Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

mleta mada kaegemea upande mmoja. mbona mi naamini kuwa wanaume wa leo asilimia 99 ni wahuni maana kwa mila za kiafrica wanaume ndo wanaanza kumwa approach mwanamke. naamini mwanamke hata kama ni malaya vipi sio rahisi kumvamia mwanaume na kumtaka kimapenzi, kwanza mwanaume huyo ataanza kujiuliza maswali hivi huyu mwanamke kweli ni salama au vp? Leo tu asubuhi nilikuwa najiuliza kama leo hii tunaweza kupata wanaume mfano wa Yusuphu wa kwenye Biblia, sina hakika.

Mi sikuwa najua wanaume ni malaya sana kuliko wanawake mpka hivi majuzi nilipomleta Housemaid nyumbani kwa ajili ya kunisaidia kazi za nyumbani. kwa kifupi sana, ni kuwa huyu Housemaid wangu ana umbo zuri, wenyewe wanasema mashallah! Nimekuwa nikipokea wageni nyumbani kwangu ikiwemo wageni wakiume kama kawaida ya nyumba yoyote yenye baraka. Cha ajabu ni kwamba kila mgeni wa kiume aliyewahi fika kwangu kishamtongoza huyu Housemaid wangu. Housemaid mwenyewe amekuwa akinieleza na kunionesha sms wanazomtumia. Haijalisha wanaume hao ni wazee au vijana wote tabia ni ile ile. Hapo ndipo nilipojiuliza swali je kwa kizazi hiki tunaweza kupata wanaume kama Yusuphu kweli?
 
Kwani maana ya single ni nini?
Msichana na mvulana walio katika mahusiano ya kimapenzi wanao uwezo wa kulitumia hilo neno single kwa sababu hawana uhalali wa kujitambulisha juu ya hapo pale kinachofanyika ni ngono tu.
Kuwa mke/mme wa mtu hakumzui kuongea au kuchat au kushare mawazo kinachoa angaliwa anafanya hivyo kwa malengo gani, kwa kupenda hayo tu haitoshi wewe kumwita muhuni.
ruvaiani tavala utani kabisa we uko na siangiki yako alafu inasocialize na morani ingine? we takubali? shee....akawoshi akaigiligili! hata ngishu hajakamua yuko kwenye fb anachat tavala doi ekitaraki le ngofi nanuuu!
 
Mimi ndiyo maana nimeoa nje ya nchi sitaki u socilization wa kijinga, mtu unajiita a social lady ili upate tu zungu la unga na kukuhonga gari. Mademu wa kibongo ni kuwachapa tu na kuwaacha solemba hawana maana na ndiyo maana wanaf.irwa sana na kutumiwa na Nigerians huko majuu kwa tamaa zao.

Na mimi ndio maana sipendelei wanaume wa kibongo, i always wish to get married to someone from Western countries. Naumia sana hasa huu mtizamo wenu wa kutu gegeda na kutuacha. Ee Mungu nisaidie mimi.....
 
Kwani maana ya single ni nini?
Msichana na mvulana walio katika mahusiano ya kimapenzi wanao uwezo wa kulitumia hilo neno single kwa sababu hawana uhalali wa kujitambulisha juu ya hapo pale kinachofanyika ni ngono tu.
Kuwa mke/mme wa mtu hakumzui kuongea au kuchat au kushare mawazo kinachoa angaliwa anafanya hivyo kwa malengo gani, kwa kupenda hayo tu haitoshi wewe kumwita muhuni.

Mwanamke na mwanaume wanapokuwa na husiano sio single tena wanakuwa katika relationship. Huwezi toka single to marriage. Kuna mda hapo wa transition unaitwa relationship. Sasa kama wanachemistry basi hao wana open relationship ambayo inaweza ruhusu huo usocial.
Mke\mme hakuna tena single.
Kuonge au kuchart pia kuna limit zake. Kama uko katika relationship basi hata kama simu za wengine zina wakati wake na mda wake.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
I already woke up na ndiyo maana nimehamua kuoa nje ya nchi. Unataka nikuhamshe?

hahah,unanchekesha sana mkuu,hv nan kakwambia kuoa nje ya nchi ndo unakuwa immune against kumegewa mke???tabia ya mtu tu,..hehe af unavosema girls wa bongo wengi they r NOT WORTHY KUOLEWA,inahuuu...??mbona wanaolewa na kutunza ndoa zao kila leo??hujui kwenye divorce rate kubwa ni huko uliko?na sio hapaTZ,au unasema tu..
Game has changed,uhuni hata mlie hapa au msemeje,we're not fooled anymore..exposure mlonayo na sie tunayoo.. mwanamke akiamua kukutenda ht uwe bill gates utatendwa tuuu...
 
ukiona unakanwa na girlfriend wako ujue your not a right person to her... na ana uhuru wa kuendelea kuchagua na kuangalia wanaume wapya
 
ruvaiani tavala utani kabisa we uko na siangiki yako alafu inasocialize na morani ingine? we takubali? shee....akawoshi akaigiligili! hata ngishu hajakamua yuko kwenye fb anachat tavala doi ekitaraki le ngofi nanuuu!

Hahahahahahah hapa me nimependa kimasai tu mengine yote sijaona.
Hiyo haina tatizo kinachoangaliwa hata kama shangiki(mwanamke) au ndinto(binti) anachati tunaangalia anafanya hivyo kwa makusudio gani sio tu kwa hivyo umwite muhuni.
 
Mwanamke na mwanaume wanapokuwa na husiano sio single tena wanakuwa katika relationship. Huwezi toka single to marriage. Kuna mda hapo wa transition unaitwa relationship. Sasa kama wanachemistry basi hao wana open relationship ambayo inaweza ruhusu huo usocial.
Mke\mme hakuna tena single.
Kuonge au kuchart pia kuna limit zake. Kama uko katika relationship basi hata kama simu za wengine zina wakati wake na mda wake.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk

Hiyo simu yako unayotumia inabadilisha mandishi mkuu?
Me pale sijasema mwanamke au mwanaume alie oa anaweza kutumia neno single.
Nimezungumzia mvulana /msichana walio katika mahusiano ya kimapenzi ndo kunauwezeka wa kujitambulisha kama single.
 
Hahahahahahah hapa me nimependa kimasai tu mengine yote sijaona.
Hiyo haina tatizo kinachoangaliwa hata kama shangiki(mwanamke) au ndinto(binti) anachati tunaangalia anafanya hivyo kwa makusudio gani sio tu kwa hivyo umwite muhuni.
yoveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee doi! kanyeeeenaaaaa!hata kama hajakagua ngishu zote na kukamua na kuhakikisha ndama zote zimenyonya?
na hajapika nnda ya legwanan wa emanyata?
 
Ukiona mwanamke anatetea issue ya kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja ujue ndio walewale....wanakesha makanisani kuomba mungu waolewe wakati hawajiweki ktk tabia nzuri.
 
yoveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee doi! kanyeeeenaaaaa!hata kama hajakagua ngishu zote na kukamua na kuhakikisha ndama zote zimenyonya?
na hajapika nnda ya legwanan wa emanyata?

Hakuna sheria inayo mtaka mwanamke tu ndo afanye kazi za nyumbani ukiona hajafanya na wewe unachukua jukumu hilo yeroooo!!! mORANI.
 
in maana we elasungwui ama oleshumbai? ngoja niende emanyata nikawaambie hatuna tena morani hapa! badala ya kutafuta mali we unapuliza moto! siangiki achat na morani nyingine? we meitwa jina ya boma ya mama ehe?
 
Hakuna sheria inayo mtaka mwanamke tu ndo afanye kazi za nyumbani ukiona hajafanya na wewe unachukua jukumu hilo yeroooo!!! mORANI.
in maana we elasungwui ama oleshumbai? ngoja niende emanyata nikawaambie hatuna tena morani hapa! badala ya kutafuta mali we unapuliza moto naabisha morani kabisa! siangiki achat na morani nyingine? we meitwa jina ya boma ya mama ehe?
tai sere bhana....usho..nakaiting'o
 
Basi basii naona morani unaelekea kupandisha mori.
Lakini kumbuka kila mmoja katika ndoa ananafasi ya kushiriki majukumu ya nyumbani....!
Ila usiyafikishe huku tafadhali ya humu yaishie humu humu.!
 
Basi basii naona morani unaelekea kupandisha mori.
Lakini kumbuka kila mmoja katika ndoa ananafasi ya kushiriki majukumu ya nyumbani....!
Ila usiyafikishe huku tafadhali ya humu yaishie humu humu.!
metiii shida Morani natuuupa kule baharini kwenye mwaji siendi nayo emanyata! na simwambii siangiki!
koree mama yeyo nataka engaree!
 
Back
Top Bottom