Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
419
Reaction score
117
NGOJA NIZUNGUMZIE MAPENZI.

Mapenzi yetu ya leo kaazi kwelikweli,Zaman ilkua rahisi sana mwanaume akimtongoza msichana ambaye ana mtu wake au anamsimamo wke au hayuko tayari basi, kutukanwa au kukataliwa waziwazi ilkua si Jambo la kushangaza.

Lakini Leo hii kila msichana Anajiita mi "niko sosho" huu ni uhuni Wallah,yani anajiita sosho eti kwamba anaongea nayeyote jambo lolote ata km mke wa mtu lakin anakuambia "am very social, i like chating,sharing ideas etc"

Msichana ana mpezi wake lakin
anajiita Single eti kisa AENDELEE KUTONGOZWA, na hapa natoa Falsafa yangu kwamba "MWANAMKE ANAJIHISI HAI NA MWENYE AFYA KAMA ANENDELEA KUTONGOZWA"...usishangae rafki wa kike wa kawaida tu akakuona huna maana kisa eti humtongozi wala humsifiisifii(lakini ana boyfriend au mmewe) huu ni uhuni MTAKATIFU.

RAFKIANGU ALINISKITIDSHA SANA ALIPONAMBIA ALKUA ANATEMBEA NA RAFKIAKE WA KIKE IKATOKEA AKAMWACHA ATANGULIE MANA YY ALKUTANA NA NDUGUYE WAKAWA WANASALIMIANA. BASI KULE MBELE AKATOKEA JAMAA AKAWA ANAMUULIZA YULE GIRL FRIEND WAKE KUA YULE JAMAA NI NAN LAKINI MSCHANA AKAMKANA BOYFRIEND WAKE AKASEAMA YULE NI KAKAANGU..HIVI UNADHAN KWANN ALIJIBU IVYO.

Kwa kweli kupata mke mzuri wa kuoa ckuiz wanaume tunakazi sana.
NAJUA NA SISI WANAUME TUNA YETU LAKIN WANAWAKE WAMEZIDI
"if you marry good wife you will enjoy life but if you marry bad wife you will become a philosopher"..Aristotle.
MUHIMU:SIO WANAWAKE WOTE WAKO IVYO,JAPO WENGI WAO HASA UMRI KATI MIAKA 18-30

Edited:Nimejaribu kuzungumzia upande wa wanawake,Uhuni ni wazi hata wanaume wanahusika lakini hapa najaribu kutoa mtizamo kwa upande mmoja. Kimsimgi mwanamke mwenye tabia nzuri na anajitambua hawezi kujiita Single wakati na mme wake.
Neno Kuwa SOCIAL limefafanuliwa na Mdau kufuatia maswali mengi kama nilivyo mnukuu "labda nieleze jamaa alicho maanisha hapa...ni kwamba si vzr mwanamke upo na mume au mpenzi wako...lakni unakuwa na uhusiana wa karibu sana na mwanaume mwingine(eg kupigiwa simu mpk usiku-ukiulizwa just friend...si unajua nipo social ninamarafiki wengi)....au kwenye social net work (eg face book) kuna wanaume wanacoment coment maneo ya ajabu ajabu-eti kwa vile upo social unaongea na kuchart na kila mtu....That's digested version ya mshkaji alicho maanisha".....Dr.Mo
 
Je wanafanya uhuni peke yao (wanasagana)??? Ila kuna ukweli bhanaa... Wanawake hata wakiambiwa "nimeoa" wanazidi kung'ang'ania kama kupe, labda kwa kuwa wamezoea kudanganywa. Mwanaume akiambiwa "nimeolewa, nina ndoa", anarudisha majeshi nyuma.
Si unaona hata kesi nyingi humu JF zinatokana wa wanawake walioolewa kuwaficha wanaowatongoza, mambo yakiwa magumu, majamaa yanakuja kuomba msaada humu, je wanawake wanaogopa kuomba ushauri?
 
Hawafanyi pekeo yao mkuu,Ni wazi ata wanaume wanachangia lakini Kwa mila zetu za kiafrika mwanaume ndie mtongozaji maranyingi. Nashangazwa tu na wanawake hawa Mkuu "...Mtu ameolewa anjiita Single Girl?.."
 
Kwani maana ya single ni nini?
Msichana na mvulana walio katika mahusiano ya kimapenzi wanao uwezo wa kulitumia hilo neno single kwa sababu hawana uhalali wa kujitambulisha juu ya hapo pale kinachofanyika ni ngono tu.
Kuwa mke/mme wa mtu hakumzui kuongea au kuchat au kushare mawazo kinachoa angaliwa anafanya hivyo kwa malengo gani, kwa kupenda hayo tu haitoshi wewe kumwita muhuni.
 
Wamama hasa wa mujini siku hizi baadhi yao hawana tofauti na dada poa.
 
Kwani maana ya single ni nini?
Msichana na mvulana walio katika mahusiano ya kimapenzi wanao uwezo wa kulitumia hilo neno single kwa sababu hawana uhalali wa kujitambulisha juu ya hapo pale kinachofanyika ni ngono tu.
Kuwa mke/mme wa mtu hakumzui kuongea au kuchat au kushare mawazo kinachoa angaliwa anafanya hivyo kwa malengo gani, kwa kupenda hayo tu haitoshi wewe kumwita muhuni.

Ahsante mkuu, vip kuhusu mwanamke aliolewa
 
Mtuache tulalee...if we had guarantees kwamba ukijitunza all is well for you SAWA,mbona tunge'settle,lkn wapiii....i simply wanna grow older with NO REGRETS at all,uhuni afanye mwanaume aah sawa,mwanamke sasa itakucost,ndo yale lara 1 ,anasema kunya anye kuku BATA KAHARA....the game has changed,hatuko miaka ya 70,we ishi ki miaka hyo af uone unavoliwa kweupe,
 
Wadau kweli hali ni mbaya sana,walioko kwenye ndoa wamatani kutoka na wengine wanatamani kuingia cha msingi tumshirikishe sana Mungu ili atuwekee wepesi.
NB:Tusitangulize matamanio ya macho ambayo ni ya muda mfupi
 
huyu mleta mada msamehe tu bure ni jirani yangu magomeni huku kwetu mtoto wa kike hatakiwi asocialize akisocialize ni ma.laya.
He he wanasema mtoto wa kike maringo.
He is so daft!!
 
huyu mleta mada msamehe tu bure ni jirani yangu magomeni huku kwetu mtoto wa kike hatakiwi asocialize akisocialize ni ma.laya.
He he wanasema mtoto wa kike maringo.

Mungu wangu, Kwanini unanichafua eti. Mbona mm sikai magomeni: NIMEKUSAMEHE
 
Wadau kweli hali ni mbaya sana,walioko kwenye ndoa wamatani kutoka na wengine wanatamani kuingia cha msingi tumshirikishe sana Mungu ili atuwekee wepesi.
NB:Tusitangulize matamanio ya macho ambayo ni ya muda mfupi

Kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom