Na mimi ndio maana sipendelei wanaume wa kibongo, i always wish to get married to someone from Western countries. Naumia sana hasa huu mtizamo wenu wa kutu gegeda na kutuacha. Ee Mungu nisaidie mimi.....
hahah,unanchekesha sana mkuu,hv nan kakwambia kuoa nje ya nchi ndo unakuwa immune against kumegewa mke???tabia ya mtu tu,..hehe af unavosema girls wa bongo wengi they r NOT WORTHY KUOLEWA,inahuuu...??mbona wanaolewa na kutunza ndoa zao kila leo??hujui kwenye divorce rate kubwa ni huko uliko?na sio hapaTZ,au unasema tu..
Game has changed,uhuni hata mlie hapa au msemeje,we're not fooled anymore..exposure mlonayo na sie tunayoo.. mwanamke akiamua kukutenda ht uwe bill gates utatendwa tuuu...
Sijakataa kwani kutoka nje ya ndoa ni kitu cha kawaida sana ila kwa wanawake wa kibongo wamezidisha. Kuhusu divorce rate ya majuu kuwa high hiyo iko a bit biased kwani majuu people are more free kuji express na it's about the individual or personal happiness tofauti kabisa na nyumbani whereas mwanamke unaogopa kuachika kuwa watu watakucheka hivyo unajilazimisha kuishi na bwana anayekunyanyasa huku ukilia moyoni na kufupisha maisha yako. Bongo hii nahapa hakuna mtu mwenye mpenzi mmoja si wanawake wala wanaume na hii inatokana na hali halisi kuwa people are not happy with each other wanaoana tu kwa kukurupuka au kutokana na shinikizo fulani. So don't be fooled by that divorce rate unayojivunia. Wazazi wangu walikasirika mimi kuo nje ya nchi lakini baada ya kuwaambia ukweli kuhusu wanawake wa kibongo walinielewa na wanampenda sana mke wangu mpaka yeye mwenyewe anajiona yuko peponi. Tukienda kwa wazazi, Mama anamwachia majukumu yote mkwewe.
hahah,mwamba ngozi sikuzote lazma avutie upande wake
hyo ni PERCEPTION YAKO,cjui ulitendwa ndo mana ur so negative,mzungu kakupooza basi waona sie hatufai,una'justify tu uamuzi wako,.miaka 80000000:... Tunakaa TZ and we're happy,watu wanaoana kila leo na wengi tuuu wanafurahia ndoa zao,af wew unasemajeeee...
kikijulikana na wengi,DOESNT MAKE IT RIGHT...wanaume wenzio wanaoa wanawake wa ukweee hapahapa bongo na wanaishi vizuri,shida zako tu zilikupeleka kuoa nje,kumbe sio mzungu,basi uyo ulieoa,Ona sasa, nani kakuambia mke wangi ni mzungu? What I explained to you is exactly that na hakuna pingamizi kwani ni kitu kinachojulikana na wengi, wewe kama hujuwi basi habari ndiyo hiyo.
What?kichaa ukimuambia wewe ni kichaa hatakubaliana na wewe lakini wewe umeamua kujidhilihisha waziwazi,Ni kweli clouds kina Adam na Diva wamefkuzwa but do you think this is right place to air it? Ina maana hata hawa wanaojadili humu ndani kuusu mada husika umewaona hawana akili kama wewe?(hii ni dharau kubwa)
"to live is rarest thing in the world most people exist,thats all"
So far skendo ya watu kufukuzwa kazi wee umekuuma nini kama sio umbeya,say Wanarudishwa wewe utapata nini.
Umeniudhi sana Juha wewe.
kikijulikana na wengi,DOESNT MAKE IT RIGHT...wanaume wenzio wanaoa wanawake wa ukweee hapahapa bongo na wanaishi vizuri,shida zako tu zilikupeleka kuoa nje,kumbe sio mzungu,basi uyo ulieoa,
Mtuache tulalee...if we had guarantees kwamba ukijitunza all is well for you SAWA,mbona tunge'settle,lkn wapiii....i simply wanna grow older with NO REGRETS at all,uhuni afanye mwanaume aah sawa,mwanamke sasa itakucost,ndo yale lara 1 ,anasema kunya anye kuku BATA KAHARA....the game has changed,hatuko miaka ya 70,we ishi ki miaka hyo af uone unavoliwa kweupe,
Sijakataa kwani kutoka nje ya ndoa ni kitu cha kawaida sana ila kwa wanawake wa kibongo wamezidisha. Kuhusu divorce rate ya majuu kuwa high hiyo iko a bit biased kwani majuu people are more free kuji express na it's about the individual or personal happiness tofauti kabisa na nyumbani whereas mwanamke unaogopa kuachika kuwa watu watakucheka hivyo unajilazimisha kuishi na bwana anayekunyanyasa huku ukilia moyoni na kufupisha maisha yako. Bongo hii nahapa hakuna mtu mwenye mpenzi mmoja si wanawake wala wanaume na hii inatokana na hali halisi kuwa people are not happy with each other wanaoana tu kwa kukurupuka au kutokana na shinikizo fulani. So don't be fooled by that divorce rate unayojivunia. Wazazi wangu walikasirika mimi kuo nje ya nchi lakini baada ya kuwaambia ukweli kuhusu wanawake wa kibongo walinielewa na wanampenda sana mke wangu mpaka yeye mwenyewe anajiona yuko peponi. Tukienda kwa wazazi, Mama anamwachia majukumu yote mkwewe.
Mkuu, you are right on the point. Haka kademu unachobishana nacho huenda ndiyo kwanza kanaanza mahusiano ya mapenzi na hataki kukubali ukweli kuona kama yeye ndo kapata na mumewe ama jamaa yake ndiyo Mungu wake ila mwisho wa siku atajipiga kitanzi tu akishagundua ukweli wenyewe. Bongo hii, noma kishenzi. Ushauri wangu kwako: Mwache abwabwaje, haki ya Mungu atakuja kukulamba kucha mwisho wa siku when it is too late.
Ila mie sijaona uhuni hapo, just imagine mmesoma toka nasari, klass 1-7, even sec hadi vyuoni..lazima mtakuwa mmejichanganya mno -----kisosho kama mleta mada asemavyo.....uhuni ni tabia tuu....kusema am single, haihalalishi uhuni..........hako ni kamtego tuuu.......mbona baadhi yetu mamen huwa tunatoa our wedding ring ili kutega windo jipya?
Sijakataa kwani kutoka nje ya ndoa ni kitu cha kawaida sana ila kwa wanawake wa kibongo wamezidisha. Kuhusu divorce rate ya majuu kuwa high hiyo iko a bit biased kwani majuu people are more free kuji express na it's about the individual or personal happiness tofauti kabisa na nyumbani whereas mwanamke unaogopa kuachika kuwa watu watakucheka hivyo unajilazimisha kuishi na bwana anayekunyanyasa huku ukilia moyoni na kufupisha maisha yako. Bongo hii nahapa hakuna mtu mwenye mpenzi mmoja si wanawake wala wanaume na hii inatokana na hali halisi kuwa people are not happy with each other wanaoana tu kwa kukurupuka au kutokana na shinikizo fulani. So don't be fooled by that divorce rate unayojivunia. Wazazi wangu walikasirika mimi kuo nje ya nchi lakini baada ya kuwaambia ukweli kuhusu wanawake wa kibongo walinielewa na wanampenda sana mke wangu mpaka yeye mwenyewe anajiona yuko peponi. Tukienda kwa wazazi, Mama anamwachia majukumu yote mkwewe.
Sawa Mkuu,umenipinga kwa hoja nzuri sana(napenda sana marumbano ya namna hii)
Ila nadhani ungesoma vizuri ili uelewe ninapo Ni uhuni namaanisha nini?
Sawa labda kweli ni kamtego,hako kamtego kana dhumini hasa?
Kuhuse men nadhan nimeweka wazi kwenye mada. Soma tena mkuu bila shaka utakua na wazo jingine.Inakuaje mkuu mke wa mtu anatega watu na wakitegeka je.
Kusema yeye yupo single ni dhahiri kwamba bado anahitaji kujenga uhusiano mwingine Sasa hii tabia unayoita ni tabia tu..tuipe jina mkuu.