwe kwa jina lake tu".
Source: Holy Bible

umetisha mzee
 
advantage yenu wanaume ni uoga. mnaogopa kupigwa binduki. kwa hiyo most probably mtacheat na single galz kama kina lara 1. sasa mie mke wa paw kama nimetiwa label, wananikimbia. hata nikitaka kucheat siwezi. lol.
:A S 27::A S 27::A S 27:mtu akimuita paw hapa ntajaribisha hii binduki yangu wallah
Sasa dada King'asti, naomba unielee...
unieleze kweli, sasa huyo mwanaume akiishia kwa be....
kwa bed si analala na cheater wa kike vilevile? au unaongelea waliberali?
Mbuta!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona hata sasa bado mnaliwa tu, au bado haujahamka? Kama una mume au mahusiano na mwanamme basi juwa fika kuwa una wengine mna share bwana.....Bongo hii nobody ana trust mkewe. Tunaishi kwa mashaka na wake zetu maana wamezidi ulaini wa kuchukuliwa kama mizoga. Yaani hongo tu ya muhogo wa kuchoma na soda mtu una uhakika wa kulala na mke wa mtu tena wa nguvu siyo mwenye sura ya mgogoro kama yako.

Hivi hii Haki ya kuwa msemaji wa ndoa za wenzako umeitoa wapi?au kwa sababu ya kuishi nnje ya nchi?
 
advantage yenu wanaume ni uoga. mnaogopa kupigwa binduki. kwa hiyo most probably mtacheat na single galz kama kina lara 1. sasa mie mke wa paw kama nimetiwa label, wananikimbia. hata nikitaka kucheat siwezi. lol.
:A S 27::A S 27::A S 27:mtu akimuita paw hapa ntajaribisha hii binduki yangu wallah
King'asti!!!

i need you and i love you!!!!

jamani niemmiss sana mr. nice!!

habari za asubuhi mjeda wangu?
 
Last edited by a moderator:
aaah!! mbona reference ni moja tu?

by the way, ukiona umekanwa mbele za watu ujue kuna kitu/vitu hutekelezi kwa mwenzi wako!!

hata vitabu vitakatifu vinasema, nitawakana mbele ya BABA yangu wale wote wanaonikana leo!

huwezi jua labda jamaa nae alimkana mahali fulani girl friend wake!

kama yote sivyo, basi ujue hizo couple haziendani kabisa kabisa!!!!
 
i know you do. you adore any mobile creature with a swinging behind. wewe unaweza adore hata kivuli.
afu huyo marehemu hapo unamswalia lakini?
af King'asti yani ungejua hapa nilivyo chaaapa chapa, yani ungenisikiliza!!

king'asti i adore you!
 
i know you do. you adore any mobile creature with a swinging behind. wewe unaweza adore hata kivuli.
afu huyo marehemu hapo unamswalia lakini?

hahahaaa!!! KINGA'sti bana asubuhi asubuhi unaongea mineno kama hii?

afu sijui umeweka na mavidole juu kabisa??

hebu badilika bana, unaposhikwa, shikamana!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
nimeshikamana kama luba, kwa paw. wewe ulie tu hehehe (kwa kicheko cha gea habib).
utasindikiza kivuli hichi hadi ushangae na roho yako. 😛ound:
hahahaaa!!! KINGA'sti bana asubuhi asubuhi unaongea mineno kama hii?

afu sijui umeweka na mavidole juu kabisa??

hebu badilika bana, unaposhikwa, shikamana!!!!!!
 
Kwani maana ya single ni nini?
Msichana na mvulana walio katika mahusiano ya kimapenzi wanao uwezo wa kulitumia hilo neno single kwa sababu hawana uhalali wa kujitambulisha juu ya hapo pale kinachofanyika ni ngono tu.
Kuwa mke/mme wa mtu hakumzui kuongea au kuchat au kushare mawazo kinachoa angaliwa anafanya hivyo kwa malengo gani, kwa kupenda hayo tu haitoshi wewe kumwita muhuni.
kuna maneno kama vile in relation, single, married, engaged, ukisema single manake hauna mtu kabisa unafungua milango kwa wenye degree za ubachelor wa-apply chuo cha kusoma
 
Back
Top Bottom